Smiley face
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo mahusiano-ya-binadamu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo mahusiano-ya-binadamu. Onyesha machapisho yote

Jumapili, 1 Desemba 2019

Nilijifunza Kufanya Kazi na Wengine

Maisha ya kanisa
Liu Heng Mkoa wa Jiangxi
Kupitia neema ya Mungu, nilichukua jukumu la kuwa kiongozi wa kanisa. Wakati huo, nilikuwa na shauku mno na niliweka azimio mbele ya Mungu: Bila kujali kinachonikabili, sitayatelekeza majukumu yangu. Nitafanya kazi vizuri na yule dada mwingine na nitakuwa mtu anayetafuta ukweli. Lakini nilikuwa nimeamua tu, na sikujua jinsi ya kuingia katika uhalisi wa uhusiano wa kufanya kazi kwa mpangilio wa kuridhisha. Nilipoanza kwanza kupanga masuala ya kanisa na dada ambaye nilikuwa nikifanya kazi naye, na tulipokuwa na maoni tofauti, ningemwomba Mungu kwa uwazi nikimuuliza Yeye kuulinda moyo wangu na roho yangu ili nisimlaumu mshirika wangu. Hata hivyo, nilizingatia tu kudhibiti vitendo vyangu ili nisiwe na migogoro na mshirika wangu, kwa hivyo sikuwa nimeingia katika ukweli

Ijumaa, 8 Novemba 2019

Umuhimu wa Uratibu katika Huduma

Umuhimu wa Uratibu katika Huduma
Mei Jie Jijini Jinan, Mkoani Shandong
Hivi karibuni kanisa lilitoa mpangilio wa kazi likihitaji viongozi wa kanisa katika ngazi zote kuanzisha mbia (mfanyikazi mwenza kufanya kazi pamoja nao). Wakati huo, nilifikiri kwamba huu ulikuwa mpangilio mzuri. Nilikuwa wa ubora wa tabia wa chini na nilikuwa na kazi nyingi; kwa kweli nilihitaji mbia wa kunisaidia kukamilisha kila aina ya kazi kanisani.