Smiley face
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo hukumu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo hukumu. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 21 Aprili 2019

Wimbo wa Kuabudu | Mungu Anashuka na Hukumu


Wimbo wa Kuabudu | Mungu Anashuka na Hukumu

I
Anapokuja chini katika taifa la joka kuu jekundu,
Mungu anageuka kuutazama ulimwengu
na unaanza kutingika.
Je, kuna mahali popote ambapo hapatapata hukumu Yake?
Ama kuishi katika janga Analotoa?
Kila mahali Aendapo anamwaga mbegu ya janga,
lakini kupitia kwayo Anatoa wokovu
na kuonyesha upendo Wake.

Ijumaa, 28 Desemba 2018

"Wimbo wa Ushindi" (1) - Je, Bwana Atatokeaje na Kufanya Kazi Yake Wakati Atakaporudi?


Ishara ya maafa makubwa wakati wa siku za mwisho- miezi minne ya damu imetokea na nyota za angani zimechukua kuonekana kwa ajabu; maafa makubwa yanakaribia, na wengi wa wale walio na imani katika Bwana wamepata hisia ya kurudi Kwake kwa pili au kwamba tayari Amewasili. Wakati wote wanasubiri kuja kwa mara ya pili kwa Bwana kwa hamu kubwa, labda tumefikiria juu ya maswali yafuatayo: Je, Bwana ataonekanaje kwa mwanadamu Atakaporudi katika siku za mwisho? Je, ni kazi gani ambayo Bwana atafanya wakati Atakapokuja tena? Je, unabii wa hukumu ya kiti kikuu cheupe cha enzi kutoka Kitabu cha Ufunuo utatimizwaje hasa? Video hii fupi itafunua majibu kwako!

Masomo yanayohusiana: Neno la Mwenyezi Mungu, Kurudi kwa Yesu mara ya pili

Jumatano, 5 Desemba 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Tamko la Mia Moja na Kumi na Tano

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Tamko la Mia Moja na Kumi na Tano


    Moyo Wangu utakufurahia mno, Nitacheza kwa furaha juu yako, na Nitakupa baraka zisizo na mwisho, kwa kuwa kabla ya uumbaji, ulitoka Kwangu, na leo lazima urejee upande Wangu, kwa kuwa wewe si wa dunia ama ulimwengu bali, badala yake, wewe ni Wangu. Nitakupenda milele, Nitakubariki milele na Nitakulinda milele. Ni wale tu ambao wametoka Kwangu wanaoyajua mapenzi Yangu, na ni wao tu wataudhukuru mzigo Wangu na kufanya kile ambacho Ninataka kukifanya. Sasa, kila kitu tayari kimekwisha kutimizwa.

Jumatatu, 3 Desemba 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Ni kwa Kupitia Usafishaji tu Ndiyo Mwanadamu Anaweza Kumpenda Mungu kwa Kweli

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Ni kwa Kupitia Usafishaji tu Ndiyo Mwanadamu Anaweza Kumpenda Mungu kwa Kweli

Je, ni jinsi gani mwanadamu anafaa kumpenda Mungu wakati wa usafishaji? Baada ya kupitia usafishaji, wakati wa usafishaji watu wanaweza kumsifu Mungu kwa kweli na kuona jinsi wanavyokosa kwa kiasi kikubwa. Kadiri usafishaji wako ulivyo mkubwa, ndivyo unaweza zaidi kukana mwili; kadiri usafishaji wao ulivyo mkubwa, ndivyo zaidi ulivyo upendo wa watu kwa Mungu, Hili ndilo mnapaswa kuelewa.

Alhamisi, 29 Novemba 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Kusudi la Kuwasimamia Binadamu

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Kusudi la Kuwasimamia Binadamu

Ikiwa watu wanaweza kweli kuielewa kikamilifu njia sahihi ya maisha ya binadamu na vilevile kusudi la usimamizi wa Mungu wa binadamu, wasingeshikilia mategemeo yao ya baadaye na majaliwa yao binafsi kama hazina mioyoni mwao. Wasingetamani tena kuwatumikia wazazi wao ambao ni wabaya zaidi kuliko nguruwe na mbwa. Je, mategemeo ya baadaye na majaliwa ya mwanadamu si kabisa kile kinachoitwa nyakati za sasa "wazazi" wa Petro? Yamekuwa kama tu mwili na damu ya mwanadamu. 

Jumatano, 28 Novemba 2018

Muziki wa Injili "Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu" | God Is Salvation to Man


Muziki wa Injili "Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu" | God Is Salvation to Man


Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu 
wanaomwabudu na kumtii Yeye.
Ingawa wamepotoshwa na Shetani, hawamwiti baba tena.
Wanajua ubaya wa Shetani, hivyo wanamkataa.
Wanakuja mbele ya Mungu, wanakubali adabu na hukumu.
Wanajua kile kilicho kibaya, na kile ambacho ni kitakatifu.
Na wanajua ukuu wa Mungu, na uovu wa Shetani.
Jamii kama hii ya binadamu haitamfanyia Shetani kazi wala kumwabudu tena.
Kwa sababu hawa ni watu ambao kwa kweli wametwaliwa na Mungu.
Hii ndiyo sababu Mungu anamsimamia mwanadamu.

Jumamosi, 24 Novemba 2018

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Sura ya 120

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Sura ya 120


Sayuni! Salamu! Sayuni! Ita kwa sauti! Nimerudi kwa ushindi, Nimerudi nikiwa mshindi! Watu wote! Harakisheni mpange foleni kwa utaratibu! Vitu vyote! Mtakuja kusimama kabisa, kwa sababu nafsi Yangu inaukabili ulimwengu mzima na nafsi Yangu inaonekana katika Mashariki ya dunia! Nani anayethubutu kutopiga magoti katika ibada? Nani anayethubutu kutosema kumhusu Mungu wa kweli? Nani anayethubutu kutoangalia juu kwa kumcha? Nani anayethubutu kutotoa sifa? Nani anayethubutu kutangaza kwa shangwe? Watu wangu wataisikia sauti Yangu, Wanangu watasalia ndani ya ufalme Wangu! Milima, mito, na vitu vyote vitashangilia bila kukoma, na kurukaruka bila kupumzika. Wakati huu, hakuna atakayethubutu kurudi nyuma, hakuna atakayethubutu kusimama katika upinzani.

Jumapili, 11 Novemba 2018

Jumatano, 3 Oktoba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Swahili Christian Song "Matendo ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu" | Praise the Great Power of God


Swahili Christian Song "Matendo ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu" | Praise the Great Power of God


Mungu anatazama chini juu ya vitu vyote kutoka juu, na Anatawala vitu vyote kutoka juu.
Wakati huo huo, Mungu ametuma wokovu Wake juu ya dunia.
Mungu anaangalia kutoka mahali Pake pa siri kila wakati,
kila hatua ya mwanadamu, kila kitu anachosema na kufanya.

Jumatatu, 1 Oktoba 2018

Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (5) - Je, Hukumu ya Mungu katika Siku za Mwisho ni Adhabu au Wokovu?

(5) - Je, Hukumu ya Mungu katika Siku za Mwisho ni Adhabu au Wokovu?


Baadhi ya watu husoma maneno ya Mungu na kuona kwamba kunayo mambo makali ambayo ni hukumu ya wanadamu, na shutuma na laana. Wanafikiria kwamba kama Mungu huhukumu na kulaani watu, nao pia hawatashutumiwa na kuadhibiwa?

Ijumaa, 28 Septemba 2018

Umeme wa Mashariki | Kwaheri kwa Zile Siku za Kushindana na Majaliwa


Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Mungu




Yixin


Kijiji cha kishamba kilichojikokota kimaendeleo, wazazi wangu waliochoka kwa sababu ya kazi zao, maisha ya shida za kifedha … kumbukumbu hizi za huzuni zilitia alama kwa mawazo yangu machanga, zilikuwa ni hisia yangu ya kwanza ya “majaliwa.” Baada ya kuanza kwenda shule, mara ya kwanza nilipomsikia mwalimu wangu akisema kwamba “Unadhibiti majaliwa yako katika mikono yako mwenyewe,” niliweka maneno haya imara mawazoni mwangu.

Alhamisi, 20 Septemba 2018

Filamu za Kikristo | “Toka Nje ya Biblia” Movie Clip: Mungu Hufanya Kazi Kulingana na Biblia?


Wakati Bwana Yesu alkuwa akifanya kazi Yake katika Enzi ya Neema, akihubiri  kwamba ufalme wa mbinguni umekaribia na kuwaleta watu katika njia ya toba, Mafarisayo Wayahudi walimhukumu Yeye, wakisema kwamba maneno na kazi Yake zilikuwa kinyume na sheria za Agano la Kale, eti kuwa zilienda zaidi ya Agano la Kale, na kuwa yalikuwa ni uzushi.

Jumapili, 9 Septemba 2018

Matamshi ya Roho Mtakatifu | "Inapofikia Mungu, Ufahamu Wako ni Upi?"

Matamshi ya Roho Mtakatifu | "Inapofikia Mungu, Ufahamu Wako ni Upi?"

   Mwenyezi Mungu alivyosema, "Huyu Aitwaye Mungu si Roho Mtakatifu pekee, huyo Roho, Roho aliyoongezeka mara saba, Roho anayehusisha yote, bali pia mtu, mtu wa kawaida, mtu wa kipekee wa kawaida. Si wa kiume pekee, bali pia kike. Wako sawa kwamba wote wanazaliwa kwa binadamu, na tofauti kwamba mmoja anachukuliwa katika mimba na Roho Mtakatifu na mwingine Anazaliwa kwa mwanadamu lakini Anatoka kwa Roho moja kwa moja. Wako sawa kwa namna kwamba wote kupata miili kwa Mungu hutenda kazi ya Baba yao, na kutofautiana kwa namna kwamba mmoja Anafanya kazi ya ukombozi na mwingine anafanya kazi ya ushindi.

Jumanne, 20 Februari 2018

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | Maneno ya Mungu Yameniamsha

Maneno ya Mungu Yameniamsha

 Maneno ya Mungu Yameniamsha

Miao Xiao Mji wa Jinan, Mkoa wa Shandong
Katika siku zilizopita, nilikuwa daima nikifikiri kuwa Mungu aliposema “ni kibaraka na msaliti anayekikimbia kiti kikuu cheupe cha enzi” Alikuwa anaashiria wale wanaoikubali hatua hii ya kazi lakini wanaishia kurudi nyuma kwa sababu hawako radhi kustahimili mateso ya kuadibu na hukumu Yake. Kwa hivyo, wakati wowote nilipoona ndugu wakijiondoa katika njia hii kwa sababu yoyote ile, moyo wangu ungejawa na dharau kwao.

Jumatano, 24 Januari 2018

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | Hatimaye Naishi kwa Kudhihirisha Kiasi Kama Mwanadamu


Hatimaye Naishi kwa Kudhihirisha Kiasi Kama Mwanadamu


Xiangwang Mkoa wa Sichuan
Ninahisi kuadibiwa sana moyoni mwangu kila mara ninapoona kwamba maneno ya Mungu yanasema: “Wanadamu dhalimu, wakatili! Kufumba macho na kula njama, kusukumana, kung’ang’ania sifa na mali, kuuana—haya yote yataisha lini? Mungu amezungumza maelfu na mamia ya maneno, ilhali hakuna hata mmoja ambaye amejifahamu. Wanatenda matendo kwa ajili ya familia zao na watoto wao, kazi zao, matarajio, hali katika jamii, majivuno na pesa, kwa sababu ya nguo, kwa sababu ya chakula na mwili—matendo ya nani kwa kweli ni kwa ajili ya Mungu?

Jumapili, 3 Desemba 2017

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II Tabia ya Haki ya Mungu(Sehemu ya Tano )


(III) Aina Tano za Watu


Mwenyezi Mungu alisema, Kwa sasa, Nitaacha ushirika wetu kuhusu tabia ya haki ya Mungu umalizikie hapo. Kinachofuata Nitaainisha wafuasi wa Mungu katika kategoria mbalimbali, kulingana na ufahamu wao wa Mungu na ufahamu wao na kile wamepitia kuhusiana na tabia ya haki Yake, ili muweze kujua awamu ambayo kwa sasa mnapatikana ndani pamoja na kimo chenu cha sasa. Kuhusiana na maarifa yao ya Mungu na ufahamu wao wa tabia Yake ya haki, awamu na kimo tofauti ambavyo watu huwa navyo vinaweza kugawanywa katika aina tano. 

Alhamisi, 23 Novemba 2017

Ushuhuda wa Kuipitia Hukumu ya Kristo | Kutambua Kuwa Nimekuwa Nikiitembea Njia ya Mafarisayo


Kutambua Kuwa Nimekuwa Nikiitembea Njia ya Mafarisayo


Wuxin Mji wa Taiyuan, Mkoa wa Shanxi
Kitu ambacho tumezungumzia mara kwa mara katika ushirikiano wa awali ni njia ambazo zilitembewa na Petro na Paulo. Inasemekana kwamba Petro alizingatia kujijua mwenyewe na kumjua Mungu, na alikuwa mtu ambaye Mungu alimpenda, ilhali Paulo alizingatia tu kazi yake, sifa na hadhi yake, na alikuwa mtu ambaye Mungu alimdharau. Daima nimekuwa na hofu ya kuitembea njia ya Paulo, ambayo ndiyo sababu mimi kwa kawaida mara nyingi husoma maneno ya Mungu kuhusu uzoefu wa Petro ili kuona jinsi alivyopata kumjua Mungu.

Jumanne, 7 Novemba 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko La Kumi

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,
Kanisa la Mwenyezi Mungu  Tamko La Kumi

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko La Kumi


Mwenyezi Mungu alisema: Enzi ya Ufalme ni, baada ya yote, tofauti na nyakati za kale. Haihusu kile anachofanya mwanadamu. Badala yake, Mimi binafsi hutekeleza kazi Yangu baada ya kushuka duniani—kazi ambayo wanadamu hawawezi kuelewa wala kukamilisha. Tangu kuumbwa kwa ulimwengu mpaka leo, hii miaka yote daima imehusu kujenga kanisa, lakini hakuna mtu kamwe husikia kuhusu kujenga ufalme. 

Jumatatu, 6 Novemba 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Sita

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,
Kanisa la Mwenyezi Mungu  Tamko la Sita

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Tamko la Sita



Mwenyezi Mungu alisema: Kwa masuala ya ndani ya roho, unapaswa kuwa makini kwa utaratibu; kwa maneno Yangu, unapaswa kuwa msikivu kwa makini. Unapaswa kulenga hali ambayo unaona Roho Yangu na nafsi Yangu ya mwili, maneno Yangu na nafsi Yangu ya mwili, kama kitu kimoja kizima kisichogawanyika, na kufanya kuwa binadamu wote wataweza kuniridhisha mbele Yangu. Nimetembea ulimwenguni kwa miguu Yangu, Nikinyoosha macho Yangu juu ya anga yake nzima, na Nimetembea miongoni mwa wanadamu wote, Nikionja ladha tamu, ya asidi, chungu, na kali za uzoefu wa binadamu, lakini mwanadamu hakuwahi kweli kunitambua, wala hakuniona Nikitembea ng’ambo.

Ijumaa, 20 Oktoba 2017

Kristo Hufanya Kazi ya Hukumu kwa Ukweli


Mwenyezi Mungu alisema, Kazi ya siku za mwisho ni kutenganisha vitu vyote kulingana na jinsi yavyo, kuhitimisha mpango wa usimamizi wa Mungu, kwa maana muda u karibu na siku ya Mungu imewadia. Mungu huwaleta wote ambao wameingia katika ufalme Wake, yaani, wale wote ambao wamekuwa waaminifu Kwake mpaka mwisho, katika enzi ya Mungu Mwenyewe. Hata hivyo, kabla ya kuja kwa enzi ya Mungu Mwenyewe, kazi Atakayofanya Mungu si kutazama matendo ya mwanadamu wala kuchunguza maisha ya wanadamu,  ila ni kuhukumu uasi wake, kwa maana Mungu atawatakasa wale wote wanaokuja mbele ya kiti Chake cha enzi.