Smiley face

Jumatatu, 15 Januari 2018

Kwa Furaha Ukaribishe Ujio wa Mungu! | Drama yenye Muziki ya Sifa za Ufalme–Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19

Chini ya mbingu ya usiku yenye nyota, tulivu na kimya, kundi la Wakristo wanasubiri kwa ari kurudi kwa Mwokozi wakiimba na kucheza kwa muziki mchangamfu.Wanaposikia habari za furaha "Mungu amerejea" na "Mungu ametamka maneno mapya", wanashangaa na kusisimka. Wanafikiri: "Mungu ameonekana? Tayari ametokea?" Kwa udadisi na kutokuwa na uhakika, mmoja baada ya mwingine, wanaingia katika safari ya kuyatafuta maneno mapya ya Mungu.  Katika kutafuta kwao kugumu, baadhi ya watu wanauliza maswali hali wengine wanalikubali tu. baadhi ya watu wanaangalia bila kutoa maoni, wakati wengine wanafanya mapendekezo na kutafuta majibu katika Biblia–wanaangalia lakini mwishowe kuangalia huku hakuzai matunda .... Wakati tu wanapokata tamaa, shahidi mmoja anawaletea nakala ya Biblia ya Enzi ya Ufalme, na wanavutiwa kwa kina na maneno yaliyomo katika kitabu. Hiki ni kitabu cha aina gani kweli? Je, kwa kweli wamepata maneno mapya ambayo Mungu ameyanena katika kitabu hiki? Je, wamekaribisha kwa furaha kuonekana kwa Mungu?
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19

Je, bado kwa uchungu mnasubiri na kutarajia kurudi kwa Mwokozi? Je, bado mko katika mchafuko, na kuota kuhusu jinsi ya kuinuliwa hadi kwa ufalme wa mbinguni? Ujio wa Mungu umeleta kuonekana kwa nuru ya kweli, na injili ya kushuka kwa ufalme wa mbingu! Umehitimisha siku zetu za kuzurura na kusubiri, hatutafuti tena kamwe, hatutafutitafuti tena kamwe. Tumemwona Mungu uso kwa uso!
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19

Bwana Yesu alisema, “Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, ukweli, na uzima: hakuna mtu ajaye kwa Baba, ila kwa njia yangu” (Yohana 14:6).Mwenyezi Mungu anasema, “Je, hukutamani sana kumwelewa Mungu aliye mbinguni? Je, hukutamani sana kuona hatima ya mwanadamu? Atakueleza hizi siri zote ambazo hakuna mwanadamu ameweza kukuambia, na hata Atakuelezea kuhusu ukweli usioelewaerstand” (Neno Laonekana katika Mwili). Tafadhali endelea kutazama drama yenye muziki ya Kanisa la Mwenyezi Mungu—Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo!


      Kujua zaidi:  Kuhusu Umeme wa Mashariki

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni