Smiley face
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Matukio-ya-Maisha. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Matukio-ya-Maisha. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 24 Januari 2019

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Si Rahisi Kwako kwa Hakika Kujijua Mwenyewe

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Si Rahisi Kwako kwa Hakika Kujijua Mwenyewe


Zhang Rui     Mji wa Hangzhou, Mkoa wa Zhejiang

Nilikuwa mtu mdanganyifu. Katika neno la Mungu tunaweza kuona kwamba watu wadanganyifu hawataokolewa na Mungu; ni watu wanyofu tu watakaopata sifa Zake. Kwa hiyo, nilitaka kuwa mtu mnyofu, kwa utambuzi kufanya mazoezi ya kuzungumza kwa usahihi, kuwa bila upendeleo na wa busara, na kutafuta ukweli kutoka kwa mambo ya hakika wakati wa kutoa taarifa juu ya masuala. Katika kazi yangu, kama iwe ni kosa au upungufu, mimi nililielezea kwa undani kwa kiongozi. Pia kwa utambuzi niliuchangua na kuufichua upotovu wangu mwenyewe. Kila wakati nilipoweka hili katika matendo, nilihisi kuwa nilikuwa nimepitia mabadiliko fulani na nilipata ladha kidogo ya kuwa mtu mnyofu.

Jumanne, 12 Desemba 2017

Nyimbo za Uzoefu wa Maisha "Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi"

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha
Kwa Ajili ya Nani Mtu Aishi
I
Haikuwa wazi ni kwa ajili ya nani mtu anapaswa kuishi. Sasa nina jibu kwa hilo. Nilikuwa naishi tu kwa ajili yangu mwenyewe, kutafuta hadhi tu na umaarufu. Maombi kwa Mungu yaliyojaa maneno mema, lakini nikishikilia njia zangu mwenyewe katika maisha halisi. Imani juu ya msingi wa kesho na majaliwa, sina ukweli au uhalisi. Mila na sheria, zikifungia imani yangu; sikubaki na kitu ila utupu.

Jumapili, 10 Desemba 2017

Nyimbo za Uzoefu wa Maisha "Nimeuona uzuri wa Mungu"

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha
Nimeuona uzuri wa Mungu
I
Nasikia sauti ijulikanayo ikiniita mara kwa mara. Nikaamka na kuangalia kuona, ni nani aliye pale akizungumza. Sauti yake ni nyororo lakini kali, picha Yake nzuri! Nateseka kupigwa na kuvumilia maumivu makubwa, nikipapaswa na mkono Wake wenye upendo. Halafu natambua ni Mwenyezi ambaye nilipigana naye. Najichukia mwenyewe, kwa majuto makubwa, fikiria niliyoyafanya. Nimepotoka kwa kina, hakuna wanadamu, sasa nauona ukweli.

Jumamosi, 9 Desemba 2017

Nyimbo za Uzoefu wa Maisha "Nitampenda Mungu Milele"

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha
Nitampenda Mungu Milele
I
Ee Mungu! Maneno Yako yameniongoza kurudi Kwako. Nakubali mafunzo katika ufalme Wako mchana na usiku. Majaribio mengi na maumivu, mateso mengi sana. Mara nyingi nilimwaga machozi na kuhisi huzuni, na mara nyingi nimeanguka katika mtego wa Shetani. Lakini Hujawahi kuniacha. Uliniongoza kupitia matatizo mengi, Umeniweka kupitia hatari nyingi. Sasa najua ya kuwa Wewe Umenipenda.

Ijumaa, 8 Desemba 2017

Nyimbo za Uzoefu wa Maisha "Kama Nisingeokolewa na Mungu"

<Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha
Kama Nisingeokolewa na Mungu
I
Kama nisingeokolewa na Mungu, ningekuwa bado nazurura ulimwenguni humu, nikipambana kwa bidii na maumivu katika dhambi; kila siku huwa ya taabu isiyo na tarajio. Kama nisingeokolewa na Mungu, bado ningekuwa nimepondwa chini ya miguu ya shetani, kama nimenaswa katika dhambi na starehe zake, bila kujua maisha yangu yangekuwaje. Kama nisingeokolewa na Mungu, nisingekuwa na baraka zangu leo, wala kujua kwa nini sisi tuendelee kuishi ama maana ya maisha yetu.