Smiley face

Jumatatu, 6 Mei 2019

Wimbo wa Dini |Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Nyimbo za Kanisa,Umeme wa Mashariki


Wimbo wa Dini |Mpendwa Wangu, Tafadhali Nisubiri

I
Juu ya miti, ukipanda mwezi mtulivu.
Kama mpenzi wangu, mwenye haki na mzuri.
Ee mpenzi wangu, uko wapi Wewe?
Sasa ninalia. Je unanisikia nikilia?
Wewe ndiye Unayenipa upendo.
Wewe ndiye Unayenijali.
Wewe ndiye Unayefikiri kunihusu kila wakati.
Wewe ndiye Unayehifadhi maisha yangu.
Mwezi, rudi upande ule mwingine wa anga.
Usimfanye mpenzi wangu angoje sana.
Tafadhali mwambie nimemkosa Yeye sana.
Usisahau kwenda na upendo wangu,
pamoja na upendo wangu.

II
Bata bukini wa mwituni wawili wawili,
wakipaa mbali zaidi.
Je, watarudi na ujumbe kutoka kwa mpenzi wangu?
Ee tafadhali, tafadhali nisaidie mabawa yako.
Naweza kupaa kurudi nyumbani mji wangu wa nyumbani wenye joto.
Nitalipa hangaiko la mpenzi wangu.
Nataka kumwambia Yeye: Usiwe na huzuni!
Nitakupa jibu linalokufurahisha.
Kwa hivyo bidii uliyolipa Wewe haitakuwa bure.
Jinsi ninavyotamani ningekuwa mtu mzima haraka,
kuwa huru kutoka kwa maisha ya uzururaji, ya uchungu.
Ee mpenzi wangu, tafadhali nisubiri.
Nitapaa mbali na raha ya hii dunia.
Nitalipa hangaiko la mpenzi wangu.
Nataka kumwambia Yeye: Usiwe na huzuni!
Nitakupa jibu linalokufurahisha.
Kwa hivyo bidii uliyolipa Wewe haitakuwa bure.
Kwa hivyo bidii uliyolipa Wewe haitakuwa bure.

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

    Sikiliza zaidi:  Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni