Smiley face
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Mwenyezi-Mungu. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 1 Januari 2019

Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Sura ya 8

Matamshi na Ushuhuda wa Kristo Mwanzoni | Sura ya 8


Kwa kuwa Mwenyezi Mungu—Mfalme wa ufalme—ameshuhudiwa, mawanda ya usimamizi wa Mungu yamejitokeza kabisa katika ulimwengu wote. Sio tu kwamba kuonekana kwa Mungu kumeshuhudiwa nchini China, lakini jina la Mwenyezi Mungu limeshuhudiwa katika mataifa yote na nchi zote. Wote wanaliita jina hili takatifu, wakitafuta kufanya ushirika na Mungu kwa njia yoyote iwezekanayo, wakiyafumbata mapenzi ya Mwenyezi Mungu na kuhudumu kwa uratibu katika kanisa. Roho Mtakatifu hufanya kazi kwa njia hii ya ajabu.

Jumapili, 18 Novemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kazi ya Mungu Inaendelea Kuboreshwa


Kazi ya Mungu Inaendelea Kuboreshwa

I
Kazi ya Mungu inaendelea kuwa bora; ingawa kusudi linabaki bila kubadilika, mbinu ya kazi Yake inabadilika daima, na hivyo pia wale wanaomfuata. Kadiri ambavyo Mungu anafanya kazi zaidi, ndivyo anavyozidi mwanadamu kumjua, kikamilifu, ndivyo tabia ya mwanadamu inavyozidi kubadilika pamoja na kazi Yake ifaavyo. Kazi ya Mungu inaendelea kuboreshwa; Kazi Yake kamwe sio nzee na ni mpya daima. Yeye kamwe harudii kazi ya zamani, kazi ambayo haijafanywa awali tu ndiyo Atakayoifanya.

Jumamosi, 3 Novemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Neno la Mungu | "Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu" (Sehemu ya Kwanza)



Neno la Mungu | "Kujua Hatua Tatu za Kazi ya Mungu Ndiyo Njia ya Kumjua Mungu" (Sehemu ya Kwanza)


Mwenyezi Mungu anasema, "Hatua tatu za kazi ndizo kiini cha usimamizi mzima wa Mungu, na ndani yazo zimeelezwa tabia ya Mungu na kile Alicho. Wale wasiojua kuhusu hatua tatu za kazi ya Mungu hawana uwezo wa kutambua jinsi Mungu anavyoonyesha tabia Yake, wala hawajui hekima ya kazi ya Mungu, na wanasalia kutojua njia nyingi Anazomwokoa mwanadamu, na mapenzi Yake kwa wanadamu wote.

Ijumaa, 2 Novemba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Neno la Mungu | "Je, Utatu Mtakatifu Upo?"


Neno la Mungu | "Je, Utatu Mtakatifu Upo?"


Mwenyezi Mungu anasema, "Hii dhana ya Baba, Mwana, na Roho Mtakatifu ni upuuzi mtupu! Hili linamweka Mungu katika vitengo na kumgawanya kuwa nafsi tatu, kila moja ikiwa na hadhi na Roho; basi Atawezaje kuwa Roho mmoja na Mungu mmoja?

Alhamisi, 1 Novemba 2018

Jumatano, 31 Oktoba 2018

Jumatatu, 29 Oktoba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Maneno ya Roho Mtakatifu | "Kuijua Kazi ya Mungu Leo"


Maneno ya Roho Mtakatifu | "Kuijua Kazi ya Mungu Leo"



Mwenyezi Mungu anasema, "Kwa upande mmoja, Mungu katika mwili katika siku za mwisho Anaondoa nafasi iliyochukuliwa na Mungu asiye yakini katika dhana za mwanadamu, ili taswira ya Mungu asiye yakini isiwepo kabisa katika moyo wa mwanadamu.

Jumatatu, 8 Oktoba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Maonyesho ya Mungu "Kupata Mwili Mara Mbili Kunakamilisha Umuhimu wa Kupata Mwili" (Official video)


Maonyesho ya Mungu "Kupata Mwili Mara Mbili Kunakamilisha Umuhimu wa Kupata Mwili" (Official video)


Mwenyezi Mungu alivyosema, "Hiyo ni kwa sababu Roho tayari amekwishaanza kazi Yake, na maneno sasa yameelekezwa kwa watu wa ulimwengu mzima. Hii tayari ni nusu ya kazi.

Jumapili, 23 Septemba 2018

Neno la Mungu "Jinsi ya Kuujua Uhalisi"




Mwenyezi Mungu alivyosema, "Mungu ni Mungu wa uhalisi: kazi Zake zote ni halisi, maneno yote Anayoyanena ni halisi, na ukweli wote Anaouonyesha ni halisi. Kila kisicho maneno Yake ni kitupu, kisichokuwepo, na kisicho timamu. Leo, Roho Mtakatifu yupo kwa ajili ya kuwaongoza watu katika maneno ya Mungu. Ikiwa watu wanatafuta kuingia katika uhalisi, basi ni lazima wauandame uhalisi, na waujue uhalisi, baadaye ni lazima wapitie uhalisi, na kuishi kwa kudhihirisha uhalisi.

Ijumaa, 14 Septemba 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | Mamlaka na Nguvu za Mungu Vyafunuliwa katika Mwili






  • Wimbo wa Maneno ya Mungu
  • Mamlaka na Nguvu za Mungu Vyafunuliwa katika Mwili

  • I
  • Mungu alikuja duniani hasa kutimiza
  • ukweli wa "Neno kuwa mwili."
  • (tofauti na Agano la Kale, katika siku za Musa,
  • Mungu alizingumza moja kwa moja kutoka mbinguni).

Jumatatu, 10 Septemba 2018

Umeme wa Mashariki | Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kuwafundisha Wanangu (I)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mungu, Umeme wa Mashariki

Maneno ya Mungu Huniongoza Kujifunza Jinsi ya Kuwafundisha Wanangu (I)

Xiaoxue, Malesia

Nina wana wawili wa kiume na wameachana na mwaka mmoja. Ili kuwalea kuwa watu waliostaarabika, wenye tabia nzuri, watu wema ambao wataweza watajijengea jina katika jamii na kufanikiwa, walipokuwa na umri wa miaka miwili, nilijadiliana na mume wangu juu ya kuwatafutia shule nzuri ya chekechea. Baada ya ziara kadhaa, maulizo na kulinganisha, tulichagua shule ya chekechea ya Kiingereza kwa sababu waliweka umuhimu juu ya ubora wa tabia au akili na uwezo wa watoto, ambao ulifanana na mtazamo wangu juu ya kufundisha watoto. Ingawa ada za masomo zilikuwa za juu kiasi, alimradi watoto waliweza kuendeleza vizuri na kupata elimu bora, lilikuwa la thamani kutumia pesa zaidi kidogo.

Jumamosi, 9 Desemba 2017

Sura ya 49. Unapaswa Kuutumia Ukweli Kumaliza Hali Yako Hasi



Mwenyezi Mungu alisema, Watu wengi wana hali hizi ambazo tumejadiliana hapo awali, hata ingawa si wazi kama hapo awali. Hii ni kwa sababu watu hawakuwa na ufahamu wowote wa ukweli wakati huo, na hawakuelewa chochote. Siku hizi, unasikiliza zaidi, na kwa kiwango cha chini kabisa, nyote mnaelewa baadhi ya mafundisho. Hata hivyo, una hali fulani zilizojikita ndani ambazo hazijafunuliwa. Una uwezo wa kuuona upotovu kwa wazi ambao mara nyingi hufunuliwa na kuwa na ufahamu mara tu unapofunuliwa; unajua asili ya malengo yako yaliyofunuliwa, maneno, na vitendo.

Jumanne, 5 Desemba 2017

Video za Kikristo | Kuelezea Wazi Uhusiano Kati ya Biblia na Mungu | "Biblia na Mungu" (Swahili Subtitles)



Liu Zhizhong ni mzee katika kanisa moja la mtaani la nyumba nchini China. Amekuwa muumini kwa zaidi ya miaka 30, na amesisitiza bila kukoma kwamba “Biblia ni ufunuo wa Mungu,” “Biblia inamwakilisha Mungu, kuamini katika Mungu ni kuamini katika Biblia, kuamini katika Biblia ni kuamini katika Mungu.” Moyoni mwake, Biblia ni kuu. Kwa sababu ya upendo na imani yake pofu katika Biblia, hajawahi kutafuta au kuitazama kazi ya Mwenyezi Mungu ya siku za mwisho. Hadi siku moja, alipowazuia waumini kusoma maneno ya Mwenyezi Mungu mtandaoni, akawa na fursa ya kukutana na wahubiri kutoka katika Kanisa la Mwenyezi Mungu.

Jumatano, 22 Novemba 2017

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe II(Sehemu ya Saba )


Msiwe na Wasiwasi Wowote Kuhusu Majaribio ya Mungu


Mwenyezi Mungu alisema, Baada ya kuupokea ushuhuda kutoka kwa Ayubu kufuatia mwisho wa majaribio yake, Mungu aliamua kwamba angepata kundi au zaidi ya kundi—la watu kama Ayubu, ilhali aliamua kutowahi tena kumruhusu Shetani kushambulia au kunyanyasa mtu yeyote mwingine kwa kutumia mbinu ambazo alikuwa amemjaribu, akamshambulia na kumnyanyasa Ayubu, kwa kucheza karata na Mungu; Mungu hakumruhusu Shetani tena kufanya mambo kama hayo kwa binadamu ambaye ni mnyonge, mjinga, na asiyejua—ilikuwa tosha kwamba Shetani alikuwa amemjaribu Ayubu! Kutomruhusu Shetani kuwanyanyasa watu vyovyote anavyotaka ndiyo rehema ya Mungu. 

Jumatatu, 20 Novemba 2017

Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I(Sehemu ya Pili)



Mwenyezi Mungu alisema: Ili kuelewa tabia ya Mungu na Mungu Mwenyewe lazima muanzie na jambo dogo sana. Jambo hilo dogo sana mnalopaswa kuanzia ni nini? Kwanza kabisa, Nimezikusanya baadhi ya sura kutoka kwenye Biblia. Taarifa iliyo hapa chini inayo mistari ya Biblia, ambayo yote inahusiana na mada ya tabia ya Mungu, kazi ya Mungu na Mungu Mwenyewe. Nilipata dondoo hizi mahususi kama nyenzo za marejeleo ili kuwasaidia kujua kazi ya Mungu, tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe. 

Jumapili, 19 Novemba 2017

Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake(Sehemu ya Tatu)


Namna Ambavyo Mungu Huanzisha Matokeo Ya Binadamu na Kiwango Ambacho Huasisi Matokeo ya Binadamu

Mwenyezi Mungu alisema: Kabla ya kuwa na mitazamo au hitimisho zenu binafsi, mnafaa kwanza kuelewa mwelekeo wa Mungu kwenu, kile ambacho Mungu anafikiria, na kuamua kama kufikiria kwako ni sahihi au la. Mungu hajawahi kutumia vipimo vya muda katika kuasisi matokeo ya mtu, na Hajawahi kutumia kiwango cha mateso yaliyovumiliwa na mtu katika kuasisi matokeo yake. Basi Mungu hutumia kiwango gani katika kuasisi matokeo ya binadamu? Kutumia vipimo vya muda katika kuasisi matokeo ya binadamu—hii ndiyo inaingiliana zaidi na dhana za watu.

Jumatano, 15 Novemba 2017

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee II Tabia ya Haki ya Mungu(Sehemu ya Kwanza )


Tabia ya Haki ya Mungu

Mwenyezi Mungu alisema: Kwa vile sasa mumesikiliza kikao cha ushirika uliopita kuhusu mamlaka ya Mungu, Ninao ujasiri kwamba mumejihami vilivyo na mseto wa maneno kuhusu suala hili. Kiwango unachoweza kukubali, kushika, na kuelewa vyote hivi vinategemea na jitihada zipi utakazotumia. Ni tumaini Langu kwamba utaweza kutazamia suala hili kwa dhati; kwa vyovyote vile hufai kulishughulikia shingo-upande! Sasa, je, kujua mamlaka ya Mungu ni sawa na kujua Mungu kwa uzima wake? 

Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I Mamlaka ya Mungu (I)(Sehemu ya Kwanza )


Mamlaka ya Mungu (I)

Vikao vyangu mbalimbali vya ushirika vilivyopita vilikuwa vinahusu kazi ya Mungu, tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe. Baada ya kuvisikiliza vikao hivi vya ushirika, je, unahisi kuwa umefaidi na kupata ufahamu na maarifa kuhusu tabia ya Mungu? Ufahamu wako na maarifa ni mkubwa kiwango gani? Je, unaweza kuweka nambari katika kiwango hicho? Je, vikao hivi vya ushirika vilikupa ufahamu wa kina kuhusu Mungu? Inaweza kusemwa ufahamu huu ni maarifa ya kweli ya Mungu? 

Jumapili, 12 Novemba 2017

Sura ya 11. Kutatua Asili na Kutenda Ukweli


1. Uhusiano Kati ya Ubinadamu na Uwezo wa Kutenda Ukweli
Mwenyezi Mungu alisema: Watu husema kuwa kutenda ukweli ni vigumu kabisa. Basi mbona watu wengine wanaweza kutenda ukweli? Watu wengine husema ni kwa sababu kwa asili wanaipokea kazi ya Roho Mtakatifu ikifanya kazi juu yao, na pia kwa sababu ni wazuri kiasili. Hoja hii ina kiwango fulani cha mantiki. Watu wengine ni wazuri kiasili; wana uwezo wa kutenda ukweli. 

Jumatano, 8 Novemba 2017

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kurejesha Maisha ya Kawaida ya Mwanadamu na Kumpeleka Kwenye Hatima ya Ajabu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Kurejesha Maisha ya Kawaida ya Mwanadamu na Kumpeleka Kwenye Hatima ya Ajabu

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Kurejesha Maisha ya Kawaida ya Mwanadamu na Kumpeleka Kwenye Hatima ya Ajabu


Mwenyezi Mungu alisema: Mwanadamu anaelewa sehemu ndogo ya kazi ya leo na kazi ya baadaye, lakini hafahamu hatima ambapo mwanadamu ataingia. Kama kiumbe, mwanadamu anapaswa kutekeleza wajibu wa kiumbe: Mwanadamu anapaswa kumfuata Mungu kwa lolote afanyalo, na mnapaswa muendelee mbele kwa njia yoyote ambayo Nitawaambia.