Smiley face
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo amani. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo amani. Onyesha machapisho yote

Alhamisi, 6 Septemba 2018

Swahili Praise and Worship Song "Ushuhuda wa Maisha" | Overcomers' Testimonies


Siku moja huenda nikakamatwa na kuteswa na CCP,
kuteseka huku ni kwa ajili ya haki, ambayo najua moyoni mwangu.
Maisha yangu yakitoweka mara moja ghafla bin vu,
bado nitasema kwa fahari kwamba nimemkubali Kristo wa siku za mwisho.
Ikiwa siwezi kuona tukio kuu la ukuaji wa injili ya ufalme,
bado nitatoa matarajio mazuri zaidi.
Ikiwa siwezi kuiona siku ambayo ufalme unafanikishwa,
lakini naweza kumwaibisha Shetani leo, basi moyo wangu utajawa na furaha na amani.