Smiley face

Alhamisi, 13 Septemba 2018

Wimbo wa Maneno ya Mungu | Upendo Safi Bila Dosari




  • Wimbo wa Maneno ya Mungu
  • |Upendo Safi Bila Dosari

  • I
  • Upendo ni hisia safi, safi bila dosari.
  • Tumia moyo, tumia moyo,
  • kupenda, kuhisi, kutunza.
  • Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga.
  • Tumia moyo, Tumia moyo,
  • kupenda, kuhisi, kutunza.
  • Ukipenda hudanganyi, hulalamiki, hugeuki,
  • hutazamii kupata kitu, cha malipo.
  • Ukipenda utajitolea, ukubali taabu,
  • kuwa kimoja, Mungu katika mapatano.
  • II
  • Upendo hauna shauku, ujanja wala uongo.
  • Tumia moyo, Tumia moyo,
  • kupenda, kuhisi, kutunza.
  • Upendo haujitengi, upendo hauna dosari.
  • Tumia moyo, Tumia moyo,
  • kupenda, kuhisi, kutunza.
  • Ukipenda hudanganyi, hulalamiki, hugeuki,
  • hutazamii kupata kitu cha malipo.
  • Ukipenda utajitolea, ukubali taabu,
  • kuwa kimoja, Mungu katika mapatano.
  • III
  • Utatoa familia, ujana wako na siku za usoni.
  • Utoe ndoa yako kwa Mungu, toa vyote kwake.
  • Utatoa familia, ujana na siku za usoni.
  • Utoe ndoa yako kwa Mungu, toa vyote kwake.
  • Ama upendo wako si upendo kabisa,
  • bali uongo, usaliti kwa Mungu.
  • IV
  • Upendo ni hisia safi, safi bila dosari.
  • Tumia moyo, Tumia moyo,
  • kupenda, kuhisi, kutunza.
  • Upendo hauna masharti, vizuizi au kujitenga.
  • Tumia moyo, Tumia moyo,
  • kupenda, kuhisi, kutunza.
  •  
  • kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni