Smiley face

Alhamisi, 27 Septemba 2018

Video za Kikristo | "Kaa Mbali na Shughuli Zangu" Dondoo za Filamu 2


“Kaa Mbali na Shughuli Zangu” – Kuikubali Injili ya Ujio wa Pili wa Bwana Yesu na Kunyakuliwa Mbele ya Mungu | Video za Kikristo (Movie Clip 2/5)

Kwenye Biblia, Paulo alisema, “Nashangaa kwamba mmejiondoa upesi hivi kwake yeye aliyewaita katika neema ya Kristo, na kuelekea injili nyingine” (Wagalatia 1:6). Wachungaji na wazee wa kanisa huyafasiri vibaya maneno haya ya Paulo na kuwashutumu watu wote wanaoikubali injili ya kurudi kwa pili kwa Bwana Yesu, wakisema kwamba huu ungekuwa uasi wa dini na kwamba ungekuwa kumsaliti Bwana. Baadhi ya waumini hivyo basi huikosa fursa ya kumkaribisha Bwana, kwa sababu wamedanganywa. Ni dhahiri kwamba kuupata ufahamu wazi wa maana ya kweli ya maandiko haya ni muhimu sana kwa sisi kukaribisha kurudi kwa Bwana. Hivyo, ni nini maana ya kweli ya fungu hili la Maandiko? Video hii itakufichulia jibu. 

Tazama Video: Kanisa la Mwenyezi Mungu swahili gospel songs.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni