Smiley face
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Hukumu-Huanza-na-Nyumba-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Hukumu-Huanza-na-Nyumba-ya-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 28 Agosti 2018

Sinema Fupi ya Injili "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" (3) - Mungu Hutumia Ukweli Kuhukumu na Kutakasa Mwanadamu katika Siku za Mwisho



Katika Siku za Mwisho, Mungu anapata mwili ili kufanya kazi ya hukumu duniani kuanzia kwa nyumba ya Mungu, hivyo, kazi ya Mungu ya hukumu katika siku za mwisho inamtakasaje na kumwokoa mwanadamu? Ni mabadiliko gani yataletwa kwa tabia yetu ya maisha baada ya kushuhudia hukumu na kuadibu kwa Mwenyezi Mungu? Filamu hii ya Kuamka Kutoka kwa Ndoto, itakupa majibu yote!

Alhamisi, 23 Agosti 2018

Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (9) - Ushuhuda kutoka kwa Kupitia Hukumu ya Mungu katika Siku za Mwisho



Katika siku za mwisho, Mwenyezi Mungu anaonyesha ukweli nchini China na anafanya kazi ya hukumu akianza na nyumba ya Mungu. Alishinda na kuokoa kundi la watu, na wao ndio ambao wamepata njia ya uzima wa milele. Je, unataka kujua jinsi ambavyo wamepitia hukumu na kuadibiwa kwa Mungu? Je, unataka kujua ni mabadiliko gani ambayo wamepitia kwa kupitia hukumu na kuadibu kwa Mungu? Unaweza kusikia kutoka kwao ukiitazama hii video fupi.

Jumamosi, 18 Agosti 2018

Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (4) - Kwa nini Mungu Anatekeleza Kazi ya Hukumu katika Siku za Mwisho?



Hata ingawa dhambi zetu husamehewa mara tunapokiri imani yetu katika Bwana, mara nyingi bado sisi hutenda dhambi. Hili ni tatizo ambalo huwakanganya waumini wote. Bila kujali tumeamini katika Bwana kwa miaka mingapi, na bila kujali jinsi tunavyotenda maneno ya Bwana au jinsi tunavyotegemea utashi wetu kujizuia, wakati wote bado hatuwezi kujiweka huru kutokana na udhibiti wa asili yetu ya dhambi.

Ijumaa, 2 Machi 2018

"Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni" (4): Ni nini Tofauti Kati ya Kazi ya Mungu ya Hukumu katika Siku za Mwisho na Kazi ya Bwana Yesu?



Baadhi ya watu huamini kwamba baada ya Bwana Yesu kufufuka na kupaa mbinguni, Roho Mtakatifu alishuka kufanya kazi kwa mtu katika siku ya Pentekoste. Yeye aliishutumu dunia ya dhambi, na ya haki, na ya hukumu. Tunapopokea kazi ya Roho Mtakatifu na kutubu kwa Bwana kwa ajili ya dhambi zetu, tunapitia hukumu ya Bwana. Kazi inayofanywa na Roho Mtakatifu katika siku ya Pentekoste inapaswa kuwa kazi ya hukumu ya Mungu katika siku za mwisho. Je, tu sahihi katika njia tunayoipokea? Je, kuna tofauti gani kati ya kazi ya Bwana Yesu na kazi ya hukumu ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho?