Wimbo wa Maneno ya Mungu | Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi
- Wimbo wa Maneno ya Mungu
- Kusudi la Kazi ya Mungu la Usimamizi
- I
- Mungu ana mpango wa usimamizi wa miaka 6,000,
- uliyogawanywa katika hatua tatu,
- kila moja inaitwa enzi.
- Kwanza ni Enzi ya Sheria, kisha Enzi ya Neema,
- na Enzi ya Ufalme ni awamu ya mwisho.
- Ingawa kazi ya Mungu ni tofauti katika kila moja,
- yote inalingana na kile ambacho binadamu wanahitaji,
- ama hasa inalingana na ujanja ambao Shetani anatumia,
- anapopigana na Yeye.
- Kusudi la Kazi ya Mungu ni kumshinda Shetani,
- kufunua hekima ya Mungu na ukuu,
- na kufichua ujanja wote wa Shetani,
- hivyo kumwokoa mwanadamu kutoka kwa utawala wake,
- hivyo kumwokoa mwanadamu kutoka kwa utawala wake.
- II
- Ni ili kufunua hekima ya Mungu na ukuu,
- na kufichua upotovu mbaya wa Shetani,
- kufunza viumbe kutofautisha mema na mabaya,
- na kumjua Mtawala wa vitu vyote ni Mungu Mwenyewe.
- Kuona wazi kuwa Shetani ni adui wa mwanadamu,
- kuwa ni yule mwovu, mhalifu,
- ili mwanadamu aweze kutofautisha mema na maovu,
- ukweli na uongo,
- utakatifu na uchafu, na makuu kutoka kwa ya chini.
- Kusudi la Kazi ya Mungu ni kumshinda Shetani,
- kufunua hekima ya Mungu na ukuu,
- na kufichua ujanja wote wa Shetani,
- hivyo kumwokoa mwanadamu kutoka kwa utawala wake,
- hivyo kumwokoa mwanadamu kutoka kwa utawala wake.
- Kumfanya binadamu pumbavu kuwa na ushuhuda Kwake:
- Sio Mungu ndiye Alileta upotovu wa mwanadamu,
- na ni Mungu Mwenyewe pekee, Bwana wa uumbaji,
- Anayeweza kuweka vitu vya kufurahia
- na kumletea mwanadamu wokovu.
- Hii ni ili waweze kujua kuwa Mungu
- ni Mtawala wa vitu vyote,
- kuwa Shetani ni uumbaji Wake,
- ambaye baadae alichagua kumgeuka.
- III
- Mpango wa Mungu wa miaka 6,000 wa usimamizi
- umegawanywa katika hatua tatu,
- ili yafuatayo yaweze kufikiwa:
- kuruhusu viumbe Wake kuwa mashahidi Wake,
- kujua mapenzi Yake, na kuona kuwa ukweli ni Yeye.
- Kusudi la Kazi ya Mungu ni kumshinda Shetani,
- kufunua hekima ya Mungu na ukuu,
- na kufichua ujanja wote wa Shetani,
- hivyo kumwokoa mwanadamu kutoka kwa utawala wake,
- hivyo kumwokoa mwanadamu kutoka kwa utawala wake.
-
- kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
-
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni