Smiley face

Jumatatu, 30 Desemba 2019

Maneno ya Mungu ya Kila Siku | "Mungu Mwenyewe, Yule wa Kipekee I" (Dondoo 14)

Mwenyezi Mungu anasema, “Utambulisho wa Muumba ni wa Kipekee, na Hufai Kutiifuata lile Wazo la Imani ya Kuabudu Miungu Wengi

Jumapili, 29 Desemba 2019

Maneno ya Mungu ya Kila Siku | "Kazi ya Mungu, Tabia ya Mungu, na Mungu Mwenyewe I" (Dondoo 4)

Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu lilianzishwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu, ujio wa pili wa Bwana Yesu, Kristo wa siku za mwisho. Linashirikisha wale wote ambao wanaikubali kazi ya Mwenyezi Mungu katika siku za mwisho na ambao wameshindwa na kuokolewa kwa maneno Yake. Liliasisiwa kikamilifu na Mwenyezi Mungu mwenyewe na linaongozwa naye kama Mchungaji. Kwa hakika halikuanzishwa na mtu. Kristo ni ukweli, njia, na uzima. Kondoo wa Mungu husikia sauti ya Mungu. Mradi unasoma maneno ya Mwenyezi Mungu, utaona kuwa Mungu ameonekana.

Jumamosi, 28 Desemba 2019

Maneno ya Mungu ya Kila Siku | "Kumjua Mungu Ndiyo Njia ya Kumcha Mungu na Kuepuka Maovu" (Dondoo 3)

Ijumaa, 27 Desemba 2019

Baraka Kwa Sababu ya Ugonjwa—Insha Juu ya Upendo wa Mungu

Maisha ya kanisa
Dujuan Japani
Nilizaliwa katika familia fukara katika kijiji cha mashambani. Tangu niwe mtoto, niliishi maisha magumu na nilidharauliwa na wengine. Wakati mwingine sikujua hata kama ningepata chakula changu cha kufuatia, sembuse kumbwe na vitu vya watoto kuchezea. Kwa kuwa familia yangu ilikuwa fukara, nilipokuwa mdogo, ningevaa nguo zilizokuwa zikivaliwa na dadangu mkubwa awali. Nguo zake mara nyingi zilikuwa kubwa sana kwangu. Kama matokeo, nilipoenda shuleni, watoto wengine wangenicheka na hawangecheza na mimi. Utoto wangu ulikuwa mchungu sana. Kuanzia wakati huo kuendelea, ningejiambia kwa siri: Mara nitakapokuwa mtu mzima, nitakuwa mtu wa sifa na kupata pesa nyingi. Sitaruhusu wengine kunidharau tena. Kwa sababu familia yangu haikuwa na fedha, nililazimika kuacha shule kabla ya shule ya upili. Nilienda mji wa jimbo ili kufanya kazi katika kiwanda cha dawa. Ili kupata pesa zaidi, mara nyingi ningefanya kazi hadi saa tatu au nne usiku. Hata hivyo, fedha nilizopata hazikuwa za kutosha kufikia malengo yangu. Baadaye, niliposikia kwamba dada yangu alikuwa na uwezo wa kupata katika siku tano pesa nilizopata kwa mwezi kutokana na kuuza mboga, niliacha kazi yangu katika kiwanda cha dawa na nilikwenda kuuza mboga. Baada ya muda, nilipata kwamba ningeweza kupata hata pesa nyingi zaidi kwa kuuza matunda, kwa hiyo niliamua kuanza biashara kuuza matunda. Baada ya kuolewa na mume wangu, tulianzisha biashara ya mkahawa. Nilidhani kuwa kwa vile sasa nilikuwa na mkahawa, ningeweza kupata hata pesa zaidi. Mara nilipoweza kupata kiasi kikubwa cha mapato, kwa kawaida, ningeweza kushinda pendo na staha ya wengine. Watu wengine wangeanza kuniheshimu na wakati huo huo, ningeweza kuishi maisha bora zaidi. Hata hivyo, baada ya kuendesha biashara hiyo kwa kipindi cha muda, niligundua kuwa kwa hakika sikuwa natengeneza fedha nyingi. Nilianza kupata wasiwasi. Ni lini ningeweza kuishi maisha ambayo wengine wangependa?

Alhamisi, 26 Desemba 2019

Wimbo wa Kwaya ya Injili | "Wimbo wa Ufalme: Ufalme Washuka Duniani" Mambo Muhimu 5: Tumaini la Milenia Hatimaye Latimia | Wimbo wa Kuabudu

Wimbo wa kusisimua wa ufalme umevuma, ukitangazia ulimwengu wote kuwasili kwa Mungu kati ya mwanadamu! Ufalme wa Mungu umefika! Watu wote washangilia, vitu vyote vyafurahi! Kila kitu mbinguni kote kina furaha tele. Mandhari haya yanayopendeza mno ya shangwe ni yapi?

Jumatano, 25 Desemba 2019

Maneno ya Mungu ya Kila Siku | "Namna ya Kujua Tabia ya Mungu na Matokeo ya Kazi Yake" (Dondoo 6)