Smiley face
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo KUHUSU-SISI. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo KUHUSU-SISI. Onyesha machapisho yote

Ijumaa, 27 Desemba 2019

Baraka Kwa Sababu ya Ugonjwa—Insha Juu ya Upendo wa Mungu


Maisha ya kanisa
Dujuan Japani
Nilizaliwa katika familia fukara katika kijiji cha mashambani. Tangu niwe mtoto, niliishi maisha magumu na nilidharauliwa na wengine. Wakati mwingine sikujua hata kama ningepata chakula changu cha kufuatia, sembuse kumbwe na vitu vya watoto kuchezea. Kwa kuwa familia yangu ilikuwa fukara, nilipokuwa mdogo, ningevaa nguo zilizokuwa zikivaliwa na dadangu mkubwa awali. Nguo zake mara nyingi zilikuwa kubwa sana kwangu. Kama matokeo, nilipoenda shuleni, watoto wengine wangenicheka na hawangecheza na mimi. Utoto wangu ulikuwa mchungu sana. Kuanzia wakati huo kuendelea, ningejiambia kwa siri: Mara nitakapokuwa mtu mzima, nitakuwa mtu wa sifa na kupata pesa nyingi. Sitaruhusu wengine kunidharau tena. Kwa sababu familia yangu haikuwa na fedha, nililazimika kuacha shule kabla ya shule ya upili. Nilienda mji wa jimbo ili kufanya kazi katika kiwanda cha dawa. Ili kupata pesa zaidi, mara nyingi ningefanya kazi hadi saa tatu au nne usiku. Hata hivyo, fedha nilizopata hazikuwa za kutosha kufikia malengo yangu. Baadaye, niliposikia kwamba dada yangu alikuwa na uwezo wa kupata katika siku tano pesa nilizopata kwa mwezi kutokana na kuuza mboga, niliacha kazi yangu katika kiwanda cha dawa na nilikwenda kuuza mboga. Baada ya muda, nilipata kwamba ningeweza kupata hata pesa nyingi zaidi kwa kuuza matunda, kwa hiyo niliamua kuanza biashara kuuza matunda. Baada ya kuolewa na mume wangu, tulianzisha biashara ya mkahawa. Nilidhani kuwa kwa vile sasa nilikuwa na mkahawa, ningeweza kupata hata pesa zaidi. Mara nilipoweza kupata kiasi kikubwa cha mapato, kwa kawaida, ningeweza kushinda pendo na staha ya wengine. Watu wengine wangeanza kuniheshimu na wakati huo huo, ningeweza kuishi maisha bora zaidi. Hata hivyo, baada ya kuendesha biashara hiyo kwa kipindi cha muda, niligundua kuwa kwa hakika sikuwa natengeneza fedha nyingi. Nilianza kupata wasiwasi. Ni lini ningeweza kuishi maisha ambayo wengine wangependa?

Jumapili, 3 Septemba 2017

Kutazama Kuonekana kwa Mungu katika Hukumu na Kuadibu Kwake


Kama wale mamia ya mamilioni ya wengine wanaomfuata Bwana Yesu Kristo, tunafuata sheria na amri za Biblia, kufurahia neema tele ya Bwana Yesu Kristo, na kukusanyika pamoja, kuomba, kusifu, na kuhudumu kwa jina la Bwana Yesu Kristo—na haya yote sisi hufanya chini ya utunzaji na ulinzi wa Bwana. Mara nyingi, sisi huwa dhaifu, na mara nyingi sisi huwa pia wenye nguvu. Tunaamini kwamba matendo yetu yote yanaambatana na mafundisho ya Bwana. Na basi, ni dhahiri kwamba sisi pia tunajiamini kuwa kwenye njia ya kutii mapenzi ya Baba aliye mbinguni. Tunatamani kurudi kwake Bwana Yesu, kushuka Kwake kwa utukufu, mwisho wa maisha yetu hapa duniani, kuonekana kwa ufalme, na kila kitu kama ilivyotabiriwa katika Kitabu cha Ufunuo: Bwana anafika, Analeta maafa, Anawazawadia walio wema na kuwaadhibu walio waovu, na Anawachukua wale wote wanaomfuata na kukaribisha kurudi Kwake juu kumlaki angani.

Jumatano, 30 Agosti 2017

2. Utangulizi Mfupi Kuhusu Usuli wa Kuonekana kwa Kazi ya Kristo wa Siku za Mwisho Nchini China

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,
Utangulizi Mfupi Kuhusu Usuli wa Kuonekana kwa Kazi ya Kristo wa Siku za Mwisho Nchini China

China ni nchi ambamo joka kubwa jekundu hukaa, na ni mahali ambapo pamempinga na kumshutumu Mungu zaidi sana katika historia. China ni kama ngome ya mapepo na gereza linalodhibitiwa na shetani, lisilopenyeka na lisiloingilika. Zaidi ya hayo, utawala wa joka kubwa jekundu husimama ukilinda katika ngazi zote na umeanzisha ulinzi katika kila kaya. Matokeo yake, hakuna mahali pagumu zaidi ya hapa kueneza injili ya Mungu na kufanya kazi ya Mungu. 

Jumanne, 29 Agosti 2017

3. Asili na Maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Asili na Maendeleo ya Kanisa la Mwenyezi Mungu 

Katika Enzi ya Neema, Bwana Yesu aliwaahidi wafuasi wake, “Basi mimi nikienda na kuwaandalia mahali, nitakuja tena niwakaribishe kwangu; ili nilipo mimi, nanyi muwepo.” (Yohana 14:3) Kadhalika Alitabiri, “Kwa maana kama umeme utokavyo mashariki, na kumulika hata magharibi; hivyo ndivyo ujio wake Mwana wa Adamu utakavyokuwa.” (Mathayo 24:27)

5. Ole Wao Wale Wamsulubishae Mungu Mara Nyingine Tena

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Ole Wao Wale Wamsulubishae Mungu Mara Nyingine Tena

Katika siku za mwisho, Mungu amepata mwili katika nchi ya China kufanya kazi, na Ameonyesha mamilioni ya maneno, Akishinda na kuokoa kundi la watu kwa neno Lake na kuikaribisha enzi mpya ya hukumu ikianza na nyumba ya Mungu. Leo, kuenea kwa kazi ya Mungu katika siku za mwisho kumefikia kilele chake katika China Bara.

Ijumaa, 18 Agosti 2017

4. Kueneza kwa Injili ya Ufalme wa Mwenyezi Mungu Nchini China

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Kueneza kwa Injili ya Ufalme wa Mwenyezi Mungu Nchini China

Mwaka wa 1995, kazi ya kushuhudia kwa injili ya ufalme ya Mwenyezi Mungu ilianza rasmi China Bara. Kwa njia ya shukrani kwa Mungu na kwa upendo ambao ulikuwa wa kweli, tulishuhudia kwa kuoenekana na kazi ya Mwenyezi Mungu kwa ndugu wa kiume na kike katika madhehebu mbalimbali na makundi ya kidini. Hatukutarajia hata kidogo kukumbwa na upinzani na kukashifiwa kulikokithiri kutoka kwa viongozi wao.