Smiley face

Ijumaa, 5 Oktoba 2018

Umeme wa Mashariki | "Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (4) - Mafarisayo Waliomsulubisha Bwana Msalabani Wameonekana Tena!


"Kaa Mbali na Shughuli Zangu" (4) - Mafarisayo Waliomsulubisha Bwana Msalabani Wameonekana Tena!


Miaka elfu mbili iliyopita, wakati Bwana Yesu alipofanya kazi, Mafarisayo waliishutumu kazi ya Bwana Yesu kwa kusingizia kuyatetea Maandiko. Walimhukumu hata Bwana Yesu kama mtoto wa seremala, na wakafanya kile waliloweza kuwazuia waumini dhidi ya kumfuata Bwana Yesu.
Hatimaye walimsulubisha Bwana Yesu. Wakati wa siku za mwisho, Bwana Yesu amerudi kufanya kazi na kuongea. Wachungaji na wazee wa kanisa wa jamii ya dini vilevile wanaitumia Biblia kuishutumu kazi ya Mungu, na vilevile kumshutumu Mungu kama mtu wa kawaida. Wanafanya kila wawezalo kuwakatiza waumini kuikubali njia ya ukweli. Inashangaza kwamba, historia hujirudia.

Kujua zaidi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni