Smiley face

Jumapili, 14 Januari 2018

Habari kuu njema za furaha! | Drama yenye Muziki ya Sifa za Ufalme–Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19

Chini ya mbingu ya usiku yenye nyota, tulivu na kimya, kundi la Wakristo wanasubiri kwa ari kurudi kwa Mwokozi wakiimba na kucheza kwa muziki mchangamfu.Wanaposikia habari za furaha "Mungu amerejea" na "Mungu ametamka maneno mapya", wanashangaa na kusisimka. Wanafikiri: "Mungu ameonekana? Tayari ametokea?" Kwa udadisi na kutokuwa na uhakika, mmoja baada ya mwingine, wanaingia katika safari ya kuyatafuta maneno mapya ya Mungu. Katika kutafuta kwao kugumu, baadhi ya watu wanauliza maswali hali wengine wanalikubali tu. baadhi ya watu wanaangalia bila kutoa maoni, wakati wengine wanafanya mapendekezo na kutafuta majibu katika Biblia–wanaangalia lakini mwishowe kuangalia huku hakuzai matunda .... Wakati tu wanapokata tamaa, shahidi mmoja anawaletea nakala ya Biblia ya Enzi ya Ufalme, na wanavutiwa kwa kina na maneno yaliyomo katika kitabu. Hiki ni kitabu cha aina gani kweli? Je, kwa kweli wamepata maneno mapya ambayo Mungu ameyanena katika kitabu hiki? Je, wamekaribisha kwa furaha kuonekana kwa Mungu?

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19
Katika mwili wa kiroho, au katika mwili wa kawaida? "Nanyi jiwekeni tayari, kwa kuwa saa msiyodhani ndipo atakapokuja Mwana wa Adamu"(Luka 12:40). “Kwa maana kama umeme utokavyo mashariki, na kumulika hata magharibi; hivyo ndivyo ujio wake Mwana wa Adamu utakavyokuwa” (Mathayo 24: 27). “Wakati huu, Mungu haji kufanya kazi kwa mwili wa kiroho ila kwa ule wa kawaida sana. Sio tu mwili wa kupata mwili kwa Mungu kwa mara ya pili, lakini pia mwili ambao Mungu anarudia.”(Neno Laonekana katika Mwili). Tafadhali endelea kutazama drama yenye muzikiya Kanisa la Mwenyezi Mungu–Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo!

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19
"Bado ningali nayo mengi ya kuwaambia, lakini hivi sasa hamwezi kuyastahimili. Hata hivyo, yeye, Roho wa kweli, atakapokuja, atawaongoza hadi kwa ukweli wote" (Yohana 16:12-13) “Mwili huu usio na umuhimu ni mfano halisi wa maneno yote ya kweli kutoka kwa Mungu,ambao hufanya kazi ya Mungu siku za mwisho, na maonyesho ya tabia nzima ya Mungu kwa mwanadamu kuja kujua”(Neno Laonekana katika Mwili)

Kanisa la Mwenyezi Mungu, Kanisa, Umeme wa Mashariki,
Kwaya ya Injili ya Kichina Onyesho la 19
"Tazama, maskani ya Mungu yako pamoja na wanadamu, naye atakaa pamoja nao, nao watakuwa watu wake, naye Mungu mwenyewe atakuwa pamoja nao, na kuwa Mungu wao" (Ufunuo 21:2-4).“Wakati huu, Mungu haji kufanya kazi kwamwili wa kiroho ila kwa ule wa kawaida sana. Sio tu mwili wa kupata mwili kwa Mungu kwa mara ya pili, lakini pia mwili ambao Mungu anarudia. Yeye ndiye lango la kuingia katika ufalme, na mwongozo wako katika enzi mpya”(Neno Laonekana katika Mwili).Tafadhali endelea kutazama drama yenye muziki ya Kanisa la Mwenyezi Mungu–Kila Taifa Humwabudu Mungu wa Vitendo!



Kujua zaidi:  Kuhusu Umeme wa Mashariki

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni