Smiley face

Jumanne, 4 Juni 2019

Wimbo wa Injili | "Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu" | The Great Mission of Christians



Wimbo wa Injili | "Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu" | The Great Mission of Christians
I
Kama washiriki wa jamii ya wanadamu, kama wafuasi wa Kristo wa dhati, ni wajibu wetu, ni jukumu letu kutoa akili zetu na miili yetu kwa kutimiza agizo la Mungu. Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu, na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake. Kwa maana asili yetu, ilitoka kwa Mungu, na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake. II Ikiwa akili na miili yetu haiko kwa ajili ya agizo la Mungu au njia ya mwanadamu ya haki, roho zetu hazitastahili waliokufa kishahidi kwa ajili ya agizo la Mungu, zaidi haistahili kwa Mungu anayetupa kila kitu. Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu, na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake. Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu, na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake. Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu, na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake. Kwa maana asili yetu, ilitoka kwa Mungu, na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.

 kutoka katika Mfuateni Mwanakondoo na Kuimba Nyimbo Mpya

Sikiliza zaidi: Kuhusu Kanisa la Mwenyezi Mungu



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni