Smiley face
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Bwana. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Bwana. Onyesha machapisho yote

Jumamosi, 22 Septemba 2018

Video za Kikristo | "Kaa Mbali na Shughuli Zangu" | Christ Is My Lord and My God




Li Qingxin ni mhubiri katika kanisa la nyumba nchini Uchina ambaye amekuwa mwaminifu kwa Bwana kwa miaka mingi.  Siku zote kwa shauku kubwa anaifanya kazi ya Bwana ya kuieneza injili, akisubiri kwa uangalifu kuja kwa Bwana ili amlete hadi kwenye ufalme wa mbinguni. Katika miaka ya hivi majuzi, Li Qingxin amegundua kwamba vikundi na makanisa mbalimbali yamekuwa na ukiwa zaidi. Umeme wa Mashariki, hata hivyo, limekuwa la kusisimua zaidi, licha ya shutuma na mateso mengi yenye mhemko kutoka kwa serikali ya Kikomunisti ya Uchina na jamii ya dini.

Jumatatu, 17 Septemba 2018

Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Kufunua Ukweli wa Maelezo ya Viongozi wa Kidini ya Biblia


Filamu za Injili | "Kupita Katika Mtego" | Kufunua Ukweli wa Maelezo ya Viongozi wa Kidini ya Biblia

Wachungaji na wazee wa ulimwengu wa dini mara nyingi huelezea Biblia kwa watu na kuwafanya washikilie Biblia. Kwa kufanya hivi, je, kwa kweli wanamwinua Bwana na kutoa ushahidi kwa ajili Yake? Watu wengi hawawezi kufahanu hili.

Jumapili, 16 Septemba 2018

Ijumaa, 14 Septemba 2018

Filamu za Kikristo "Wokovu" | Does Forgiveness of Sins Mean Full Salvation?

       
       Wokovu ni nini? Wale wanaoamini katika Bwana Yesu hufikiria kwamba ikiwa wataomba kwa dhati kwa Bwana, waungame dhambi zao, na kutubu, dhambi zao zitasamehewa, na watapewa wokovu, na Bwana Atakapokuja, wao watainuliwa moja kwa moja hadi katika ufalme wa mbinguni. Lakini je, wokovu kweli ni rahisi hivyo?

Jumamosi, 8 Septemba 2018

Filamu za Kikristo | “Kumbukumbu Chungu” Movie Clip: Wokovu Kupitia Imani Pekee Unaweza Kuwa Tiketi ya Kuingia Katika Ufalme wa Mbinguni?


Filamu za Kikristo | “Kumbukumbu Chungu” Movie Clip: Wokovu Kupitia Imani Pekee Unaweza Kuwa Tiketi ya Kuingia Katika Ufalme wa Mbinguni?

    Hasa ni mtu aina gani anayeweza kuingia kwenye ufalme wa mbinguni? Baadhi ya watu hufikiria dhambi zetu zinasamehewa pindi tunaposadiki Bwana, kwamba pindi tunapookolewa basi tunaokolewa milele, na kwamba mtu aina hii anaweza kunyakuliwa na kuingia kwenye ufalme wa mbinguni. Kisha kuna wale wanaosadiki kwamba, ingawa dhambi zetu zinasamehewa pindi tunaposadiki Bwana, bado tunafanya dhambi mara kwa mara na hatujafikia utakatifu, na kwa sababu Biblia inasema kwamba wale ambao si watakatifu hawawezi kumwona Bwana, basi ni vipi tunaweza kunyakuliwa na kuingia kwenye ufalme wa mbinguni wakati hatujafikia utakatifu? Hivyo ni nani aliye sahihi na nani asiye sahihi kutokana na mitazamo hii miwili? Tafadhali tazama pande zote mbili zikishiriki katika majadiliano makali!


Sikiliza nyimbo: Umeme wa Mashariki swahili worship songs, video za kwaya

Jumatano, 20 Septemba 2017

Muziki wa Akapela "Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu" (Video Rasmi ya Muziki)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Tokeo Lililofikiwa kwa Kumjua Mungu

Mpaka siku moja, utahisi kuwa Muumba sio fumbo tena, kwamba Muumba hajawahi kufichwa kutoka kwako, kwamba Muumba hajawahi kuificha sura Yake kutoka kwako, kwamba Muumba hayuko mbali na wewe hata kidogo, kwamba Muumba siye Yule unayemtamania katika mawazo yako lakini kwamba huwezi kumfikia na hisia zako, kwamba Anasimama kwa kweli kama mlinzi kulia na kushoto kwako, Akiruzuku maisha yako, na kudhibiti majaliwa yako, kudhibiti majaliwa yako.