Wimbo wa Maneno ya Mungu | Kiini cha Kristo Ni Mungu
- I
- Mungu anayekuwa mwili anaitwa Kristo,
- na hivyo Kristo anayeweza kuwapa watu ukweli anaitwa Mungu.
- Si kupita kiasi kusema hivyo,
- kwani Ana kiini cha Mungu.
- Ana tabia ya Mungu na hekima katika kazi Yake,
- ambayo haifikiwi na mwanadamu.
- Wale wanaojiita Kristo wenyewe
- ilhali hawawezi kufanya kazi
- ya Mungu ni wadanganyifu.
- Wanaojifanya kuwa Kristo hatimaye wataanguka,
- ingawaje wanadai kuwa Kristo,
- hawana kiini chochote cha Kristo.
- II
- Kristo sio tu udhihirisho wa Mungu duniani,
- lakini mwili hasa uliochukuliwa na Mungu.
- Anapotekeleza na kutimiza kazi Yake kati ya mwanadamu.
- Mwili huu hauwezi kubadilishwa na mwanadamu yeyote tu.
- Ila mwili unaoweza kutosha kubeba kazi ya Mungu duniani.
- Na kuonyesha tabia ya Mungu,
- na kumwakilisha Mungu vizuri na kumpa mwanadamu uzima.
- Hivyo Mungu anasema kuwa uhalali wa Kristo,
- hauwezi kufafanuliwa na mwanadamu,
- lakini unajibiwa na kuamuliwa na Mungu Mwenyewe.
- Hivyo kama kwa kweli unataka kutafuta njia ya uzima,
- lazima kwanza utambue,
- ni katika siku za mwisho ambapo Anakuja duniani,
- kumpa mwanadamu njia ya uzima.
- Sio zamani, sio zamani; inafanyika leo.
-
- kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
- Sikiliza zaidi: Nyimbo ya Msifuni Mwenyezi Mungu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni