Smiley face
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Jengo-la-Kanisa. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Jengo-la-Kanisa. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 19 Februari 2019

Matamshi ya Mwenyezi Mungu|Sura ya 21

Kazi ya Roho Mtakatifu sasa imewaleta katika mbingu mpya na dunia mpya. Kila kitu kinaendelea kufanywa upya, kila kitu ki mikononi Mwangu, kinarudi ulingoni! Kwa dhana zao, watu wanashindwa kulifikiria kwa makini, na kwao haina maana, lakini ni Mimi ambaye niko kazini, na hekima Yangu iko ndani yake. Kwa hiyo mnaweza kukomesha dhana zenu zote na maoni yenu.