Smiley face

Jumatano, 8 Mei 2019

Wimbo wa Dini | Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa



Wimbo wa Dini | Sauti ya Moyo ya Kiumbe Aliyeumbwa

I
Nilitaka kulia lakini hakuna mahali palihisi sawa.
Nilitaka kuimba lakini hakuna wimbo ulipatikana.
Nilitaka kuonyesha upendo wa kiumbe aliyeumbwa.
Nikitafuta juu na chini,
lakini hakuna maneno yangeweza kusema,
yangeweza kusema jinsi hasa ninavyohisi.
Mungu wa vitendo na wa kweli,
upendo ndani ya moyo wangu.
Nainua mikono yangu kwa sifa,
ninafurahia kwamba Ulikuja katika dunia hii.

II
Mwanadamu alitoka mavumbini,
na Mungu akampa uhai.
Shetani alishuka chini kuwapotosha wanadamu.
Ubinadamu na mantiki yao yamepotea.
Kizazi baada ya kizazi,
kimeanguka tangu siku hiyo.
Lakini Wewe ni …
Mungu wa vitendo na wa kweli,
upendo ndani ya moyo wangu.
Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako.
Ninawezaje kukosa kuabudu?
Mungu wa vitendo na wa kweli,
upendo ndani ya moyo wangu.
Mimi ni vumbi lakini ninaweza kuona uso Wako.
Ninawezaje kukosa kukuabudu?

III
Mungu alimuumba mwanadamu na anampenda sana,
kiasi kwamba Alipata mwili tena,
Alistahimili mazuri na mabaya,
taabu na huzuni,
Akituokoa na kutuleta mahali pazuri.
Tutakushukuru Wewe daima.
Mungu wa vitendo na wa kweli,
upendo ndani ya moyo wangu.
Mpotovu, lakini Wewe umeniokoa!
Ninawezaje kukosa kuabudu?
Mungu wa vitendo na wa kweli,
upendo ndani ya moyo wangu.
Mpotovu, lakini Wewe umeniokoa!
Ninawezaje kukosa kukuabudu?
Ninawezaje kukosa kukuabudu?
Ninawezaje kukosa kukuabudu?

kutoka kwa Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

    Kuhusu Sisi:Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni