Smiley face
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kusimbua-Biblia. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kusimbua-Biblia. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 17 Agosti 2018

Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (3) - Ili Kuchunguza Kurudi kwa Bwana Tunapaswa Kusikiliza Sauti ya Mungu



Kimsingi unabii wote uliotajwa katika Biblia kuhusiana na kurudi kwa Bwana tayari umetokea. Watu wengi wamehisi kwamba Bwana tayari amerudi, hivyo, tunapaswa kuchunguza vipi ili kuhakikisha kuhusu suala la ikiwa Mwenyezi Mungu ni Bwana Yesu aliyerudi au la? Tunapaswa kufanya uamuzi wetu kulingana na unabii wa Biblia au tunapaswa kuchunguza moja kwa moja neno na kazi ya Mwenyezi Mungu?

Jumatatu, 30 Julai 2018

Swahili Gospel Movie | “Fichua Siri Kuhusu Biblia” Movie Clip: Tunaweza Kupata Uzima kwa Kuamini Katika Biblia?



Mara kwa mara wachungaji na wazee huwafundisha watu kuwa hawawezi kuitwa waumini wakiondoka kwenye Biblia, na kwamba kwa kushikilia Biblia pekee ndiyo wanaweza kupata uzima na kuingia katika ufalme wa mbinguni. Kwa hivyo, je, kweli hatuwezi kupata uzima tukiondoka kwenye Biblia? Je, ni Biblia ambayo inaweza kutupa uzima, au ni Mungu ambaye anaweza kutupa uzima?

Jumapili, 29 Julai 2018

"Fichua Siri Kuhusu Biblia" (5) - Ni Vipi Kuna Makosa Ndani ya Biblia?



Watu wengi wanaamini kwamba Biblia yote imetiwa msukumo na Mungu, kwamba imetoka kabisa kwa Roho Mtakatifu, na kwamba hakuna hata neno moja lililo na kosa. Je, mtazamo wa aina hii unawiana na ukweli? Biblia iliandikwa na waandishi zaidi ya 40, yaliyomo yaliandikwa na kupangwa na mwanadamu, na haikufunuliwa moja kwa moja na Roho Mtakatifu.

Jumamosi, 28 Julai 2018

"Fichua Siri Kuhusu Biblia" (4) - Je, Biblia Nzima Imetiwa Msukumo na Mungu Kweli?



Watu wengi katika ulimwengu wa dini wanaamini kwamba "Kila andiko limetolewa kwa msukumo wa Mungu," yote katika Biblia ni neno la Mungu. Je, kauli ya aina hii inakubaliana na ukweli? Biblia ni ushahidi wa Mungu pekee, rekodi ya kazi ya Mungu tu, na haijaundwa kwa matamshi ya Mungu kikamilifu. Ndani ya Biblia, ni maneno yaliyonenwa na Yehova Mungu, maneno ya Bwana Yesu, unabii wa Ufunuo na maneno ya manabii yaliyotolewa kwa msukumo wa Mungu pekee, ndiyo neno la Mungu.

Ijumaa, 27 Julai 2018

"Fichua Siri Kuhusu Biblia" (3) - Je, Inamaanisha Nini katika Ufunuo Inaposema Mtu Asiongeze kwa Unabii?



Ufunuo sura ya 22, mstari wa 18 "Kwa kuwa namshuhudia kila mtu ayasikiaye maneno ya unabii wa kitabu hiki, Iwapo mtu yeyote ataongeza kwa mambo haya, Mungu atamwongezea hayo mapigo yaliyoandikwa katika kitabu hiki." Je, ungependa kujua maana halisi ya maneno haya? Video hii itakuonyesha jibu.

Alhamisi, 26 Julai 2018

"Fichua Siri Kuhusu Biblia" (2) - Imefichuliwa: Uhusiano Kati ya Mungu na Biblia


Wachungaji na wazee wa kanisa wa ulimwengu wa dini wanaamini kuwa maneno na kazi zote za Mungu yamo ndani ya Biblia, kwamba wokovu wa Mungu katika Biblia ni mkamilifu na mradi watu waweke msingi wa imani yao katika Bwana katika Bibilia na washikilie Bibilia, basi wanaweza kunyakuliwa na wanaweza kuingia katika ufalme wa mbinguni.

Jumatano, 25 Julai 2018

"Fichua Siri Kuhusu Biblia" (1) - Imefichuliwa: Je, Kuna Maneno Yoyote au Kazi ya Mungu Mbali na Yaliyo katika Biblia?



Wachungaji na wazee wa kanisa wa ulimwengu wa dini mara nyingi huwafundisha watu kwamba hakuna maneno na kazi ya Mungu nje ya Biblia, na hivyo kwenda zaidi ya Biblia ni uzushi. Je, wazo hili linastahili kuchunguzwa? Je, linalingana na ukweli wa kazi ya Mungu? Kazi ya ukombozi iliyofanywa na Bwana Yesukatika Enzi ya Neema haijaandikwa tu katika Agano la Kale na inakwenda zaidi ya Agano la Kale.

Jumanne, 19 Juni 2018

"Kubisha Hodi Mlangoni" (2) - Ni Makosa Gani Ambayo Hufanyika kwa Urahisi Zaidi Katika Kumkaribisha Bwana



Watu wengi wa imani katika jamii za kidini wanaamini kile wachungaji na wazee wa kanisa wanachokisema, "Maneno na kazi zote za Mungu ziko katika Biblia. Haiwezekani kwa maneno yoyote ya Mungu kuonekana nje ya Biblia." Je, kuna msingi wa kibiblia wa dai hili, hata hivyo? Je, Bwana Yesu aliyasema maneno haya? Katika Ufunuo, imetabiriwa mara nyingi, "Yeye aliye na sikio, na asikie lile Roho anayaambia makanisa."

Jumatatu, 28 Mei 2018

"Jina la Mungu Limebadilika?!" (1) - Je, Kuna Maneno Mengine ya Mungu Kando ya Yale Yaliyo kwenye Biblia?


Biblia inasema, "Kisha nikaona katika mkono wa kuume wake yeye aliyeketi juu ya kile kiti cha enzi kitabu kilichoandikwa ndani na nyuma, kilichofungwa kwa mihuri saba" (Ufunuo 5:1). "Yeye aliye na sikio, na alisikie neno ambalo Roho aliyaambia makanisa; Kwa yule ashindaye nitampa mana iliyofichwa aile" (Ufunuo 2:17). Kulingana na Biblia, Bwana atakaporudi katika siku za mwisho Atafungua kitabu, afungue mihuri saba na ampe mwanadamu mana iliyofichwa.

Jumanne, 22 Mei 2018

"Imani katika Mungu" (4) - Je, Kuamini katika Biblia ni Sawa na Kuamini katika Bwana?


Watu wengi zaidi katika ulimwengu wa dini huamini kwamba Biblia ni kanuni ya Ukristo,kwamba mtu lazima ashikilie Biblia na kuweka msingi wa imani yake katika Bwana kwenye Biblia kabisa, na kwamba mtu hawezi kuitwa muumini akipotoka kutoka kwenye Biblia. Hivyo imani katika Bwana na imani katika Biblia ni sawa? Uhusiano kati ya Biblia na Bwana ni upi hasa?

Ijumaa, 23 Machi 2018

"Vunja Pingu na Ukimbie" (2) - Je, Kila Kitu Kilicho Katika Biblia ni Neno la Mungu?




Kama watu wengi wa kidini wenye imani katika Bwana, Mzee Li daima amehisi kwamba "kila kitu kilicho katika Biblia kilitiwa msukumo na Mungu," "Biblia ni neno la Mungu," na "Biblia humwakilisha Mungu." Dhana hizi zilikuwa kwa muda mrefu zimeunda msingi wa imani yake. Zilikuwa zimekita mizizi ndani ya moyo wake na zilikuwa zimekuwa kikwazo kwa kujifunza kwake njia ya kweli na pia utumwa uliomzuia kukubali njia ya kweli.

Jumapili, 4 Machi 2018

Swahili Gospel Movie | “Ivunje Laana” Movie Clip: Je, Imani katika Biblia ni Sawa na Imani katika Bwana?



Wachungaji wengi sana na wazee wa kanisa wa ulimwengu wa kidini huamini kwamba Biblia inamwakilisha Bwana, na kwamba kuamini katika Bwana ni kuamini katika Biblia, na kuamini katika Biblia ni kuamini katika Bwana. Wao huamini kwamba mtu akiachana na Biblia basi hawezi kuitwa muumini, na kwamba mtu anaweza kuokolewa na anaweza kuingia katika ufalme wa mbinguni almradi ashikilie Biblia. Je, Bibilia inaweza kweli kumwakilisha Bwana? Je, uhusiano kati ya Biblia na Bwana ni upi hasa?

"Ivunje Laana" (3) - Je, Neno la Mungu Lipo Isipokuwa Biblia?




Baadhi ya watu wa kidini huamini kuwa maneno na kazi zote za Mungu ziko katika Biblia, na kwamba hakuna maneno na kazi ya Mungu isipokuwa yale yaliyo katika Biblia. Je, aina hii ya mtazamo inaafikiana na ukweli? Biblia inasema, "Na kuna mambo mengi pia aliyoyafanya Yesu, ambayo, kama yakiandikwa kila moja, nadhani hata ulimwengu usingetosha kwa vile vitabu vitakavyoandikwa." (Yohana 21:25)." Mwenyezi Mungu alisema, “Kile Mungu alicho na anacho milele hakiishi wala hakina mipaka. Mungu ni chanzo cha uhai na vitu vyote.

Jumanne, 30 Januari 2018

Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani – Je, Kazi na Maneno Yote ya Mungu Yamo katika Biblia?



Dunia nzima ya kidini yote huamini kwamba kazi na maneno ya Mungu yote yamo katika Biblia, na kwamba isipokuwa Biblia, hakuna maneno yaliyonenwa na Mungu na kazi Yake. Kwa hiyo, ili mradi uko mwaminifu kwa Biblia, hili litahakikisha kwamba utaweza kuingia ufalme wa mbinguni. Je, mawazo haya yanapatana na ukweli wa kazi ya Mungu? Kuna maneno ya Mungu nje ya Biblia? Ni nini hasa kitakachomwongoza mwanadamu kuingia ufalme wa mbinguni? Je, ni kushika Biblia, ama ni kufuata nyayo za Mwanakondoo? Dondoo hii itafichua majibu yote kwako!

Jumatatu, 29 Januari 2018

Yote kuhusu Mjadala wa “Iwapo Biblia Inatiwa Msukumo na Mungu”



Kwa miaka elfu mbili, dunia ya kidini imetegemea kile alichosema Paulo kuhusu Biblia kutiwa msukumo na Mungu na daima iliamini kwamba “Biblia ni maneno ya Mungu,” na “Biblia inamwakilisha Bwana.” Je, mawazo haya ni sahihi? Video hii itafichua majibu kwako!

Jumapili, 28 Januari 2018

Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani – Ni nini uhusiano kati ya Mungu na Biblia?



Kwa miaka elfu mbili, tumemwamini Bwana kulingana na Biblia, na wengi wetu sana huamini “Biblia inamwakilisha Bwana, kumwamini Mungu ni kuamini Biblia, kuamini Biblia ni kumwamini Mungu,” Je, mawazo haya ni sahihi? Kumwamini Mungu kunamaanisha nini kwa kweli? Kunamaanisha nini kuamini Biblia? Ni nini uhusiano kati ya Biblia na Mungu? Je, imani pofu na kuabudu Biblia yanamaanisha kwamba tunamwamini na kumwabudu Mungu? Video hii itafichua majibu kwako!