Smiley face
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Fumbo-la-Kunyakuliwa-Kuenda-Mbinguni. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Fumbo-la-Kunyakuliwa-Kuenda-Mbinguni. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 29 Agosti 2018

Sinema Fupi ya Injili "Kuamka Kutoka kwa Ndoto" (4) - Kukubali Kristo wa Siku za Mwisho na Kunyakuliwa Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni



Tukimwamini Bwana Yesu tu, na kutetea njia ya Bwana Yesu, lakini tukose kukubali kazi ya Mwenyezi Munguya hukumu katika siku za mwisho, tunawezaje kupokea utakaso na kuingia katika ufalme wa mbinguni? Je, unataka kuwa mwanamwali mwerevu ambaye anaweza kufuata nyayo za Mungu ili kupokea baraka katika ufalme wa mbinguni? Tafadhali tazama filamu hii.

Jumapili, 26 Agosti 2018

Video za Kikristo | “Kuamka Kutoka kwa Ndoto” Movie Clip: Ufalme wa Mungu Uko Mbinguni au Duniani?



Wengi ambao wanamwamini Bwana Yesu wote wanasubiri kunyakuliwa kuingia katika ufalme wa mbinguni, lakini je, unajua ufalme wa mbinguni hakika uko wapi? Je, unajua maana halisi ya kunyakuliwa? Filamu hii ya Kuamka Kutoka kwa Ndoto, itakufichulia mafumbo ya kunyakuliwa!

Alhamisi, 1 Machi 2018

"Ndoto Yangu ya Ufalme wa Kibinguni" (3) - Ufalme wa Mbinguni u Wapi Hasa?



Matamanio yetu makuu sisi tunaoamini katika Bwana ni kukaribisha kurudi kwa Bwana, kuletwa katika ufalme wa mbinguni, na kupokea ahadi na baraka za Mungu. Watu wengi wanaamini kwamba Bwana atakaporudi, tutainuliwa hewani kukutana na Bwana. Lakini katika Biblia, inasemekana kwamba Yerusalemu mpya itashuka kutoka mbinguni. "maskani ya Mungu yako pamoja na wanadamu," "falme za dunia zimekuwa falme za Bwana wetu, na za Kristo wake." Je, ufalme wa mbinguni uko angani au duniani? Bwana atawapelekaje watakatifu katika ufalme wa mbinguni atakaporudi?