Smiley face

Jumatano, 20 Septemba 2017

Muziki wa Akapela "Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu" (Video Rasmi ya Muziki)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu

Mpaka siku moja, utahisi kuwa Muumba sio fumbo tena, kwamba Muumba hajawahi kufichwa kutoka kwako, kwamba Muumba hajawahi kuificha sura Yake kutoka kwako, kwamba Muumba hayuko mbali na wewe hata kidogo, kwamba Muumba siye Yule unayemtamania katika mawazo yako lakini kwamba huwezi kumfikia na hisia zako, kwamba Anasimama kwa kweli kama mlinzi kulia na kushoto kwako, Akiruzuku maisha yako, na kudhibiti majaliwa yako, kudhibiti majaliwa yako. Hayuko katika upeo wa mbali, wala hajajificha juu mawinguni. Yuko kando yako, akiwa na mamlaka juu ya kila kitu chako, Yeye ni kila kitu ulicho nacho, na Yeye ni kitu pekee ulicho nacho.
Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu









Mungu kama huyo Anakukubali umpende kutoka moyoni, umshikilie, umweke karibu, umtamani, uhofu kumpoteza, na kutotaka kumkataa tena, kutomtii tena, ama kumwepuka tena ama kumweka mbali. Kile unachotaka ni kumjali tu, kumtii, kulipia kila kitu Anachokupa, na kujisalimisha katika himaya Yake. Hukatai tena kuongozwa, kupewa, kuangaliwa, na kuwekwa na Yeye, hukatai tena Anachoamuru na kukitawaza kwako, Anachoamuru na kukitawaza kwako. Unachotaka tu ni kumfuata, kutembea kando Yake katika kushoto ama kulia Kwake, ni kumfuata, kutembea kando Yake katika kushoto ama kulia Kwake, kile utakacho ni kumkubali kama Bwana wako mmoja na wa pekee, kile utakacho ni kumkubali kama Bwana wako mmoja na wa pekee, Mungu wako mmoja na wa pekee. Hukatai tena Hukatai tena Hukatai tena Hukatai tena Hukatai tena kuongozwa, kupewa, kuangaliwa, na kuwekwa na Yeye, katai tena katai tena katai tena katai tena Anachoamuru na kukitawaza kwako, Anachoamuru na kukitawaza kwako. Unachotaka tu ni kumfuata, kutembea kando Yake katika kushoto ama kulia Kwake, kumfuata, kutembea kando Yake katika kushoto ama kulia Kwake, kile utakacho ni kumkubali kama Bwana wako mmoja na wa pekee, kile utakacho ni kumkubali kama Bwana wako mmoja na wa pekee, Mungu wako mmoja na wa pekee. Unachotaka tu ni kumfuata, kutembea kando Yake katika kushoto ama kulia Kwake, ni kumfuata, kutembea kando Yake katika kushoto ama kulia Kwake, kile utakacho ni kumkubali kama Bwana wako mmoja na wa pekee, kama Bwana wako mmoja na wa pekee, Mungu wako mmoja na wa pekee. Mungu wako mmoja na wa pekee.

Kutoka kwa Kuendeleza kwa Neno Laonekana katika Mwili




Kujua zaidi:  Kuhusu Umeme wa Mashariki,  Kanisa la Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni