Bwana Yesu alisema, "Lakini yeyote atakayekunywa maji yale nitakayompa hatahisi kiu milele; bali yale maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji yakibubujika katika uzima wa milele" (Yohana 4:14). Bwana Yesu ndiye chanzo cha maji hai ya uzima, Yeye ndiye njia ya uzima wa milele, lakini, kama ilivyoshudiwa na Umeme wa Mashariki, ni Kristo wa siku za mwisho pekee—Mwenyezi Mungu anaweza kuwapa watu njia ya uzima wa milele.
Hivyo, Mwenyezi Mungu na Bwana Yesu wanatoka kwa chanzo kimoja? Je, kazi zao zinatekelezwa na Mungu mmoja? Kwa nini ni Kristo wa siku za mwisho pekee anayeweza kutupa njia ya uzima wa milele?
Kanisa la Mwenyezi Mungu lilikuja kuwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu.
NYUMBANI
Usomaji wa Maneno ya Mwenyezi Mungu
Filamu za Injili
Kwaya za Injili
Maisha ya Kanisa—Mfululizo wa Maonyesho Mbalimbali
Video za Nyimbo na Ngoma
Msururu wa MV za Ufalme
Video za Nyimbo za Dini
Filamu za Maisha ya Kanisa
Filamu za Uzoefu wa Mateso
Kufunua Mfululizo wa Video za Ukweli
Sehemu za Filamu
Aina za Dondoo za Video
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni