Smiley face
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kuimba-na-Kudansi. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kuimba-na-Kudansi. Onyesha machapisho yote

Jumatatu, 16 Desemba 2019

Wimbo wa Kwaya ya Injili | "Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani" Mambo Muhimu 3: Mbingu na Dunia Mpya Baada ya Maafa | Wimbo wa Kuabudu


Wimbo wa Kwaya ya Injili | "Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani" Mambo Muhimu 3: Mbingu na Dunia Mpya Baada ya Maafa | Wimbo wa Kuabudu

Wimbo wa kusisimua wa ufalme umevuma, ukitangazia ulimwengu wote kuwasili kwa Mungu kati ya mwanadamu! Ufalme wa Mungu umefika! Watu wote washangilia, vitu vyote vyafurahi! Kila kitu mbinguni kote kina furaha tele. Mandhari haya yanayopendeza mno ya shangwe ni yapi?
Miongoni mwa wanadamu, ni nani aishiye katika uchungu na ambaye amevumilia maelfu ya miaka ya upotovu wa Shetani, ambaye hatamani—hana hamu—ya kuwasili kwa Mungu? Je, ni waumini na wafuasi wangapi wa Mungu katika enzi zote, ambao chini ya ushawishi wa Shetani, wamevumilia taabu na dhiki, mateso na kutengwa? Ni nani asiyetumaini kuwa ufalme wa Mungu utakuja hivi karibuni? Baada ya kuonja furaha na masikitiko ya binadamu, ni nani kati ya wanadamu asiyetamani ukweli na haki vimiliki kati ya wanadamu?
Ufalme wa Mungu utakapokuja, siku inayosubiriwa kwa hamu na mataifa na watu wote hatimaye itafika! Wakati huu, mandhari kati ya vitu vyote mbinguni na duniani yatakuwa yapi? Maisha katika ufalme yatakuwa mazuri kiasi gani? Zikiwa na “Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani,” sala za milenia zitatimia!

Jumatano, 28 Februari 2018

Worship Songs Swahili "Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu" | Mbinguni ni mahali pa mtu mwaminifu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu


Kuelewa ukweli huiachilia huru roho ya mtu na kumfanya mtu kuwa mwenye furaha. Nimejazwa na imani katika neno la Mungu na sina shaka. Mimi niko bila uhasi wowote, sirudi nyuma, na kamwe sikati tamaa. Ninauunga mkono wajibu wangu kwa moyo wangu wote na mawazo, na siujali moyo. Ingawa ubora wa tabia yangu ni wa chini, nina moyo wa uaminifu. Nimejitolea kikamilifu katika kila kitu ili kuyaridhisha mapenzi ya Mungu. Ninatenda ukweli, namtii Mungu, na kujaribu kuwa mtu mwaminifu.

Jumatatu, 15 Januari 2018

Kwa Furaha Ukaribishe Ujio wa Mungu! | Drama yenye Muziki ya Sifa za Ufalme–Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19

Chini ya mbingu ya usiku yenye nyota, tulivu na kimya, kundi la Wakristo wanasubiri kwa ari kurudi kwa Mwokozi wakiimba na kucheza kwa muziki mchangamfu.Wanaposikia habari za furaha "Mungu amerejea" na "Mungu ametamka maneno mapya", wanashangaa na kusisimka. Wanafikiri: "Mungu ameonekana? Tayari ametokea?" Kwa udadisi na kutokuwa na uhakika, mmoja baada ya mwingine, wanaingia katika safari ya kuyatafuta maneno mapya ya Mungu.

Jumapili, 14 Januari 2018

Habari kuu njema za furaha! | Drama yenye Muziki ya Sifa za Ufalme–Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19

Chini ya mbingu ya usiku yenye nyota, tulivu na kimya, kundi la Wakristo wanasubiri kwa ari kurudi kwa Mwokozi wakiimba na kucheza kwa muziki mchangamfu.Wanaposikia habari za furaha "Mungu amerejea" na "Mungu ametamka maneno mapya", wanashangaa na kusisimka. Wanafikiri: "Mungu ameonekana? Tayari ametokea?" Kwa udadisi na kutokuwa na uhakika, mmoja baada ya mwingine, wanaingia katika safari ya kuyatafuta maneno mapya ya Mungu. Katika kutafuta kwao kugumu, baadhi ya watu wanauliza maswali hali wengine wanalikubali tu. baadhi ya watu wanaangalia bila kutoa maoni, wakati wengine wanafanya mapendekezo na kutafuta majibu katika Biblia–wanaangalia lakini mwishowe kuangalia huku hakuzai matunda ....

Jumapili, 26 Novemba 2017

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa” (Video za Kikristo)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa
I
Nilitaka kulia lakini hakuna mahali palihisi sawa. Nilitaka kuimba lakini hakuna wimbo ulipatikana. Nilitaka kuonyesha upendo wa kiumbe aliyeumbwa. Nikitafuta juu na chini, lakini hakuna maneno yangeweza kusema, yangeweza kusema jinsi hasa ninavyohisi. Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Nainua mikono yangu kwa sifa, ninafurahia kwamba Ulikuja katika dunia hii.

Alhamisi, 23 Novemba 2017

Ishini Katika Upendo wa Mungu | Dansi ya Sifa "Wimbo wa Mapenzi Matamu"

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Wimbo wa Mapenzi Matamu
Kinani mwa moyo wangu, ni mapenzi Yako. Ni matamu sana, nakaa karibu yako. Kukutunza hukoleza moyo wangu; kukutumikia na mawazo yangu yote. Kuongoza moyo wangu, ni mapenzi Yako; mimi hufuata nyayo zako za mapenzi. Mimi hujisogeza kulingana na macho Yako; mapenzi yanaonyesha furaha ya moyo wangu. Mapenzi yanaonyesha furaha ya moyo wangu. Sasa mimi huishi katika ulimwengu mwingine, hakuna yeyote isipokuwa wewe uko nami. Unanipenda, ninakupenda; hakuna huzuni wala sikitiko hutusumbua. Hakuna huzuni wala sikitiko hutusumbua. Kumbukumbu chungu hutokomea. Kumbukumbu chungu hutokomea.

Jumatano, 22 Novemba 2017

Upendo wa Mungu Huushinda Moyo wa Mwanadamu | " Wimbo wa Kifuasi cha Dhati " Video Rasmi ya Muziki

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Wimbo wa Kifuasi cha Dhati

Wimbo wa Kifuasi cha Dhati


Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Wimbo wa Kifuasi cha Dhat
Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili.  Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli.Hekima Yake, Uadilifu Wake, nayapenda yote. Kukutana Naye, kumpata Yeye, nimebarikiwa sana. Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili. Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli. Hekima Yake, uadilifu Wake, nayapenda yote. Kukutana Naye, kumpata Yeye, nimebarikiwa sana. Moyo wake, Upendo wake, vimefanya nishindwe. Mpe upendo, mfuate Yeye, ah mpendwa wangu. Nampenda, najihisi mtamu, teseka kwa ajili Yake. Mpate, ishi kwa ajili Yake, mpende milele.

Jumanne, 21 Novemba 2017

Toeni Nyimbo za Sifa kwa Mungu | Muziki wa Akapela " Mpende Mungu Wa Vitendo Kwa Moyo Wetu Wote "

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Mpende Mungu Wa Vitendo Kwa Moyo Wetu Wote

La … la la la … la la la…. 
La … la la la … la la la … la…. Jua la haki lapanda kutoka Mashariki. Ee Mungu! Utukufu wako hujaza mbingu na dunia. Mpenzi mrembo, upendo Wako huzingira moyo wangu. Watu wanaofuatilia ukweli wote wanampenda Mungu. Ingawa mimi huamka peke yangu asubuhi mapema, Ninahisi furaha ninapotafakaria neno la Mungu. Maneno mororo ni kama mama mpenzi, maneno ya hukumu kama baba mkali. (Ala….) Sipendi chochote duniani; kwa moyo wangu wote ninampenda Mungu wangu tu.

Jumatano, 20 Septemba 2017

Muziki wa Akapela "Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu" (Video Rasmi ya Muziki)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu

Mpaka siku moja, utahisi kuwa Muumba sio fumbo tena, kwamba Muumba hajawahi kufichwa kutoka kwako, kwamba Muumba hajawahi kuificha sura Yake kutoka kwako, kwamba Muumba hayuko mbali na wewe hata kidogo, kwamba Muumba siye Yule unayemtamania katika mawazo yako lakini kwamba huwezi kumfikia na hisia zako, kwamba Anasimama kwa kweli kama mlinzi kulia na kushoto kwako, Akiruzuku maisha yako, na kudhibiti majaliwa yako, kudhibiti majaliwa yako.

Jumapili, 17 Septemba 2017

Neno la Mungu Humwongoza Mtu Kuishi Maisha Mapya MV| Maisha Yetu ya Kanisa Yanapendeza Sana

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
 Maisha Yetu ya Kanisa Yanapendeza Sana

Mwenyezi Mungu mwenye mwili, tunaimba nyimbo za sifa kubwa Kwako. Wewe hutuleta katika maisha ya ufalme. Sisi watu wa ufalme tu katika karamu yako ya fahari, tukifurahia maneno Yako, tukitakaswa upotovu wetu. Neno Lako hutuongoza na sisi kukufuata kwa karibu. Ni neema ya Mungu kwamba tabia yetu ya kishetani imetupiliwa mbali. Sisi hufurahia neno la Mungu na kuishi maisha mapya mbele Zake. Kutunza moyo wa Mungu, kumpenda Yeye kwa dhati, kumshukuru na kumsifu. La la la la la ... la la la la la ...