Smiley face

Alhamisi, 31 Mei 2018

"Jina la Mungu Limebadilika?!" (4) - Ni Kwa Nini Bwana Aliyerejelea Amechukua Jina la "Mwenyezi Mungu"?


Biblia inatabiri, "Nitaliandika jina la Mungu wangu juu yake, na jina la mji wa Mungu wangu, ambao ni Yerusalemu mpya, ushukao kutoka mbinguni kwa Mungu wangu: na nitaliandika juu yake jina langu jipya" (Ufunuo 3:12). "you shall be called by a new name, which the mouth of the LORD shall name" (Isaiah 62:2). Katika siku za mwisho, Mungu anaonekana kwa mwanadamu kwa jina la "Mwenyezi Mungu," anafanya kazi Yake ya hukumu akianzia nafamilia ya Mungu na kufichua tabia Yake ya haki, ya uadhama na ghadhabu. Umuhimu wa jina la "Mwenyezi Mungu" ni mkubwa sana; je, unajua umuhimu wa jina hili ni upi? Video hii itakupa jibu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni