Wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dinimara nyingi huhubiri kwa waumini kuwa Bwana Yesualisulubishwa msalabani kwa ajili ya dhambi za kila mmoja na kuwa mwanadamu amekombolewa kutoka kwa dhambi. Wanahubiri kuwa, mtu anapomwacha Bwana Yesu na kuamini Mwenyezi Mungu, ni sawa na kumsaliti Bwana Yesu na kuasi imani. Je, hakika ukweli uko hivi?
Bwana Yesu alipokuja kufanya kazi Yake wakati huo, je, wale walioiacha hekalu na kumfuata Bwana Yesu hawakushutumiwa pia na Mafarisayo Wayahudi kwa njia hii kuwa wanasaliti Yehova Mungu? Hivyo, je, kukubali kazi mpya ya Mungu ni kuasi imani na kumsaliti Mungu? Au ni kuambatana na nyayo za Mwanakondoo na kupata wokovu wa Mungu? Tutaangazia masuala haya pamoja katika video hii fupi.
Kujua zaidi: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu, Umeme wa Mashariki
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni