Smiley face

Jumatano, 19 Septemba 2018

Filamu za Kikristo | "Toka Nje ya Biblia" | Is Believing in the Bible Believing in God?




Wang Yue alikuwa ni mhubiri katika kanisa la nyumbani nchini China. Kwa moyo wake wote alihubiri na kuchunga kanisa la Bwana. Lakina wakti kanisa lake lilipoendelea kuwa tupu zaidi, alpatwa na wasiwasi lakini hangeweza kufanya chochote kulihusu. Alkiwa amepotea katika mateso na kushangazwa, yeye kwa bahati nzuri alikuja kukubali injili ya ufalme wa Mwenyezi Mungu. Alipofurahia utele wa neno la Mungu, yeye alielewa kwa kina upana wa wokovu wa Mungu. Hii ilifanya mateso na kudhoofika kwa kukosa kutwaliwa na Mungu na kuanguka katika giza iwe ya ukweli zaidi kwake.  Hivyo, aliamua kueneza injili ya ufalme wa Bwana. … Wakati Wang Yue alieneza injili kwa ndugu na dada zake katika mji wao wa nyumbani, mchungaji na mzee wa ulimwengu wa kidini walifanya vyote wawezavyo kukatiza na kumzuia. Walichohea dhana ya kidini: "Kumwamini Mungu ni kuamnini katika Biblia, na kuamini Biblia ni kumwamini Mungu. Kuondoka katika Biblia ni kumaanisha humwamini Mungu!" Kam vile tu Mafarisayo wa kale wliopinga na kumhukumu Bwana Yesu, wao walipakanisha Mungu na Biblia, na hili walidanganya na kuzuia waumini kutokana na kuichunguza njia ya kweli. Akikabiliwa na hali, mjaala mkali ulitukia katika vikundi viwili. Je, Wang Yue alitumia maneno ya Mwenyezi Mungu kusuluhisha dhana za watu wa kanisa? …

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni