Katika mwako wa umeme, kila mnyama hufichuliwa katika hali yake halisi. Hivyo pia, kama wameangaziwa na mwanga Wangu, wanadamu wamepata tena utakatifu waliokuwa nao wakati mmoja. Oh, ya kwamba dunia potovu ya zamani mwishowe imeanguka na kutumbukia ndani ya maji ya taka na, kuzama chini ya maji, na kuyeyuka na kuwa tope! Ah, ya kwamba binadamu wote Niliouumba hatimaye umerudiwa na uhai tena katika mwanga, kupata msingi wa kuwepo, na kuacha kupambana katika tope! Ah, Mambo mengi ya uumbaji Ninayoyashikilia mikononi Mwangu! Wanawezaje, kukosa kufanywa upya, kupitia maneno Yangu? Wanawezaje, katika mwanga, kukosa kuendeleza kazi zao? Dunia si kimya na nyamavu tena, mbingu si ya ukiwa na yenye huzuni tena.
Kanisa la Mwenyezi Mungu lilikuja kuwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu.
NYUMBANI
Usomaji wa Maneno ya Mwenyezi Mungu
Filamu za Injili
Kwaya za Injili
Maisha ya Kanisa—Mfululizo wa Maonyesho Mbalimbali
Video za Nyimbo na Ngoma
Msururu wa MV za Ufalme
Video za Nyimbo za Dini
Filamu za Maisha ya Kanisa
Filamu za Uzoefu wa Mateso
Kufunua Mfululizo wa Video za Ukweli
Sehemu za Filamu
Aina za Dondoo za Video
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Umeme-wa-Mashariki. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Umeme-wa-Mashariki. Onyesha machapisho yote
Jumanne, 2 Julai 2019
Jumapili, 2 Desemba 2018
Swahili Christian Video "Kutoroka Kizimba" (Crosstalk) | Christians Are Determined to Follow God
Mazungumzo chekeshi Kutoroka Kizimbani yanaeleza hadithi ya jinsi Mkristo Xiaolan aliteswa na kufungiwa nyumbani mwao kwa mwezi mmoja na baba yake afisa wa Chama cha Kikomunisti, pale ambapo hakuweza kushiriki katika maisha ya kanisa, na uzoefu wake wa kutoroka nyumbani na kukimbia. Familia iliyokuwa na furaha ilitenganishwa, binti akamwacha mamake, na babake akawekea kisasi cha ndani dhidi yake. Ni nani aliyekuwa mbunifu mkuu? Na ni nani aliyempatia Xiaolan imani na nguvu, na kumwelekeza kutoroka kizimba na kutembea kwa njia sahihi ya maisha?
Sikiliza zaidi: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu, Chanzo cha Mafanikio ya Umeme wa Mashariki
Jumamosi, 1 Desemba 2018
Swahili Christian Video "Macho Kila Mahali" | The Means the CCP Uses to Capture Christians
Mchezo wa kuchekesha Macho Kila Mahali unaeleza jinsi Chama cha Kikomunisti cha China kinavyojaribu kuondoa dini kwa kutumia uchunguzi mkubwa kote nchini, pamoja na kuwageuza watu katika kila tabaka na kazi ya maisha kuwa macho ili kuchunguza, kusimamia, na kupeleleza Wakristo. Kupitia igizo chekeshi dhahiri, jozi hii ya mchezo wa kuigiza inatuonyesha sote mbinu zinazostahili kudharauliwa na makusudi ya kuchukiwa sana ambayo kwayo CCP kinakamata Wakristo, na wakati huohuo inatuonyesha sisi jinsi Wakristo wanavyomtegemea Mungu kukwepa jozi moja ya macho baada ya nyingine, wanavyoeneza injili, na kumshuhudia Mungu.
Kuhusu Sisi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?
Jumanne, 27 Novemba 2018
Swahili Christian Skit "Mipaka ya Meya wa Kijiji" | Why Is There No Religious Freedom in China?
Mchezo mfupi Mipaka ya Meya wa Kijiji inaeleza hadithi ya kweli ya mume na mke Wakristo ambao wanalazimishwa kutoroka kwa sababu ya mateso ya serilaki ya CCP.
Jumatatu, 19 Novemba 2018
Umeme wa Mashariki | Huku Ni Kuweka Ukweli Katika Vitendo
Fan Xing Mji wa Zhumadian, Mkoa wa Henan
Katika siku za nyuma, nilikuwa nimeunganishwa na dada mmoja kufanya kazi kwa wajibu fulani. Kwa sababu nilikuwa na majisifu na mwenye kiburi na sikutafuta ukweli, nilikuwa na mawazo kiasi ya kabla kuhusu dada huyu ambayo niliweka moyoni mwangu daima na sikuzungumza waziwazi naye. Tulipotengana, sikuwa nimeingia katika ukweli wa uhusiano wa kufanya kazi wenye kuridhisha.
Alhamisi, 15 Novemba 2018
Umeme wa Mashariki | Nyimbo za Maneno ya Mungu | Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote
- Wimbo wa Maneno ya Mungu
- Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote
- I
- Kutoka unapoingia katika dunia hii ukilia,
- unaanza kutenda wajibu wako.
Jumatatu, 12 Novemba 2018
Umeme wa Mashariki | Wimbo wa Uzoefu wa Maisha | Wimbo wa Kifuasi cha Dhati
- Wimbo wa Uzoefu wa Maisha
- Wimbo wa Kifuasi cha Dhati
-
- I
- Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili.
- Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli.
Jumanne, 6 Novemba 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Wimbo | Wewe Tu Unaweza Kuniokoa Mimi
- Wimbo
- Wewe Tu Unaweza Kuniokoa Mimi
- I
- Mnyenyekevu na Uliyejificha,
- Waambatana na watu katika matatizo yao,
- Ukiwapa njia ya uzima wa milele.
Jumanne, 23 Oktoba 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Swahili Gospel Video Clip "Kuibuka na Kuanguka kwa Falme ya Kirumi"
Swahili Gospel Video Clip "Kuibuka na Kuanguka kwa Falme ya Kirumi"
Milki ya kale ya Kirumi iliinuka na ilianzishwa kwa ajili ya kuenea kwa Ukristo.
Jumamosi, 20 Oktoba 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Swahili Gospel Video Clip "Ahadi ya Mungu kwa Waisraeli"
Swahili Gospel Video Clip "Ahadi ya Mungu kwa Waisraeli
Baada ya mamia ya miaka ya kuwekwa chini ya sheria, Waisraeli hatimaye walikabiliwa na hatari ya kuhukumiwa na kuuawa na sheria kwa sababu ya dhambi zao.Walimwita Mungu kwa haraka, ambaye aliwapa ahadi—ahadi ambayo ingezibadilisha kudura zao na kuweko.
Alhamisi, 18 Oktoba 2018
Umeme wa Mashariki | 2018 Gospel Music "Mungu Akiwaongoza Waisraeli Kutoka Misri" (Swahili Subtitles)
2018 Gospel Music "Mungu Akiwaongoza Waisraeli Kutoka Misri" (Swahili Subtitles)
Ili kuwaongoza Waisraeli kutoka Misri,Mungu alituma mapigo kumi Misri, akatumia mamlaka Yake kwa kutenganisha bahari, na kuwakomboa Waisraeli kutoka kwa maisha yao ya utumwa—yote ambayo yalidhihirisha uwezo Wake mkuu, na kueleza upendo Wake mkubwa na hangaiko Lake kwa wale wateule.
Ili kuwaongoza Waisraeli kutoka Misri,Mungu alituma mapigo kumi Misri, akatumia mamlaka Yake kwa kutenganisha bahari, na kuwakomboa Waisraeli kutoka kwa maisha yao ya utumwa—yote ambayo yalidhihirisha uwezo Wake mkuu, na kueleza upendo Wake mkubwa na hangaiko Lake kwa wale wateule.
Jumatatu, 15 Oktoba 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | 2018 Gospel Music "Uumbaji wa Mungu wa Dunia" (Swahili Subtitles)
2018 Gospel Music "Uumbaji wa Mungu wa Dunia" (Swahili Subtitles)
Kitabu cha Mwanzo kimenakili jinsi, hapo mwanzo, Mungu aliuumba ulimwengu kimiujiza.
Jumapili, 14 Oktoba 2018
Umeme wa Mashariki | Words the Holy Spirit Says to the Churches | "Sauti Nzuri Ajabu" | Filamu za Injili
The Words the Holy Spirit Says to the Churches | "Sauti Nzuri Ajabu" | Filamu za Injili
Dong Jingxin ni mhubiri katika kanisa la nyumba nchini Uchina. Amemsadiki Bwana kwa miaka thelathini, na anapenda ukweli, mara kwa mara yeye husoma maneno ya Bwana na yanamsisimua. Anajitumia kwa ajili ya Bwana kwa shauku kubwa.
Jumamosi, 13 Oktoba 2018
Umeme wa Mashariki | Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (1) - Je, Ni Vipi Unabii wa Kurudi kwa Bwana Yesu Unatimia?
Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (1) - Je, Ni Vipi Unabii wa Kurudi kwa Bwana Yesu Unatimia?
Watu wengi katika ulimwengu wa kidini hufuata unabii unaosema kwamba Bwana atashuka akiwa juu ya wingu na wanamsubiria Yeye kuja kwa njia hiyo kisha kuwanyakua hadi kwenye ufalme wa mbinguni, lakini wanapuuza unabii mbalimbali wa Bwana kuhusu kuja kwa siri: "Tazama, mimi nakuja kama mwizi" (Ufunuo 16:15).
Ijumaa, 12 Oktoba 2018
Umeme wa Mashariki | Kutupa mbali Jozi La Shetani Kunakomboa
Momo Mji wa Hefei, Mkoa wa Anhui
Kabla ya kumwamini Mungu, bila kujali chochote nilichokuwa nikifanya, sikuwahi kutaka kubaki nyuma. Nilikuwa tayari kukubali shida yoyote ili mradi ingemaanisha ningeinuka juu ya kila mtu mwingine zaidi. Baada ya kumkubali Mungu, mtazamo wangu uliendelea kuwa sawa, kwa sababu niliamini kikamilifu msemo, “Hakuna maumivu, hakuna faida,” na kuona mtazamo wangu kama ushahidi wa msukumo wangu.
Jumapili, 7 Oktoba 2018
Umeme wa Mashariki | Best Christian Music "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" (Swahili Musical Documentary) | Power of God
Best Christian Music "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" (Swahili Musical Documentary) | Power of God
Kote katika ulimwengu mkubwa mno, sayari zote ya mbingu husogea kwa usahihi katika mizunguko yazo zenyewe.
Ijumaa, 28 Septemba 2018
Umeme wa Mashariki | Kwaheri kwa Zile Siku za Kushindana na Majaliwa
Yixin
Kijiji cha kishamba kilichojikokota kimaendeleo, wazazi wangu waliochoka kwa sababu ya kazi zao, maisha ya shida za kifedha … kumbukumbu hizi za huzuni zilitia alama kwa mawazo yangu machanga, zilikuwa ni hisia yangu ya kwanza ya “majaliwa.” Baada ya kuanza kwenda shule, mara ya kwanza nilipomsikia mwalimu wangu akisema kwamba “Unadhibiti majaliwa yako katika mikono yako mwenyewe,” niliweka maneno haya imara mawazoni mwangu.
Alhamisi, 27 Septemba 2018
Umeme wa Mashariki | Mama wa "Vijijini" Akutana na Binti Mkwe wa "Mjini"
Liu Jie, Hunan
Maoni Tofauti, Migongano Ya Siku Zote
Mimi ni mke wa kawaida, mke mzuri na mama mwenye upendo, mimi huwatunza vizuri mume wangu na watoto wangu, mimi hufanya kazi kwa bidii na mwekevu katika kuendesha nyumba yangu, na sijawahi kamwe kutumia fedha zangu bila hadhari. Lakini kitu kisichofikirika kilinifika.
Jumatano, 26 Septemba 2018
Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mabadiliko ya Mtu Aliyeanguka
Tong Xin Mkoa wa Fujian
Nilizaliwa vijijini. Nilitoka kwa nasaba ya wakulima wanyenyekevu na zaidi ya hayo familia yetu ilikuwa na watu wachache, kwa hiyo mara nyingi tulikuwa tunadhulumiwa. Nilipokuwa na umri wa miaka 13, kulikuwa na mtoto aliyepigwa na mtu fulani kutoka nje ya kijiji chetu.
Jumanne, 25 Septemba 2018
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)







