Smiley face

Ijumaa, 8 Juni 2018

Latest Swahili Christian Video "Njia ya mwenendo wa Binadamu" | Hukumu ya Mungu iliniokoa



Tangu umri mdogo, wazazi wa Cheng Jianguang na walimu walimfundisha sheria kama vile "Uwiano ni hazina, uvumilivu ni wema," "Kunyamazia makosa ya rafiki wazuri hudumisha urafiki mzuri na wa muda mrefu," "Ingawa utaona makosa, ni vyema useme machache" zilikuwa ni nguzo za kudumisha uhusiano mzuri na watu wengine.

Alhamisi, 7 Juni 2018

"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (6) - Bwana Yesu ni Mwana wa Mungu au Mungu Mwenyewe



Imeandikwa waziwazi katika Biblia kwamba Bwana Yesu ni Kristo, kwamba Yeye ni Mwana wa Mungu. Lakini Umeme wa Mashariki unashuhudia kwamba Kristo aliyepata mwili ni dhihirisho la Mungu, kwamba Yeye ni Mungu Mwenyewe. Kwa hiyo Kristo aliyepata mwili ni Mwana wa Mungu? Au Yeye ni Mungu Mwenyewe? Mwenyezi Mungu asema, "'Yesu ni Mwana mpendwa wa Mungu, ambaye anapendezwa Naye'....

Jumatano, 6 Juni 2018

"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (5) | Kufahamu Umuhimu wa Mungu Kupata Mwili Mara Mbili



Kupata mwili wa Mungu wa kwanza Alipigiliwa misumari msalabani, hivyo kuhitimisha kazi ya kuwakomboa wanadamu. Katika siku za mwisho, kupata mwili wa Mungu wa pili anaonyesha ukweli na Anafanya kazi Yake ya hukumu na kuadibu, Akiwaokoa wanadambu kabisa kutoka kwa miliki ya Shetani.

Jumanne, 5 Juni 2018

"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (4) - Kwa Nini Mungu Anakuwa Mwili Mara Mbili ili Kuwaokoa Wanadamu



Katika Enzi ya Neema, Mungu mwenye mwili alipigiliwa misumari msalabani, Akazichukua dhambi za mwanadamu na kukamilisha kazi ya kuwakomboa wanadamu. Katika siku za mwisho, Mungu kwa mara nyingine Amepata mwili kuonyesha ukweli na kumtakasa na kumwokoa mwanadamu kabisa. Hivyo kwa nini Mungu anahitaji kupata mwili mara mbili ili kufanya kazi ya wokovu wa mwanadamu?

Jumatatu, 4 Juni 2018

"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (3) - Tofauti Kati ya Ubinadamu wa Kawaida wa Kristo na Ubinadamu wa Wanadamu wapotovu



Mungu anapata mwili kumwokoa mwanadamu na, kutoka nje, Mungu mwenye mwili Anaonekana kuwa mtu wa kawaida. Lakini je, wajua tofauti muhimu kati ya ubinadamu wa kawaida wa Mungu mwenye mwili na ubinadamu wa wanadamu wapotovu? Mwenyezi Mungu asema, "Mwili uliovaliwa na Roho wa Mungu ni mwili wa Mungu mwenyewe.

Jumapili, 3 Juni 2018

"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (2) - Namna ya Kumfahamu Mungu Mwenye Mwili



Katika siku za mwisho, Mungu amepata mwili kufanya kazi ili kumwokoa mwanadamu. Lakini kwa sababu hatufahamu ukweli wa kupata mwili, tunamchukulia Mungu mwenye mwili kuwa sawa na mwanadamu wa kawaida, hatuwezi kuitambua sauti ya Mungu na tunajua hata kidogo zaidi jinsi ya kumkaribisha Bwana—kufikia kiwango ambacho hata tunaweza kufuata ulimwengu wa dini na nguvu zinazotawala kumkana na kumshutumu Mungu—hali haiwi tofauti na wakati ambapo Mungu alipata mwili kama Bwana Yesu kufanya kazi Yake ya Enzi ya Neema.

Jumamosi, 2 Juni 2018

"Siri ya Utauwa: Mfuatano" (1) - Ni Jinsi Gani Bwana Ataonekana kwa Mwanadamu Atakaporudi Tena



Katika karne zote tangu Bwana Yesu alipofufuka na Akapaa mbinguni, sisi waumini tumetamani sana kwa hamu kurudi kwa Yesu Mwokozi. Watu wengi wanaamini kwamba utakuwa mwili wa kiroho wa Yesu aliyefufuka ambao utaonekana kwetu wakati Bwana atarudi. Lakini kwa nini Mungu ameonekana kwa mwanadamu akiwa mwili kama Mwana wa Adamu katika siku za mwisho? Mwenyezi Mungu asema, "Mungu Asipokuwa mwili, Atabaki kama Roho bila kuonekana au kuguswa na mwanadamu.

Ijumaa, 1 Juni 2018

Swahili Gospel Movie | “Jina la Mungu Limebadilika?!” Movie Clip: Ni Kukubali Jina Jipya la Mungu Ndiko Kuwa na Kasi Sawa na Nyayo za Mwanakondoo



Wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dinimara nyingi huhubiri kwa waumini kuwa Bwana Yesualisulubishwa msalabani kwa ajili ya dhambi za kila mmoja na kuwa mwanadamu amekombolewa kutoka kwa dhambi. Wanahubiri kuwa, mtu anapomwacha Bwana Yesu na kuamini Mwenyezi Mungu, ni sawa na kumsaliti Bwana Yesu na kuasi imani. Je, hakika ukweli uko hivi?