Mara kwa mara wachungaji na wazee huwafundisha watu kuwa hawawezi kuitwa waumini wakiondoka kwenye Biblia, na kwamba kwa kushikilia Biblia pekee ndiyo wanaweza kupata uzima na kuingia katika ufalme wa mbinguni. Kwa hivyo, je, kweli hatuwezi kupata uzima tukiondoka kwenye Biblia? Je, ni Biblia ambayo inaweza kutupa uzima, au ni Mungu ambaye anaweza kutupa uzima?

Kanisa la Mwenyezi Mungu lilikuja kuwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu.
NYUMBANI
Usomaji wa Maneno ya Mwenyezi Mungu
Filamu za Injili
Kwaya za Injili
Maisha ya Kanisa—Mfululizo wa Maonyesho Mbalimbali
Video za Nyimbo na Ngoma
Msururu wa MV za Ufalme
Video za Nyimbo za Dini
Filamu za Maisha ya Kanisa
Filamu za Uzoefu wa Mateso
Kufunua Mfululizo wa Video za Ukweli
Sehemu za Filamu
Aina za Dondoo za Video
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Aina-za-Dondoo-za-Video. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Aina-za-Dondoo-za-Video. Onyesha machapisho yote
Jumatatu, 30 Julai 2018
Jumapili, 29 Julai 2018
"Fichua Siri Kuhusu Biblia" (5) - Ni Vipi Kuna Makosa Ndani ya Biblia?
Watu wengi wanaamini kwamba Biblia yote imetiwa msukumo na Mungu, kwamba imetoka kabisa kwa Roho Mtakatifu, na kwamba hakuna hata neno moja lililo na kosa. Je, mtazamo wa aina hii unawiana na ukweli? Biblia iliandikwa na waandishi zaidi ya 40, yaliyomo yaliandikwa na kupangwa na mwanadamu, na haikufunuliwa moja kwa moja na Roho Mtakatifu.
Jumamosi, 28 Julai 2018
"Fichua Siri Kuhusu Biblia" (4) - Je, Biblia Nzima Imetiwa Msukumo na Mungu Kweli?
Watu wengi katika ulimwengu wa dini wanaamini kwamba "Kila andiko limetolewa kwa msukumo wa Mungu," yote katika Biblia ni neno la Mungu. Je, kauli ya aina hii inakubaliana na ukweli? Biblia ni ushahidi wa Mungu pekee, rekodi ya kazi ya Mungu tu, na haijaundwa kwa matamshi ya Mungu kikamilifu. Ndani ya Biblia, ni maneno yaliyonenwa na Yehova Mungu, maneno ya Bwana Yesu, unabii wa Ufunuo na maneno ya manabii yaliyotolewa kwa msukumo wa Mungu pekee, ndiyo neno la Mungu.
Ijumaa, 27 Julai 2018
"Fichua Siri Kuhusu Biblia" (3) - Je, Inamaanisha Nini katika Ufunuo Inaposema Mtu Asiongeze kwa Unabii?
Ufunuo sura ya 22, mstari wa 18 "Kwa kuwa namshuhudia kila mtu ayasikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki, Iwapo mtu yeyote ataongeza kwa mambo haya, Mungu atamwongezea hayo mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki." Je, ungependa kujua maana halisi ya maneno haya? Video hii itakuonyesha jibu.
Alhamisi, 26 Julai 2018
"Fichua Siri Kuhusu Biblia" (2) - Imefichuliwa: Uhusiano Kati ya Mungu na Biblia
Wachungaji na wazee wa kanisa wa ulimwengu wa dini wanaamini kuwa maneno na kazi zote za Mungu yamo ndani ya Biblia, kwamba wokovu wa Mungu katika Biblia ni mkamilifu na mradi watu waweke msingi wa imani yao katika Bwana katika Bibilia na washikilie Bibilia, basi wanaweza kunyakuliwa na wanaweza kuingia katika ufalme wa mbinguni.
Jumatano, 25 Julai 2018
"Fichua Siri Kuhusu Biblia" (1) - Imefichuliwa: Je, Kuna Maneno Yoyote au Kazi ya Mungu Mbali na Yaliyo katika Biblia?
Wachungaji na wazee wa kanisa wa ulimwengu wa dini mara nyingi huwafundisha watu kwamba hakuna maneno na kazi ya Mungu nje ya Biblia, na hivyo kwenda zaidi ya Biblia ni uzushi. Je, wazo hili linastahili kuchunguzwa? Je, linalingana na ukweli wa kazi ya Mungu? Kazi ya ukombozi iliyofanywa na Bwana Yesukatika Enzi ya Neema haijaandikwa tu katika Agano la Kale na inakwenda zaidi ya Agano la Kale.
Alhamisi, 28 Juni 2018
"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (6) - Mungu Humtumiaje Shetani Kufanya Huduma
Mungu anasema, "Katika Mpango Wangu, Shetani amewahi ondoka katika kisigino cha kila hatua, na, kama foili ya hekima Yangu amejaribu siku zote kutafuta njia na namna ya kuvuruga mpango Wangu wa awali. Lakini Ningeweza kukabiliwa na miradi yake ya udanganyifu? Vyote mbinguni na duniani vinanitumikia—njama za udanganyifu za shetani zingeweza kuwa tofauti?
Jumatano, 27 Juni 2018
"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (5) - Kwa Nini Mafarisayo Wanampinga Mungu?
Mafarisayo wa dunia ya kidini wote wana maarifa nyingi ya Maandiko na wamemtumikia Mungu kwa miaka mingi, na bado hawatafuti na kuchunguza kuonekana na kazi ya Mungu mwenye mwili tu, lakini kinyume na hayo, wanahukumu vikali, kushutumu, na kupinga. Hili hakika ni la kushangaza! Hivyo kwa nini Mafarisayo wa dunia ya kidini wanamshutumu na kumpinga Mungu? Mungu anasema, "Wale wanaosoma Biblia kwa makanisa makubwa hukariri Biblia kila siku, lakini hakuna yeyote anayeelewa madhumuni ya kazi ya Mungu.
Jumanne, 26 Juni 2018
"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (4) - Kwa Nini Binadamu Humwasi Mungu?
Miaka elfu mbili iliyopita, Mungu alipopata mwili kama Bwana Yesu na kuja miongoni mwa wanadamu kuwakomboa binadamu Alikataliwa katika enzi ya giza, hatimaye kusulubiwa msalabani na binadamu waovu wenye upotovu. Bwana Yesu alitabiri kwamba Angekuja tena katika siku za mwisho, Akisema: "Kwa kuwa kama vile umeme, umulikavyo toka upande mmoja chini ya mbingu, na kumulika upande mwingine chini ya mbingu; ndivyo atakavyokuwa Mwana wa Adamu katika siku yake.
Jumatatu, 25 Juni 2018
"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (3) - Kufichua Fumbo la Kupata Mwili
Ingawa watu wanaomwamini Bwana wote wanajua kwamba Bwana Yesu ni Mungu aliyepata mwili, hata hivyo hakuna kweli anayeweza kuelewa ukweli wa kupata mwili. Imetabiriwa katika Biblia kwamba Bwana atakuja tena katika mwili kuzungumza na kufanya kazi katika siku za mwisho. Kama hatumjui Mungu mwenye mwili, basi hatuna namna ya kukaribisha kuja kwa mara ya pili kwa Bwana.
Jumapili, 24 Juni 2018
"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (2) - Je, Kuna Msingi Katika Biblia wa Kurudi kwa Bwana Kupitia Kupata Mwili?
Watu wengi katika kukaribisha kuja kwa mara ya pili kwa Bwana wanaweka umuhimu tu katika unabii ulio katika Maandiko kwamba Bwana atashuka kutoka mawinguni kuja tena huku wakipuuza unabii kwamba kuja kwa pili kwa Bwana ni kupitia kupata mwili. Wanatangaza kuwa ya uongo njia yoyote ambayo inashuhudia kuja kwa mara ya pili kwa Bwana kama Mungu kuwa mwili. Je, ufahamu wao na kutenda kwao kunapatana na Maandiko?
Jumamosi, 23 Juni 2018
"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (1) - Umeme wa Mashariki Laitikisa Dunia ya Kidini
Umeme wa Mashariki—kuonekana na kazi ya Mungu katika siku za mwisho limetikisa makundi na madhehebu yote, na kila aina ya wanadamu wamefichuliwa. Kondoo wengi wazuri katika kanisa wangependelea kuteseka kukamatwa kusikodhibitiwa na kuteswa na Chama cha Kikomunisti cha China ili tu kutafuta na kuchunguza Umeme wa Mashariki.
Ijumaa, 22 Juni 2018
"Kubisha Hodi Mlangoni" (5) - Bwana Anabisha Mlangoni: Unaweza Kuitambua Sauti ya Bwana (2)
Bwana Yesu alisema, "Kondoo wangu huisikia sauti yangu" (Yohana 10:27). Kwa dhahiri, Bwana ananena ili kuwatafuta kondoo Wake wakati wa kurudi Kwake. Jambo la muhimu zaidi kwa Wakristo kufanya wanaposubiri kuja kwa Bwana ni kutafuta kusikia sauti ya Bwana. Mtu anawezaje kuitambua sauti ya Bwana, hata hivyo? Kuna tofauti gani kati ya sauti ya Mungu na sauti ya wanadamu?
Alhamisi, 21 Juni 2018
"Kubisha Hodi Mlangoni" (4) - Bwana Anabisha Mlangoni: Unaweza Kuitambua Sauti ya Bwana (1)
Bwana Yesu alisema, "Kondoo wangu huisikia sauti yangu" (Yohana 10:27). Kwa dhahiri, Bwana ananena ili kuwatafuta kondoo Wake wakati wa kurudi Kwake. Jambo la muhimu zaidi kwa Wakristo kufanya wanaposubiri kuja kwa Bwana ni kutafuta kusikia sauti ya Bwana. Mtu anawezaje kuitambua sauti ya Bwana, hata hivyo? Kuna tofauti gani kati ya sauti ya Mungu na sauti ya wanadamu?
Jumatano, 20 Juni 2018
"Kubisha Hodi Mlangoni" (3) - Wakristo Wameamka Baada ya Kumsikia Bwana Akizungumza Wakati wa Kurudi Kwake
Bwana Yesu alisema, "Tazama, nasimama mlangoni, na kubisha: mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja na yeye, na yeye pamoja na mimi" (Ufunuo 3:20). Kwa miaka hii yote, Kanisa Mwenyezi Mungu limeshuhudia kwa uthabiti kuwa Bwana Yesu amerudi, na kwamba amesema maneno ya kufanya kazi ya hukumu ya siku za mwisho.
Jumanne, 19 Juni 2018
"Kubisha Hodi Mlangoni" (2) - Ni Makosa Gani Ambayo Hufanyika kwa Urahisi Zaidi Katika Kumkaribisha Bwana
Watu wengi wa imani katika jamii za kidini wanaamini kile wachungaji na wazee wa kanisa wanachokisema, "Maneno na kazi zote za Mungu ziko katika Biblia. Haiwezekani kwa maneno yoyote ya Mungu kuonekana nje ya Biblia." Je, kuna msingi wa kibiblia wa dai hili, hata hivyo? Je, Bwana Yesu aliyasema maneno haya? Katika Ufunuo, imetabiriwa mara nyingi, "Yeye aliye na sikio, na asikie lile Roho anayaambia makanisa."
Jumatatu, 18 Juni 2018
"Kubisha Hodi Mlangoni" (1) - Ni Desturi Gani Muhimu Zaidi ya Kuukaribisha Ujio wa Bwana
Bwana Yesu alisema, "Kondoo wangu huisikia sauti yangu, na mimi Ninawajua, nao hunifuata" (Yohana 10:27). Pia imetabiriwa mara nyingi katika Ufunuo, "Yeye aliye na sikio, na asikie lile Roho anayaambia makanisa." Sauti na maneno ya Roho ni sauti ya Bwana, na ni kondoo wa Mungu mbao watatambua sauti ya Mungu. Ni tendo gani, basi, lililo muhimu kwa Wakristo wanapoukaribisha ujio wa Bwana?
Alhamisi, 7 Juni 2018
"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (6) - Bwana Yesu ni Mwana wa Mungu au Mungu Mwenyewe
Imeandikwa waziwazi katika Biblia kwamba Bwana Yesu ni Kristo, kwamba Yeye ni Mwana wa Mungu. Lakini Umeme wa Mashariki unashuhudia kwamba Kristo aliyepata mwili ni dhihirisho la Mungu, kwamba Yeye ni Mungu Mwenyewe. Kwa hiyo Kristo aliyepata mwili ni Mwana wa Mungu? Au Yeye ni Mungu Mwenyewe? Mwenyezi Mungu asema, "'Yesu ni Mwana mpendwa wa Mungu, ambaye anapendezwa Naye'....
Jumatano, 6 Juni 2018
"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (5) | Kufahamu Umuhimu wa Mungu Kupata Mwili Mara Mbili
Kupata mwili wa Mungu wa kwanza Alipigiliwa misumari msalabani, hivyo kuhitimisha kazi ya kuwakomboa wanadamu. Katika siku za mwisho, kupata mwili wa Mungu wa pili anaonyesha ukweli na Anafanya kazi Yake ya hukumu na kuadibu, Akiwaokoa wanadambu kabisa kutoka kwa miliki ya Shetani.
Jumanne, 5 Juni 2018
"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (4) - Kwa Nini Mungu Anakuwa Mwili Mara Mbili ili Kuwaokoa Wanadamu
Katika Enzi ya Neema, Mungu mwenye mwili alipigiliwa misumari msalabani, Akazichukua dhambi za mwanadamu na kukamilisha kazi ya kuwakomboa wanadamu. Katika siku za mwisho, Mungu kwa mara nyingine Amepata mwili kuonyesha ukweli na kumtakasa na kumwokoa mwanadamu kabisa. Hivyo kwa nini Mungu anahitaji kupata mwili mara mbili ili kufanya kazi ya wokovu wa mwanadamu?
Jisajili kwenye:
Machapisho (Atom)