Smiley face
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kumsifu-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kumsifu-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 8 Juni 2019

Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I” Sehemu ya Kwanza



Matamshi ya Mungu | “Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I” Sehemu ya Kwanza

Mwenyezi Mungu anasema, “Tabia ya Mungu iko wazi kwa kila mmoja na haijafichwa, kwa sababu Mungu hajawahi kuepuka kimakusudi mtu yeyote na Hajawahi kimakusudi kujaribu kujificha Mwenyewe ili watu wasiweze kumjua Yeye au kumwelewa Yeye. Tabia ya Mungu siku zote imekuwa wazi na siku zote imekuwa ikitazama kila mtu kwa njia ya uwazi. Katika usimamizi wa Mungu, Mungu hufanya kazi Yake akitazama kila mmoja; na kazi Yake ndiyo inafanywa kwa kila mtu.

Wimbo Mpya wa Dini 2019 | “Zingatia Majaliwa ya Binadamu” | Wokovu wa Mungu (Lyrics Video)



Wimbo Mpya wa Dini 2019 | “Zingatia Majaliwa ya Binadamu” | Wokovu wa Mungu (Lyrics Video)
Mungu awahimiza makabila yote, mataifa na nyanja zote: Sikizeni sauti Yake, muione kazi Yake; mzingatie hatima ya wanadamu; mfanye Mungu Mtakatifu na Mheshimiwa, Mkuu na wa pekee wakuabudiwa, ulimwengu wote, na wanadamu, waishi chini ya baraka Yake Mungu, kama vizazi vya Ibrahimu, walivyoishi na ahadi ya Yehova, kama viumbe vya Mungu, Adamu na Hawa, walivyoishi bustani Edeni. Kazi ya Mungu ni kama mawimbi yavumayo hakuna wa kumzuia au kumsimamisha.

Ijumaa, 7 Juni 2019

Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | “Mungu na Mwanadamu Wataingia Rahani Pamoja” Sehemu ya Pili



Matamshi ya Kristo wa Siku za Mwisho | “Mungu na Mwanadamu Wataingia Rahani Pamoja” Sehemu ya Pili

Mwenyezi Mungu anasema, “Mungu aliumba binadamu na Akawaweka duniani, ambao Amewaongoza mpaka siku ya leo. Kisha Akaokoa binadamu na kuhudumu kama sadaka ya dhambi kwa binadamu. Mwishowe lazima bado ashinde binadamu, aokoe binadamu kabisa na kuwarejesha kwa mfano wao wa awali. Hii ndiyo kazi Amekuwa akifanya kutoka mwanzo hadi mwisho—kurejesha mwanadamu kwa sura yake halisi na kwa mfano wake wa awali.

Jumanne, 6 Novemba 2018

Jumanne, 30 Januari 2018

Nyimbo za Uzoefu wa Maisha "Watu Wote Wanaishi Katika Mwanga wa Mungu"

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,

  • Wimbo wa Maneno ya Mungu
  • Watu Wote Wanaishi
  • Katika Mwanga wa Mungu
  • I
  •     Sasa kwa kushangilia sana, utakatifu wa Mungu na haki vinakua ulimwenguni kote, ikitukuka sana kati ya wanadamu wote. Miji ya mbinguni inacheka, falme za dunia zinacheza. Ni nani asiyesherehekea? Ni nani asiyetoa machozi?

Jumapili, 24 Desemba 2017

Nyimbo za Uzoefu wa Maisha “Wimbo wa Mapenzi Matamu”

Smiley face

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha
Wimbo wa Mapenzi Matamu
I
Kinani mwa moyo wangu, ni mapenzi Yako. Ni matamu sana, nakaa karibu yako. Kukutunza hukoleza moyo wangu; kukutumikia na mawazo yangu yote. Kuongoza moyo wangu, ni mapenzi Yako; mimi hufuata nyayo zako za mapenzi. Mimi hujisogeza kulingana na macho Yako; mapenzi yanaonyesha furaha ya moyo wangu. Mapenzi yanaonyesha furaha ya moyo wangu.

Jumanne, 19 Desemba 2017

Nyimbo za Uzoefu wa Maisha "Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja"



Wimbo wa Uzoefu wa Maisha
Papa hapa, Hivi Sasa, Tuungane Pamoja
I
Kwa kupendana, sisi ni familia. Ah … ah … Papa hapa, hivi sasa, tunaungana; kusanyiko la watu wampendao Mungu. Bila upendeleo, tukishikizwa kwa karibu, furaha na utamu vikijaza nyoyo zetu. Jana tuliacha majuto na hatia; leo tunaelewana, tunaishi katika upendo wa Mungu. Pamoja, tuna furaha zaidi, huru kutoka kwa mwili. Ndugu zangu, pendaneni; sisi ni familia moja.

Alhamisi, 7 Desemba 2017

Nyimbo za Uzoefu wa Maisha "Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani"

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,

Wimbo wa Uzoefu wa Maisha
Furaha katika Nchi Nzuri ya Kanaani
I
Nimerudi kwa familia ya Mungu, mchangamfu na mwenye furaha. Mikono yangu imemshika mpendwa wangu, moyo wangu ni miliki Yake. Japo nimepitia Bonde la Machozi, nimeyaona mapenzi ya Mungu. Mapenzi yangu kwa Mungu hukua siku baada ya siku, Mungu ndiye chanzo cha furaha yangu. Nikiduwazwa na uzuri wa Mungu, moyo wangu umeshikizwa kwa Mungu.