Smiley face
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Yesu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Yesu. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 21 Septemba 2019

Matamshi ya Mungu | Mafanikio au Kushindwa Kunategemea Njia Ambayo Mwanadamu Hutembea (Sehemu ya Pili)


Petro alifanywa mkamilifu kwa kupitia ushughulishaji na usafishaji. Alisema, “Mimi ni lazima nikidhi mapenzi ya Mungu wakati wote. Kwa yote nifanyayo mimi natafuta tu kukidhi mapenzi ya Mungu, na kama mimi ninaadibiwa, au kuhukumiwa, bado nina furaha kufanya hivyo.” Petro alimpa Mungu kila kitu chake, na kazi yake, maneno, na maisha yote yalikuwa yote kwa ajili ya kumpenda Mungu. Alikuwa mtu ambaye alitafuta utakatifu, na alipopitia zaidi, ndivyo upendo wake wa Mungu ndani ya moyo wake ulikuwa mkubwa zaidi. Paulo, wakati huo huo, alifanya tu kazi ya nje, na ingawa alitia bidii katika kazi yake, juhudi zake zilikuwa kwa ajili ya kufanya kazi yake vizuri na hivyo kupata tuzo.

Ijumaa, 2 Agosti 2019

Matamshi ya Mungu|Tofauti Muhimu Kati ya Mungu Aliyepata Mwili na Wanadamu Wanaotumiwa na Mungu

Yesu Kristo,Kupata Mwili,kazi ya Ukombozi

Kwa miaka mingi Roho wa Mungu Amekuwa akitafuta bila kikomo Akifanya kazi duniani. Kwa enzi nyingi Mungu Ametumia wanadamu wengi kufanya kazi Yake. Hata hivyo Roho wa Mungu bado hana mahali pazuri pa kupumzika. Kwa hivyo Mungu hupitia wanadamu mbalimbali kufanya kazi Yake na kwa kiasi kikubwa hutumia wanadamu kufanya hivyo. Yaani, katika miaka hii yote mingi, kazi ya Mungu haijawahi kusimama. Inaendelezwa mbele kupitia mwanadamu, bila kikomo mpaka siku ya leo.

Ijumaa, 3 Mei 2019

Wimbo wa Kuabudu|Jinsi ya Kujua Kuonekana na Kazi ya Kristo wa Siku za Mwisho


  
Wimbo wa Kuabudu|Jinsi ya Kujua Kuonekana na Kazi ya Kristo wa Siku za Mwisho


    I
Mwili wa Mungu utajumlisha
kiini cha Mungu na maonyesho Yake.
Atakapofanywa mwili,
Ataleta matunda ya kazi Aliyopewa
ajidhihirishe na Alete Ukweli kwa wote,
awape uhai na awaonyeshe njia.

Alhamisi, 6 Desemba 2018

Utakapouona Mwili wa Kiroho wa Yesu Ndio Utakuwa Wakati Ambao Mungu Ametengeneza Upya Mbingu na Dunia

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki

Utakapouona Mwili wa Kiroho wa Yesu Ndio Utakuwa Wakati Ambao Mungu Ametengeneza Upya Mbingu na Dunia


Je, ungependa kumwona Yesu? Je, ungependa kuishi na Yesu? Je, ungependa kusikia maneno yaliyonenwa na Yesu? Iwapo ni hivyo, basi utakaribishaje, kurudi kwa Yesu? Je, uko tayari kabisa? Utakaribisha kurudi kwa Yesu kwa namna gani? Nafikiri kuwa kila ndugu na dada wanaomfuata Yesu wangependa kumpa Yesu makaribisho mazuri. Lakini Je, mmewaza iwapo utamjua Yesu Atakaporejea?

Alhamisi, 22 Novemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Gospel Music | "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu ya Kila Kitu" | Musical Documentary (Swahili Subtitles)


Kote katika ulimwengu mkubwa mno, sayari zote ya mbingu husogea kwa usahihi katika mizunguko yazo zenyewe. Chini ya mbingu, milima, mito, na maziwa vyote vina mipaka yavyo, na viumbe vyote huishi na kuzaana wakati wa misimu yote minne kulingana na sheria za maisha…. Hili lote limepangwa vizuri sana—je, kuna Mwenye Uwezo Mmoja anayepanga na kutawala yote haya? Tangu tuje katika ulimwengu huu tukilia tumeanza kutekeleza majukumu tofauti katika maisha.

Ijumaa, 2 Novemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Neno la Mungu | "Je, Utatu Mtakatifu Upo?"


Neno la Mungu | "Je, Utatu Mtakatifu Upo?"


Mwenyezi Mungu anasema, "Hii dhana ya Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu ni upuuzi mtupu! Hili linamweka Mungu katika vitengo na kumgawanya kuwa nafsi tatu, kila moja ikiwa na hadhi na Roho; basi Atawezaje kuwa Roho mmoja na Mungu mmoja?

Jumatatu, 22 Oktoba 2018

Umeme wa Mashariki | Gospel Video Clip "Wayahudi Wakienda Uhamishoni Ughaibuni na Injili ya Ufalme wa Mbinguni Ikienezwa"




Gospel Video Clip "Wayahudi Wakienda Uhamishoni Ughaibuni na Injili ya Ufalme wa Mbinguni Ikienezwa"


Baada ya kufufuka kwa Bwana Yesu, Wayahudi walitupwa uhamishoni duniani kote, na kusababisha injili ya ufalme wa mbinguni kuenea kwa kila kona ya dunia.

Jumapili, 14 Oktoba 2018

Umeme wa Mashariki | Words the Holy Spirit Says to the Churches | "Sauti Nzuri Ajabu" | Filamu za Injili



The Words the Holy Spirit Says to the Churches | "Sauti Nzuri Ajabu" | Filamu za Injili


Dong Jingxin ni mhubiri katika kanisa la nyumba nchini Uchina. Amemsadiki Bwana kwa miaka thelathini, na anapenda ukweli, mara kwa mara yeye husoma maneno ya Bwana na yanamsisimua. Anajitumia kwa ajili ya Bwana kwa shauku kubwa.

Jumamosi, 13 Oktoba 2018

Umeme wa Mashariki | Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (1) - Je, Ni Vipi Unabii wa Kurudi kwa Bwana Yesu Unatimia?


Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (1) - Je, Ni Vipi Unabii wa Kurudi kwa Bwana Yesu Unatimia?


Watu wengi katika ulimwengu wa kidini hufuata unabii unaosema kwamba Bwana atashuka akiwa juu ya wingu na wanamsubiria Yeye kuja kwa njia hiyo kisha kuwanyakua hadi kwenye ufalme wa mbinguni, lakini wanapuuza unabii mbalimbali wa Bwana kuhusu kuja kwa siri: "Tazama, mimi nakuja kama mwizi" (Ufunuo 16:15).

Alhamisi, 11 Oktoba 2018

Umeme wa Mashariki | Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (3) - Je, Hakuna Maneno au Kazi ya Mungu Nje ya Biblia?



Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (3) - Je, Hakuna Maneno au Kazi ya Mungu Nje ya Biblia?


Watu wengi katika ulimwengu wa kidini wanasadiki kwamba maneno yote ya Mungu yako ndani ya Biblia, na chochote kilicho nje ya Biblia hakina kazi Yake na maneno.

Jumamosi, 6 Oktoba 2018

Umeme wa Mashariki | "Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (3) - Tunaweza Kunyakuliwa Hadi kwenye Ufalme wa Mbinguni Baada ya Kukubali Ukombozi Kutoka kwa Bwana Yesu?


"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (3) - Tunaweza Kunyakuliwa Hadi kwenye Ufalme wa Mbinguni Baada ya Kukubali Ukombozi Kutoka kwa Bwana Yesu?


Kwa msingi wa maneno ya Bwana Yesu akiwa msalabani "Imekwisha," wachungaji na wazee wa kanisa wa jamii ya dini kwa kawaida huhitimisha kwamba kazi ya Mungu ya wokovu wa wanadamu ilikuwa basi imekamilika. Bwana aliporudi, waumini wangepokelewa kwenye ufalme wa mbinguni, bila ya haja ya kazi yoyote ya utakaso na uokoaji wa watu.

Ijumaa, 5 Oktoba 2018

Umeme wa Mashariki | "Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (4) - Mafarisayo Waliomsulubisha Bwana Msalabani Wameonekana Tena!


"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (4) - Mafarisayo Waliomsulubisha Bwana Msalabani Wameonekana Tena!


Miaka elfu mbili iliyopita, wakati Bwana Yesu alipofanya kazi, Mafarisayo waliishutumu kazi ya Bwana Yesu kwa kusingizia kuyatetea Maandiko. Walimhukumu hata Bwana Yesu kama mtoto wa seremala, na wakafanya kile waliloweza kuwazuia waumini dhidi ya kumfuata Bwana Yesu.

Jumatano, 3 Oktoba 2018

Umeme wa Mashariki | "Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (5) - Kuufichua Ukweli wa Upinzani wa Mafarisayo kwa Mungu



Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (5) - Kuufichua Ukweli wa Upinzani wa Mafarisayo kwa Mungu


Wakati Bwana Yesu alipoonekana na kufanya kazi, wakuhani wa Kiyahudi, waandishi, na Mafarisayo walikashifu, wakashutumu, na kumkufuru vikali Bwana Yesu. Walimsulubisha Bwana Yesu msalabani, na wakawazuia watu kumkubali Bwana Yesu.

Jumapili, 30 Septemba 2018

Dondoo za Filamu za Injili "Sauti Nzuri Ajabu" (2) - Tunawezaje Kuwa na Uhakika kuwa Bwana Yesu Tayari Amerudi?





"Sauti Nzuri Ajabu" (2) - Tunawezaje Kuwa na Uhakika kuwa Bwana Yesu Tayari Amerudi?


Tangu makanisa yalipoanza kukumbwa na ukiwa, ndugu wengi katika Bwana wamehisi kwa uwazi ukosefu wa kazi ya Roho Mtakatifu na uwepo wa Bwana, na wote wanatamani kurudi kwa Bwana.

Jumatano, 26 Septemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Mabadiliko ya Mtu Aliyeanguka


Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki, Yesu

Tong Xin    Mkoa wa Fujian

Nilizaliwa vijijini. Nilitoka kwa nasaba ya wakulima wanyenyekevu na zaidi ya hayo familia yetu ilikuwa na watu wachache, kwa hiyo mara nyingi tulikuwa tunadhulumiwa. Nilipokuwa na umri wa miaka 13, kulikuwa na mtoto aliyepigwa na mtu fulani kutoka nje ya kijiji chetu.

Jumatatu, 24 Septemba 2018

Umeme wa Mashariki | Yule tu Anayepitia Kazi ya Mungu Ndiye Anayemwamini Mungu Kweli


Yule tu Anayepitia Kazi ya Mungu Ndiye Anayemwamini Mungu Kweli

Ingawa watu wengi wanaamini katika Mungu, ni wachache wanaoelewa ni nini maana ya imani katika Mungu, na ni nini wanachopaswa kufanya ili waupendeze moyo wa Mungu. Hii ni kwa sababu, hata ingawa watu wengi wanalifahamu neno “Mungu” na mafungu ya maneno kama “kazi ya Mungu”, hawamjui Mungu, na kwa kiwango cha chini zaidi hawaijui kazi ya Mungu.

Alhamisi, 13 Septemba 2018

Swahili Christian Variety Show | "Siri ya Jina la Mungu" (Crosstalk) | The Name of God Has Changed


Kwa miaka elfu mbili, Wakristo daima wameomba katika na kuliita Jina la Bwana Yesu, wakiamini kwamba jina la Mungu litakuwa tu Yesu milele. Hata hivyo, imetabiriwa katika Kitabu cha Ufunuo, sura ya 3, mstari wa 12, kwamba Bwana atakuwa na jina jipya Atakaporudi. Hivyo sasa kwa sababu Bwana amerudi katika siku za mwisho, bado tunaweza kumwita Yesu? Ni siri zipi ambazo zimefichwa ndani ya jina la Mungu? Kuzungumza kusiko dhahiri, Siri ya Jina la Mungu, inachanganya mitindo ya utendaji ya kuimba na kutongoa kutuongoza kuelewa umuhimu wa mbona Mungu huchukua majina tofauti katika enzi tofauti.

Sikiliza nyimbo: Umeme wa Mashariki swahili worship songs

Jumatano, 5 Septemba 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Jinsi ya Kujua Kuonekana na Kazi ya Kristo wa Siku za Mwisho"

Wimbo wa Maneno ya Mungu | "Jinsi ya Kujua Kuonekana na Kazi ya Kristo wa Siku za Mwisho" | Knowing the Substance of Christ

I
Mwili wa Mungu utajumlisha kiini cha Mungu na maonyesho Yake.
Atakapofanywa mwili, Ataleta matunda ya kazi Aliyopewa
ajidhihirishe na Alete Ukweli kwa wote,
awape uhai na awaonyeshe njia.
Mwili wowote usiokuwa na dutu Yake sio Mwili wa Mungu.