Wakati mmoja, serikali ya Kikomunisti ya Uchina iliwakamata Wakristo wengi wa Kanisa la Mwenyezi Mungu kutoka mahali fulani usiku wa manane. Jambo hili lilisababisha ghasia kubwa mahali hapo. Lilichochea majadiliano miongoni mwa washirika wa Kanisa la Nafsi Tatu. Watu wengine waliamini kwamba Umeme wa Mashariki umepitia ukandamizaji na mateso ya kikatili ya serikali ya kikomunisti ya Uchina. Ni hatari sana kuamini katika Umeme wa Mashariki, na ni salama sana kuamini katika Kanisa la Nafsi Tatu. Hawatapitia taabu na wataweza kuingia katika ufalme wa mbinguni.
Watu wengine waliamini kwamba Umeme wa Mashariki ndiyo njia ya kweli hasa, lakini mateso na kukamatwa ambayo wanapitia ni makali mno. Kama wangetakiwa kuamini, walifikiri kwamba ni heri kuamini kisiri. Mara serikali ya Kikomunisti ya Uchina ikianguka, wanaweza kuamini kaitka Mwenyezi Mungu waziwazi. Watu wengine walikuwa wemachunguza Umeme wa Mashariki lakini, waliamini kwamba Umeme wa Mashariki unaeneza injili na unashuhudia kwa Bwana bila kujali maisha au kifo na kwamba wanasifiwa na Mungu. Walidhani kwamba watu ambao hujificha ndani ya Kanisa la Nafsi Tatu ni watu waoga ambao wanafuata mkondo maishani bila kusudi na kwamba hawastahili kuingia katika ufalme wa mbinguni. … Baada ya majadiliano haya makali, je, kila mtu aliweza kujua ni aina gani ya watu wanasifiwa na Bwana na kama waoga wanaweza kuingia katika ufalme wa mbinguni?
Kanisa la Mwenyezi Mungu lilikuja kuwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu.
NYUMBANI
Usomaji wa Maneno ya Mwenyezi Mungu
Filamu za Injili
Kwaya za Injili
Maisha ya Kanisa—Mfululizo wa Maonyesho Mbalimbali
Video za Nyimbo na Ngoma
Msururu wa MV za Ufalme
Video za Nyimbo za Dini
Filamu za Maisha ya Kanisa
Filamu za Uzoefu wa Mateso
Kufunua Mfululizo wa Video za Ukweli
Sehemu za Filamu
Aina za Dondoo za Video
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni