Smiley face
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Filamu-za-Maisha-ya-Kanisa. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Filamu-za-Maisha-ya-Kanisa. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 20 Novemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Swahili Christian Video "Mazungumzo" (1): Kwa nini CCP Huwafuatia na Kuwakandamiza Wakristo Sana?


Swahili Christian Video "Mazungumzo" (1): Kwa nini CCP Huwafuatia na Kuwakandamiza Wakristo Sana?

Hata hawajaacha kununua vifaa vya hali ya juu zaidi kuwafuatia, kuwafuma, na kuwakamata Wakristo. Serikali ya China imewanyang'anya raia wake haki ya uhuru wa imani na imewanyima kwa utundu haki ya kuishi. Kwa hiyo kwa kweli ni nini sababu na lengo la CCP kufanya yote haya?

Yaliyopendekezwa: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu, Filamu za Injili

Ijumaa, 24 Agosti 2018

Latest Swahili Christian Video "Kufungulia Moyo Minyororo" | Are We Really in Control of Our Own Fate?



Chen Zhi alizaliwa katika familia iliyokuwa masikini. Shuleni, "Maarifa yanaweza kubadilisha majaliwa yako" na "Majaliwa ya mtu yako mikononi mwake" kama alivyofundishwa na shule ikawa wito wake. Aliamini kuwa almuradi angefanya kazi kwa bidii siku zote, angeweza kuwa bora kuliko wenzake, na kujipatia sifa na umaarufu. Baada ya kuhitimu kutoka chuo kikuu, Chen Zhi alipata kazi iliyolipa vizuri sana katika biashara ya nchi za nje.

Jumamosi, 30 Juni 2018

Gospel Video Swahili (2018) | "Nuru ya Mapambazuko"


Kama mtoto, Yangwang aliwafuata wazazi wake katika imani yao kwa Bwana, na kama mtu mzima alihudumia Bwana kanisani. Mnamo 2013, kanisa lake lilijiunga na Baraza la Makanisa Ulimwenguni ambalo hutetea uunganishwaji wa kanisa kote ulimwenguni na wingi wa dini.

Ijumaa, 29 Juni 2018

Latest Swahili Christian Video "Nuru ya Kweli Yaonekana" | The Good News From God


Gangqiang ni Mkristo. Aliona namna upendo wa Bwana na huruma Yake kwa binadamu vilivyo vikubwa, na akaamua mara nyingi kwamba angempenda Bwana, kumridhisha Bwana, kutekeleza neno la Bwana, na kuwa na mwenendo wake binafsi kama mtu anayesifiwa na Bwana. Lakini alipotoa athari ya kimatendo kwa neno la Bwana, aligundua kwamba kwake yeye mwenyewe kulikuwa na mambo mengi potovu na ya uasi-ubinafsi, kiburi, udanganifu, na ulaghai na kadhalika.

Jumapili, 17 Juni 2018

New Swahili Christian Video "Kufufuka" | Hukumu ya Mungu katika Siku za Mwisho Iliniokoa


Jina lake ni Zheng Lu, na tangu utotoni, alikuwa hasa ovyo. Kwa sababu ya ushawishi wa kijamii na elimu ya utamaduni wa kidesturi wa Kichina, alisoma bila kuchoka, akitumai kufikia chuo kikuu na kufanikisha ndoto yake ya kuwapiku marika wake na kuwa na mafanikio, lakini ajali isiyotarajiwa ilimharibia ndoto yake. Wakati tu alipohisi vibaya, mnyonge, na asiyeweza kuupata mwelekeo maishani, wokovu wa Mwenyezi Mungukatika siku za mwisho ulimpata.

Jumamosi, 16 Juni 2018

Swahili Christian Video 2018 | "Ni Vizuri Sana Kutupa Mbali Pingu za Hadhi" | Wokovu wa Mungu


Baada ya Liang Zhi kumwamini Mungu, bila kukoma alitafuta kwa shauku, na kujitosa katika kutimiza wajibu wake. Baada ya miaka kadhaa, alichaguliwa kama kiongozi wa kanisa. Wakati alipokuwa akitekeleza wajibu wake kama kiongozi wa kanisa, aligundua kwamba baadhi ya ndugu walikuwa na uwezo zaidi kumliko, ambayo ilimfanya asiwe na furaha kwa kiasi kwamba alikuwa na wivu kwao.

Jumamosi, 9 Juni 2018

Swahili Christian Video "Kuzinduka" | Ni nini Maana ya Uzima?


Jina lake ni Chen Xi, na tangu akiwa mtoto elimu na ushawishi wa wazazi wake na shule yake zilimfanya yeye mara zote kutaka kwa tofauti na wengine na kutafuta kuwa juu ya wengine,kwa hivyo alikuwa na bidii katika masomo yake na kutia juhudi zote. Baada ya kumwamini Mungu Chen Xi alisoma maneno ya Mungu kwa wingi na akaja kuelewa kiasi fulani cha ukweli.

Ijumaa, 8 Juni 2018

Latest Swahili Christian Video "Njia ya mwenendo wa Binadamu" | Hukumu ya Mungu iliniokoa



Tangu umri mdogo, wazazi wa Cheng Jianguang na walimu walimfundisha sheria kama vile "Uwiano ni hazina, uvumilivu ni wema," "Kunyamazia makosa ya rafiki wazuri hudumisha urafiki mzuri na wa muda mrefu," "Ingawa utaona makosa, ni vyema useme machache" zilikuwa ni nguzo za kudumisha uhusiano mzuri na watu wengine.

Jumatatu, 14 Mei 2018

Swahili Christian Video "Mtoto, Rudi Nyumbani" | Hakuna Wokovu Ila Kupitia Kwa Bwana


Li Xinguang ni mwanafunzi wa shule ya upili ya ngazi ya juu. Alikuwa mvulana mwenye busara na mwenye tabia nzuri tangu alipokuwa mdogo. Wazazi wake na walimu wake walimpenda sana. Alipokuwa akienda katika shule ya kati, alipumbazwa na michezo ya kompyuta ya mtandaoni. Angekosa kwenda darasani mara kwa mara ili aende kwenye chumba cha mtandao.

Jumanne, 1 Mei 2018

Christian Video Swahili "Bahati na Bahati Mbaya" | Mshukuru Mungu kwa Neema Yake ya Ajabu


Kwa sababu yeye alitoka katika familia iliyo masikini, tangu akiwa na umri mdogo Du Juan alikusudia kutengeneza pesa nyingi sana apate kuishi maisha mazuri. Ili kufikia lengo hili, aliacha shule mapema zaidi kwenda kufanya kazi ya mikono, chochote angeweza kufanya ili apate pesa. Yeye hakulalamika wakati kazi ilikuwa ngumu na ya kuchokesha. Hata hivyo, yeye hakupata matokeo aliyotaka. 

Jumatatu, 2 Aprili 2018

Christian Video Swahili "Uaminifu ni wa Thamani Mno" | Wokovu wa Bwana




Zhen Cheng alikuwa mmiliki wa duka la urekebishaji wa vifaa vya stima. Alikuwa mkarimu, mwaminifu, na alifanya biashara inavyopasa kufanywa. Hangejaribu kumdanganya mtu, lakini alikuwa anachuma tu pesa za kutosha angalau kuimudu tu famillia yake. Baada ya muda, mmoja wa jamaa yake na mfanya biashara mwenza alimhimiza atende kulingana na sheria zisizoandikwa za biashara, na Zhen Cheng alianza kuamini katika misemo inayowakilisha falsafa ya kama vile: "Mwanaume bila kipato cha pili hawezi kamwe kuwa tajiri kama tu jinsi farasi aliyenyimwa nyasi kavu usiku hawezi kamwe kuongeza uzani,”

Jumatatu, 12 Februari 2018

Christian Testimony Video Swahili "Moyo Uliopotea Waja Nyumbani" Wokovu wa Ajabu wa Mungu



Tangu alipokuwa mdogo, Novo alimwamini Bwana Yesu, kama mama yake tu. Hata kama alisoma Biblia, kuomba, na kuhudhuria mahubiri mara kwa mara, mara nyingi hangeweza kujizuia bali kufuata mielekeo mibaya ya dunia, kutamani raha za mwili, na kudanganya na kusema uwongo…. Alikusudia mara nyingi kuyaacha maisha ya aina hiyo ya kuzunguka katika kutenda dhambi na kukiri, kukiri na kutenda dhambi. Hata hivyo, kila wakati hakufaulu.

Alhamisi, 25 Januari 2018

Swahili Christian Movie "Maskani Yangu Yako Wapi" | Mungu ni Kimbilio la Nafsi Yangu



Wazazi wa Wenya walitengana alipokuwa na umri wa miaka miwili, na baada ya hapo aliishi na baba yake na mama wa kambo. Mamake wa kambo hakuweza kumvumilia na daima alikuwa akibishana na baba yake. Alikuwa na chaguo dogo — alilazimika kumpeleka Wenya nyumbani kwa mama yake, lakini mama yake alilenga kikamilifu kuendesha biashara yake na hakuwa na muda wa kumtunza Wenya, hivyo mara nyingi alipelekwa nyumbani kwa jamaa na marafiki zake kupata ulezi.