Wakati Bwana Yesu alkuwa akifanya kazi Yake katika Enzi ya Neema, akihubiri kwamba ufalme wa mbinguni umekaribia na kuwaleta watu katika njia ya toba, Mafarisayo Wayahudi walimhukumu Yeye, wakisema kwamba maneno na kazi Yake zilikuwa kinyume na sheria za Agano la Kale, eti kuwa zilienda zaidi ya Agano la Kale, na kuwa yalikuwa ni uzushi.
Katika siku za mwisho, Mwenyezi Mungu anafanya kazi Yake ya hukumu akianza na familia ya Mungu na anaelezea ukweli wote ambao unatakasa na kumuokia mwanadamu, na wachungaji na wazee wa ulimwengu wa kidini wanahukumu, wakisema kuwa maneno na kazi ya MWenyezi Mungu huenda zaidi ya Biblia, na kwamba ni uzushi. Je , maneno na matendo ya Mungu yaliyoenda zaidi ya Biblia uzushi kweli? Ikiwa ni hivyo, si basi hata sisis tungekuwa tukihukumunkazi ya Bwana Yesu ? Je, Mungu hufanya kazi kulingana na Biblia au kulingana na haja ya kazi Yake kumuokoa mwanadamu?
Kanisa la Mwenyezi Mungu lilikuja kuwa kwa sababu ya kuonekana na kazi ya Mwenyezi Mungu.
NYUMBANI
Usomaji wa Maneno ya Mwenyezi Mungu
Filamu za Injili
Kwaya za Injili
Maisha ya Kanisa—Mfululizo wa Maonyesho Mbalimbali
Video za Nyimbo na Ngoma
Msururu wa MV za Ufalme
Video za Nyimbo za Dini
Filamu za Maisha ya Kanisa
Filamu za Uzoefu wa Mateso
Kufunua Mfululizo wa Video za Ukweli
Sehemu za Filamu
Aina za Dondoo za Video
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni