Smiley face
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Maisha-ya-Kanisa—Mfululizo-wa-Maonyesho-Mbalimbali. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Maisha-ya-Kanisa—Mfululizo-wa-Maonyesho-Mbalimbali. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 1 Desemba 2018

Swahili Christian Video "Macho Kila Mahali" | The Means the CCP Uses to Capture Christians


Mchezo wa kuchekesha Macho Kila Mahali unaeleza jinsi Chama cha Kikomunisti cha China kinavyojaribu kuondoa dini kwa kutumia uchunguzi mkubwa kote nchini, pamoja na kuwageuza watu katika kila tabaka na kazi ya maisha kuwa macho ili kuchunguza, kusimamia, na kupeleleza Wakristo. Kupitia igizo chekeshi dhahiri, jozi hii ya mchezo wa kuigiza inatuonyesha sote mbinu zinazostahili kudharauliwa na makusudi ya kuchukiwa sana ambayo kwayo CCP kinakamata Wakristo, na wakati huohuo inatuonyesha sisi jinsi Wakristo wanavyomtegemea Mungu kukwepa jozi moja ya macho baada ya nyingine, wanavyoeneza injili, na kumshuhudia Mungu.

Kuhusu Sisi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki Hutoka wapi?

Jumatano, 3 Oktoba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Swahili Christian Song "Matendo ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu" | Praise the Great Power of God


Swahili Christian Song "Matendo ya Mungu Yanajaza Ulimwengu Mzima Tupu" | Praise the Great Power of God


Mungu anatazama chini juu ya vitu vyote kutoka juu, na Anatawala vitu vyote kutoka juu.
Wakati huo huo, Mungu ametuma wokovu Wake juu ya dunia.
Mungu anaangalia kutoka mahali Pake pa siri kila wakati,
kila hatua ya mwanadamu, kila kitu anachosema na kufanya.

Alhamisi, 13 Septemba 2018

Swahili Christian Variety Show | "Siri ya Jina la Mungu" (Crosstalk) | The Name of God Has Changed


Kwa miaka elfu mbili, Wakristo daima wameomba katika na kuliita Jina la Bwana Yesu, wakiamini kwamba jina la Mungu litakuwa tu Yesu milele. Hata hivyo, imetabiriwa katika Kitabu cha Ufunuo, sura ya 3, mstari wa 12, kwamba Bwana atakuwa na jina jipya Atakaporudi. Hivyo sasa kwa sababu Bwana amerudi katika siku za mwisho, bado tunaweza kumwita Yesu? Ni siri zipi ambazo zimefichwa ndani ya jina la Mungu? Kuzungumza kusiko dhahiri, Siri ya Jina la Mungu, inachanganya mitindo ya utendaji ya kuimba na kutongoa kutuongoza kuelewa umuhimu wa mbona Mungu huchukua majina tofauti katika enzi tofauti.

Sikiliza nyimbo: Umeme wa Mashariki swahili worship songs

Jumatatu, 13 Agosti 2018

Swahili Christian Worship Song "Upendo wa Mungu Hutuleta Karibu Zaidi Pamoja"


Ingawa tumetengwa na maziwa na milima isiyohesabika,
sisi tuko pamoja, bila mipaka kati yetu,
tukiwa na rangi tofauti za ngozi na kuzungumza ndimi tofauti.
Kwa sababu maneno ya Mwenyezi Mungu yanatuita,
tunainulia juu mbele ya kiti cha enzi cha Mungu.

Jumapili, 12 Agosti 2018

Swahili Christian Praise Song "Anga Hapa ni Samawati Sana" | The Kingdom of God Has Already Descended


I
Aa ... hii hapa anga,
oh ... anga iliyo tofauti sana!
Harufu ya kupendeza inasambazwa kote kwenye nchi, na hewa ni safi.
Mwenyezi Mungu alikuwa mwili na anaishi miongoni mwetu,
Akionyesha ukweli na kuanza hukumu ya siku za mwisho.

Jumamosi, 26 Mei 2018

Maigizo Yaliyosimuliwa ya Hadithi za Kweli "Upendo wa Kweli wa Mungu" (Swahili Subtitles)



Ili kujitengenezea nafasi yake mwenyewe duniani, mhusika mkuu alilazimika kufuata mwenendo wa duniani humu, akihangaika na kufanya kazi kwa bidii kwa ajili ya umaarufu na hadhi. Maisha yake yalilikuwa hasa matupu na yenye maumivu. Baada ya kumwamini Mwenyezi Mungu, alipata maana ya maisha ya binadamu ndani ya maneno ya Mwenyezi Mungu, na akiwa amejawa na furaha, akamfuata Mungu na kutimiza majukumu yake.

Jumatano, 16 Mei 2018

Swahili Gospel Praise Music "Kila Kitu Kinaishi Chini ya Sheria na Masharti Yaliyowekwa na Mungu"



na mwanadamu angali anafurahia nuru na hewa aliyopewa na Mungu,
angali anapumua pumzi iliyotolewa na Mungu Mwenyewe,
angali anafurahia maua, ndege, samaki na wadudu walioumbwa na Mungu,
na kufurahia viumbe vyote vilivyotolewa na Mungu;
mchana na usiku zingali zinabadilishana nafasi zao bila kusita;