Smiley face
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Ngoma-za-Sifa. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Ngoma-za-Sifa. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 28 Februari 2018

Worship Songs Swahili "Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu" | Mbinguni ni mahali pa mtu mwaminifu

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Ni Furaha Kuu kuwa Mtu Mwaminifu


Kuelewa ukweli huiachilia huru roho ya mtu na kumfanya mtu kuwa mwenye furaha. Nimejazwa na imani katika neno la Mungu na sina shaka. Mimi niko bila uhasi wowote, sirudi nyuma, na kamwe sikati tamaa. Ninauunga mkono wajibu wangu kwa moyo wangu wote na mawazo, na siujali moyo. Ingawa ubora wa tabia yangu ni wa chini, nina moyo wa uaminifu. Nimejitolea kikamilifu katika kila kitu ili kuyaridhisha mapenzi ya Mungu. Ninatenda ukweli, namtii Mungu, na kujaribu kuwa mtu mwaminifu.

Jumanne, 13 Februari 2018

Swahili Gospel Song "Sala ya Watu wa Mungu" | Kuishi katika Upendo wa Mungu



Watu wa Mungu wanainuliwa mbele ya kiti Chake cha Enzi,
maombi mengi mioyoni mwao.
Mungu huwabariki wote wanaorejea Kwake;
wote wanaishi katika mwanga.
Omba Roho Mtakatifu alipe nuru neno la Mungu
ili kwamba tujue kikamilifu mapenzi ya Mungu.
Tunaomba watu wote walitunze sana neno la Mungu
na waje kutafuta kumjua Mungu.

Jumapili, 26 Novemba 2017

Mwabudu Mungu kwa Roho na Ukweli | “Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa” (Video za Kikristo)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa
I
Nilitaka kulia lakini hakuna mahali palihisi sawa. Nilitaka kuimba lakini hakuna wimbo ulipatikana. Nilitaka kuonyesha upendo wa kiumbe aliyeumbwa. Nikitafuta juu na chini, lakini hakuna maneno yangeweza kusema, yangeweza kusema jinsi hasa ninavyohisi. Mungu wa vitendo na wa kweli, upendo ndani ya moyo wangu. Nainua mikono yangu kwa sifa, ninafurahia kwamba Ulikuja katika dunia hii.

Alhamisi, 23 Novemba 2017

Ishini Katika Upendo wa Mungu | Dansi ya Sifa "Wimbo wa Mapenzi Matamu"

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Wimbo wa Mapenzi Matamu
Kinani mwa moyo wangu, ni mapenzi Yako. Ni matamu sana, nakaa karibu yako. Kukutunza hukoleza moyo wangu; kukutumikia na mawazo yangu yote. Kuongoza moyo wangu, ni mapenzi Yako; mimi hufuata nyayo zako za mapenzi. Mimi hujisogeza kulingana na macho Yako; mapenzi yanaonyesha furaha ya moyo wangu. Mapenzi yanaonyesha furaha ya moyo wangu. Sasa mimi huishi katika ulimwengu mwingine, hakuna yeyote isipokuwa wewe uko nami. Unanipenda, ninakupenda; hakuna huzuni wala sikitiko hutusumbua. Hakuna huzuni wala sikitiko hutusumbua. Kumbukumbu chungu hutokomea. Kumbukumbu chungu hutokomea.

Jumatano, 22 Novemba 2017

Upendo wa Mungu Huushinda Moyo wa Mwanadamu | " Wimbo wa Kifuasi cha Dhati " Video Rasmi ya Muziki

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Wimbo wa Kifuasi cha Dhati

Wimbo wa Kifuasi cha Dhati


Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Wimbo wa Kifuasi cha Dhat
Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili.  Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli.Hekima Yake, Uadilifu Wake, nayapenda yote. Kukutana Naye, kumpata Yeye, nimebarikiwa sana. Kuna Mmoja hapa, Yeye ni Mungu katika mwili. Anayoyasema, Anayoyafanya, yote ni ukweli. Hekima Yake, uadilifu Wake, nayapenda yote. Kukutana Naye, kumpata Yeye, nimebarikiwa sana. Moyo wake, Upendo wake, vimefanya nishindwe. Mpe upendo, mfuate Yeye, ah mpendwa wangu. Nampenda, najihisi mtamu, teseka kwa ajili Yake. Mpate, ishi kwa ajili Yake, mpende milele.