Kimsingi unabii wote uliotajwa katika Biblia kuhusiana na kurudi kwa Bwana tayari umetokea. Watu wengi wamehisi kwamba Bwana tayari amerudi, hivyo, tunapaswa kuchunguza vipi ili kuhakikisha kuhusu suala la ikiwa Mwenyezi Mungu ni Bwana Yesu aliyerudi au la? Tunapaswa kufanya uamuzi wetu kulingana na unabii wa Biblia au tunapaswa kuchunguza moja kwa moja neno na kazi ya Mwenyezi Mungu?
Tunapaswa kuchukua fursa hii adimu sana na kujadiliana kurudi kwa Bwana wetu vipi? Mwenyezi Mungu anasema, "Unachopaswa kufanya ni kukubali, bila haja ya kuthibitisha zaidi kutoka kwa Biblia, kazi yoyote iwapo tu ni ya Roho Mtakatifu, kwani unamwamini Mungu kumfuata Mungu, sio kumchunguza. Hupaswi kutafuta ushahidi zaidi ili Nionyeshe kwamba Mimi ni Mungu wako. Badala yake, unapaswa kupambanua kama Nina faida kwako; hiyo ndiyo muhimu" (Neno Laonekana katika Mwili).
Kanisa la Mwenyezi Mungu lilikuja kuwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu.
NYUMBANI
Usomaji wa Maneno ya Mwenyezi Mungu
Filamu za Injili
Kwaya za Injili
Maisha ya Kanisa—Mfululizo wa Maonyesho Mbalimbali
Video za Nyimbo na Ngoma
Msururu wa MV za Ufalme
Video za Nyimbo za Dini
Filamu za Maisha ya Kanisa
Filamu za Uzoefu wa Mateso
Kufunua Mfululizo wa Video za Ukweli
Sehemu za Filamu
Aina za Dondoo za Video
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni