Smiley face

Jumanne, 18 Septemba 2018

Wimbo | Niko Tayari Kutekeleza Wajibu Wangu kwa Uaminifu | Umeme wa Mashariki



Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki,Mwenyezi, Mungu


  • Wimbo
  • Niko Tayari Kutekeleza Wajibu Wangu kwa Uaminifu

  • I
  • Mpendwa Mwenyezi Mungu,
  • ni Wewe ndiye Unayenipenda,
  • uliniinua kutoka kwa rundo la kinyesi
  • hadi kwa mazoezi ya ufalme.
  • Maneno Yako yamenitakasa,
  • yakanifanya nianze kuishi maisha ya furaha.
  • Moyoni mwangu nahisi,
  • kwa kweli, ni upendo Wako mkuu.
  • Aa … aa … aa … aa … Mpendwa Mwenyezi Mungu!
  • Maneno Yako yote ni ukweli.
  • Unastahili upendo wa binadamu.
  • Ee Mungu! Ukipuuza uasi wangu wa zamani,
  • Unanijali na kufanya kazi kuniokoa.
  • Unaniongoza katika njia ya kweli,
  • Ukitazama kila wakati katika upande wangu,
  • natarajia tu nitakua na kuwa mtu mpya.
  • Aa … aa … aa … aa … Mpendwa Mwenyezi Mungu!
  • Nitafuatilia kukupenda Wewe,
  • mwaminifu kwa wajibu ili kukufurahisha Wewe.
  • II
  • Ee Mwenyezi Mungu, maneno Yako yamenitakasa.
  • Neema Yako ya wokovu sitasahu kamwe.

  • Nitakupenda Wewe maisha yangu yote,
  • nikiuridhisha moyo Wako.
  • Uliacha mengi sana ili kuniokoa,
  • na sitakukosea Wewe kamwe.
  • Aa … aa … aa … aa … Mpendwa Mwenyezi Mungu!
  • Nitakupenda Wewe maisha yangu yote,
  • mwaminifu katika wajibu, katika wajibu.
  • Aa … aa … aa … aa … Mpendwa Mwenyezi Mungu!
  • Nitakupenda Wewe maisha yangu yote,
  • mwaminifu katika wajibu, katika wajibu.
  •  
  • kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya
  •          Sikiliza zaidi: Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni