Smiley face
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Uharibifu-wa-Makanisa. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Uharibifu-wa-Makanisa. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 16 Agosti 2018

Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (2) - Mbona Kuna Ukiwa Ulioenea Pote katika Ulimwengu wa Dini?



Dunia nzima ya dini kwa sasa inapitia njaa kubwa, hawapo tena pamoja na kazi ya Roho Mtakatifu au uwepo wa Bwana, wanafanya mambo maovu zaidi na zaidi na imani na huruma ya waumini inadhoofika na kuwa baridi. Aidha, maafa yanazidi kuwa mabaya zaidi na zaidi kote duniani, unabii kwamba Bwana angerudi katika siku za mwisho tayari umetimia.

Jumatano, 15 Agosti 2018

Swahili Gospel Movie Clip "Kutoka kwa Enzi Hububujika Maji ya Uzima" (1) - Jinsi ya Kutafuta Nyayo za Kazi ya Mungu



Tunapokabiliana na ukiwa wa makanisa na giza iliyo katika roho, tunapaswa kuanza kutafuta nyayo za Bwana vipi? Tangu nyakati za kale njia ya kweli hupatwa mara kwa mara na mateso, na kuonekana na kazi ya Mungu wa kweli siku zote vitakumbana na ukandamizaji wa kikatili zaidi na mateso na upinzani wa hasira na hukumu ya ulimwengu wa kidini na Mungu serikali.

Alhamisi, 1 Februari 2018

Dondoo ya Filamu ya Bwana Wangu Ni Nani - Kanisa la Ukiwa Linatiwa Nguvu



Baada ya ndugu katika pahali pa mkutano pa kanisa la Mzee wa Kanisa Liu Zhizhong kutupilia mbali pingu za Biblia, walisoma mtandaoni kuhusu kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho. Kwa kusoma maneno ya Mwenyezi Mungu, walistawishwa kwa maji hai ya maisha, na waliweza kurudisha imani na upendo wao wa asili na kuthibitisha ndani ya mioyo yao kwamba Mwenyezi Mungu ndiye kuja kwa mara ya pili kwa Bwana Yesu. Wakati Mzee wa kanisa Liu Zhizhong aliona hili likifanyika, je, aliweza kuweka chini Biblia na kutafuta kuchunguza kazi ya Mungu katika siku za mwisho? Tafadhali tazama video hii fupi!