Smiley face

Alhamisi, 31 Mei 2018

"Jina la Mungu Limebadilika?!" (4) - Ni Kwa Nini Bwana Aliyerejelea Amechukua Jina la "Mwenyezi Mungu"?


Biblia inatabiri, "Nitaliandika jina la Mungu wangu juu yake, na jina la mji wa Mungu wangu, ambao ni Yerusalemu mpya, ushukao kutoka mbinguni kwa Mungu wangu: na nitaliandika juu yake jina langu jipya" (Ufunuo 3:12). "you shall be called by a new name, which the mouth of the LORD shall name" (Isaiah 62:2). Katika siku za mwisho, Mungu anaonekana kwa mwanadamu kwa jina la "Mwenyezi Mungu," anafanya kazi Yake ya hukumu akianzia nafamilia ya Mungu na kufichua tabia Yake ya haki, ya uadhama na ghadhabu.

Jumatano, 30 Mei 2018

"Jina la Mungu Limebadilika?!" (3) - Umuhimu wa Jina la Mungu


"Yehova" na "Yesu" yalikuwa ni majina ya Mungu katika Enzi ya Sheria na Enzi ya Neema, na imetabiriwa katika Ufunuo kuwa Mungu atakuwa na jina jipya katika siku za mwisho. Ni kwa nini Mungu anaitwa kwa majina tofauti katika enzi mbalimbali? Majina haya mawili ya "Yehova" na "Yesu" yana umuhimu gani? Video hii fupi itakusaidia kukutatulia fumbo hili.

Jumanne, 29 Mei 2018

"Jina la Mungu Limebadilika?!" (2) - Je, ni Kweli kuwa Jina la Mungu Haliwezi Kubadilika?


Wachungaji na wazee wa ulimwengu wa kidini mara nyingi huhubiri kwa waumini kuwa jina la Bwana Yesuhaliwezi kamwe kubadilika na kuwa ni kwa kutegemea tu jina la Bwana Yesu ndio tunaweza kuokolewa. Je, mtazamo wa aina hii unaambatana na kuweli? Yehova Mungu alisema, "kabla yangu hakukuwa na Mungu aliyeumbwa, wala hakutakuwa baada yangu.

Jumatatu, 28 Mei 2018

"Jina la Mungu Limebadilika?!" (1) - Je, Kuna Maneno Mengine ya Mungu Kando ya Yale Yaliyo kwenye Biblia?


Biblia inasema, "Kisha nikaona katika mkono wa kuume wake yeye aliyeketi juu ya kile kiti cha enzi kitabu kilichoandikwa ndani na nyuma, kilichofungwa kwa mihuri saba" (Ufunuo 5:1). "Yeye aliye na sikio, na alisikie neno ambalo Roho aliyaambia makanisa; Kwa yule ashindaye nitampa mana iliyofichwa aile" (Ufunuo 2:17). Kulingana na Biblia, Bwana atakaporudi katika siku za mwisho Atafungua kitabu, afungue mihuri saba na ampe mwanadamu mana iliyofichwa.

Jumapili, 27 Mei 2018

Best Swahili Gospel Worship Song "Njoo Mbele Ya Mungu Mara kwa Mara" | Uso kwa uso na Mungu



Chukua fursa unapokuwa na wakati, keti kimya mbele ya Mungu.
Soma neno Lake, jua ukweli Wake, rekebisha makosa yaliyo ndani yako.
Majaribu huja, yakabili; ijue nia ya Mungu na utakuwa na nguvu.
Mwambie ni vitu gani unavyokosa, shiriki ukweli Wake kila mara.
Roho yako ina furaha unapomwabudu Yeye.

Jumamosi, 26 Mei 2018

Maigizo Yaliyosimuliwa ya Hadithi za Kweli "Upendo wa Kweli wa Mungu" (Swahili Subtitles)



Ili kujitengenezea nafasi yake mwenyewe duniani, mhusika mkuu alilazimika kufuata mwenendo wa duniani humu, akihangaika na kufanya kazi kwa bidii kwa ajili ya umaarufu na hadhi. Maisha yake yalilikuwa hasa matupu na yenye maumivu. Baada ya kumwamini Mwenyezi Mungu, alipata maana ya maisha ya binadamu ndani ya maneno ya Mwenyezi Mungu, na akiwa amejawa na furaha, akamfuata Mungu na kutimiza majukumu yake.

Ijumaa, 25 Mei 2018

Fasiri ya Mafumbo ya Maneno ya Mungu - Ufafanuzi wa Tamko la Kumi na Moja


Kwa macho ya mwanadamu, inaonekana hakuna badiliko katika matamshi ya Mungu wakati wa kipindi hiki, ambalo ni kwa sababu watu hawawezi kuelewa sheria ambazo kwazo Mungu hunena, na hawafahamu muktadha wa maneno Yake. Baada ya kusoma maneno ya Mungu, watu hawaamini kwamba kuna mafumbo yoyote mapya katika maneno haya;

Alhamisi, 24 Mei 2018

"Imani katika Mungu" (6) - Imani ya Kweli katika Mungu Inamaanisha Nini?


Watu wengi wanaamini kwamba imani katika Mungu ni imani katika Biblia, na kwamba kumfanyia Bwana kazi kwa bidii ni uhalisi wa kuamini katika Mungu. Hakuna mtu katika ulimwengu wa dini ana uwezo wa kuelewa kabisa imani ya kweli katika Mungu ina maana gani. Mwenyezi Mungu anasema, “‘Imani katika Mungu’ inamaanisha kuamini kuwa kuna Mungu; hii ndiyo dhana rahisi zaidi ya imani katika Mungu.

Jumatano, 23 Mei 2018

"Imani katika Mungu" (5) - Je, Kufanya Kazi kwa Bidii kwa ajili ya Bwana ni Uhalisi wa Imani katika Bwana?


Waumini wengi huamini kwamba mradi tunalilinda jina la Bwana, kuomba mara kwa mara, kusoma Biblia na kuwa na mikutano, na mradi sisi huyaacha vitu, hutumia rasilmali na kufanya kazi kwa bidii kwa ajili ya Bwana, basi hii ni imani ya kweli katika Bwana, na tutaweza kunyakuliwa hadi katika ufalme wa mbinguni Bwana atakaporudi. Je, aina hii ya mtazamo ni sahihi?

Jumanne, 22 Mei 2018

"Imani katika Mungu" (4) - Je, Kuamini katika Biblia ni Sawa na Kuamini katika Bwana?


Watu wengi zaidi katika ulimwengu wa dini huamini kwamba Biblia ni kanuni ya Ukristo,kwamba mtu lazima ashikilie Biblia na kuweka msingi wa imani yake katika Bwana kwenye Biblia kabisa, na kwamba mtu hawezi kuitwa muumini akipotoka kutoka kwenye Biblia. Hivyo imani katika Bwana na imani katika Biblia ni sawa? Uhusiano kati ya Biblia na Bwana ni upi hasa?

Jumatatu, 21 Mei 2018

"Imani katika Mungu" (3) - Je, Kazi ya Mungu na Kuonekana kwa Mungu Kunaleta Nini katika Jamii ya Dini?


Kila wakati ambapo Mungu anakuwa mwili na kuonekana ili kufanya kazi Yake, nguvu za uovu za Shetani hupinga na kulaani njia ya kweli kwa ghadhabu. Kwa njia hii, vita vinatokea ndani ya dunia ya kiroho ambavyo hugawanya na kufunua ulimwengu wa dini. Bwana Yesu alisema, “Msifikiri kwamba nimekuja kuleta amani duniani: sikuja kuleta amani, bali upanga”(Mathayo 10:34).

Jumapili, 20 Mei 2018

"Imani katika Mungu" (2) - Je, Njia Inayoshutumiwa na CCP na Miongoni mwa Watu wa Dini Siyo Njia ya kweli?


Watu wengi hutafuta na kuchunguza njia ya kweli pasipo kutegemeza vitendo hivi katika maneno na kazi ya Mungu. Badala yake, wao hufuata mitindo ya ulimwengu wa dini na wanaamini kwamba kile ambacho serikali ya kikomunisti ya China na ulimwengu wa dini inalaani sio njia ya kweli—je, hii ni njia sahihi ya kuelekea? Biblia inasema, “dunia nzima hukaa ndani ya maovu."(1 Yohana 5:19). “Hiki ni kizazi kiovu” (Luka 11:29).

Jumamosi, 19 Mei 2018

Fasiri ya Mafumbo ya Maneno ya Mungu - Sura ya 10


Mwenyezi Mungu alisema, Katika wakati wa ujenzi wa kanisa, Mungu alitaja ujenzi wa kanisa kwa nadra. Hata Alipotaja, Alifanya hivyo katika lugha ya wakati wa ujenzi wa kanisa. Mara tu Enzi ya Ufalme ilipokuja, Mungu alifuta mbinu na wasiwasi nyingine za wakati wa ujenzi wa kanisa mara mmoja na Hakuwahi tena kusema hata neno moja kuuhusu.

"Imani katika Mungu" (1) - Je, Utiifu kwa Wale Walio Madarakani Kweli ni Sawa na Utiifu kwa Mungu?


Katika Biblia, Paulo alisema, "Acha kila nafsi itii mamlaka ya juu zaidi. Kwani hakuna mamlaka isipokuwa ya Mungu: mamlaka yaliyoko yameamriwa na Mungu. Yeyote yule anayepinga nguvu, anapinga amri ya Mungu: na yule anayepinga atapokea laana” (Warumi 13:1-2). Sisi waumini tunapaswa kuwatendea vipi wale walio madarakani? Je, utiifu kwa wale walio madarakani ni sawa na utiifu kwa Mungu kweli?

Ijumaa, 18 Mei 2018

Fasiri ya Mafumbo ya Maneno ya Mungu - Nyongeza ya 1: Tamko la Kwanza


Mwenyezi Mungu alisema, Ninachotaka mfanye si nadharia isiyo dhahiri na tupu ambayo Naizungumzia, wala si ya kutofikirika kwa akili ya mwanadamu au ya kutotimizwa kwa mwili wa mwanadamu. Ni nani anaweza kuwa mwaminifu kabisa ndani ya nyumba Yangu? Na ni nani anaweza kutoa yake yote ndani ya ufalme Wangu?

" Wimbo wa Sifa ""Upendo wa Kweli wa Mungu"" | Haleluya! Msifuni Mungu! (Korean Song Swahili Subtitles)"


Leo naja mbele ya Mungu tena,
naona uso Wake wa kupendeza.
Leo naja mbele ya Mungu tena,
nimeacha siku zangu za zamani za kuzurura nyuma yangu.
Leo naja mbele ya Mungu tena,
kufurahia neno Lake kunanijaza na furaha.

Alhamisi, 17 Mei 2018

New Swahili Gospel Movie "Jina la Mungu Limebadilika?!" | Kufunua Siri ya Jina la Mungu


Jina lake ni Wang Hua, na ni mhubiri wa kanisa la nyumbani Kusini mwa Uchina. Baada ya kuanza kumwamini Bwana, alipata kwenye Biblia kuwa Mungu aliitwa Yehova katika Agano la Kale, na aliitwa Yesukatika Agano Jipya. Ni kwa nini Mungu ana majina tofauti? Wang Hua alishangazwa sana na hili. Alijaribu kutafuta jibu katika Biblia, lakini akakosa kuelewa fumbo hilo...

Jumatano, 16 Mei 2018

Swahili Gospel Praise Music "Kila Kitu Kinaishi Chini ya Sheria na Masharti Yaliyowekwa na Mungu"



na mwanadamu angali anafurahia nuru na hewa aliyopewa na Mungu,
angali anapumua pumzi iliyotolewa na Mungu Mwenyewe,
angali anafurahia maua, ndege, samaki na wadudu walioumbwa na Mungu,
na kufurahia viumbe vyote vilivyotolewa na Mungu;
mchana na usiku zingali zinabadilishana nafasi zao bila kusita;

Jumanne, 15 Mei 2018

Latest Swahili Gospel Movie "Siri ya Utauwa: Mfuatano" | God is the Way, the Truth, and the Life


Lin Bo'en ni mhubiri mzee ambaye amemwani Bwana kwa miongo mingi. Tangu alipomkubali Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, alihukumiwa, akatengwa, na akafukuzwa kutoka kwa jumuiya ya kidini na wachungaji na wazee wa kanisa, nguvu zinazompinga Kristo. Lakini ingawa Lin Bo’en alishambuliwa, akahukumiwa na kusingiziwa, hakusita kwa woga.

Jumatatu, 14 Mei 2018

Swahili Christian Video "Mtoto, Rudi Nyumbani" | Hakuna Wokovu Ila Kupitia Kwa Bwana


Li Xinguang ni mwanafunzi wa shule ya upili ya ngazi ya juu. Alikuwa mvulana mwenye busara na mwenye tabia nzuri tangu alipokuwa mdogo. Wazazi wake na walimu wake walimpenda sana. Alipokuwa akienda katika shule ya kati, alipumbazwa na michezo ya kompyuta ya mtandaoni. Angekosa kwenda darasani mara kwa mara ili aende kwenye chumba cha mtandao.

Jumapili, 13 Mei 2018

Gospel Movie Clip "Siri ya Utauwa" (6) - Haja ya Mungu Kuifanya Kazi Yake kwa Njia ya Kupata Mwili


Kwa nini inasemekana kwamba ni ya manufaa zaidi Mungu kupata mwili ili kuwaokoa wanadamu? Haja na umuhimu mkuu wa Mungu kupata mwili vinaweza kuonekana wapi? Mwenyezi Mungu asema, "Mwili wa mwanadamu umepotoshwa na Shetani, na wengi wamepofushwa, na kuumizwa sana. Sababu muhimu sana ambayo inamfanya Mungu kufanya kazi katika mwili ni kwa sababu mlengwa wa wokovu Wake ni mwanadamu, ambaye ni wa mwili, na kwa sababu Shetani pia anatumia mwili wa mwanadamu kusumbua kazi ya Mungu.

Jumamosi, 12 Mei 2018

Gospel Movie Clip "Siri ya Utauwa" (5) - Namna ya Kujua Kwamba Kristo ni Ukweli, Njia na Uzima



Kupata mwili kwa Mungu wote wawili wanashuhudia kwamba "Kristo ni ukweli, njia na uzima." Kwa inasemwa kwamba Kristo ni ukweli, njia na uzima? Na wale mitume na watu wakuu wa kiroho waliomfuata Bwana Yesu pia walisema mambo mengi, mambo ambayo ni ya manufaa makubwa kwa mwanadamu, kwa hiyo mbona wao si ukweli, njia na uzima? Tunapaswa kuelewa vipi tofauti kati ya vipengele hivi viwili?

Ijumaa, 11 Mei 2018

Gospel Movie Clip “Siri ya Utauwa” (4) - Mungu Mwenye Mwili pekee Ndiye Anaweza Kufanya Kazi ya Hukumu Katika Siku za Mwisho


Umeme wa Mashariki unashuhudia kwamba Mungu amepata mwili katika siku za mwisho kufanya kazi ya hukumu Mwenyewe. Lakini kazi ya Mungu katika Enzi ya Sheria ilifanywa kwa kumtumia Musa. Kwa hiyo kazi ya Mungu ya hukumu katika siku za mwisho haiwezi kufanywa kwa namna hiyo hiyo, kwa kuwatumia watu?

Alhamisi, 10 Mei 2018

Gospel Movie Clip “Siri ya Utauwa” (3) - Siri ya Kupata Mwili kwa Mungu


Katika Enzi ya Neema, Mungu alipata mwili na akawa Bwana Yesu aliyekuja kuwakomboa wanadamu, na Mafarisayo wa Kiyahudi wakasema kwamba Bwana Yesu alikuwa mwanadamu tu. Katika siku za mwisho, Mungu amepata mwili na amekuwa Mwenyezi Mungu ambaye Amekuja kufanya kazi Yake ya hukumu, wachungaji na wazee wa kanisa wa ulimwengu wa kidini pia wanasema kwamba Mwenyezi Mungu ni mwanadamu tu, kwa hiyo tatizo ni lipi hapa?

Jumatano, 9 Mei 2018

Gospel Movie clip "Siri ya Utauwa" (2) - Je, Bwana Atampa Mwanadamu Ufunuo Wakati Atarudi?


Wachungaji na wazee wengi wa kanisa, kwa kuwa wamemwamini Mungu kwa miaka mingi, wamemfanyia Bwana kazi kwa bidii sana na wamekesha kila mara, wakingoja kurudi kwa Bwana, wanaamini kwamba wakati Bwana atakuja Atawapa ufunuo bila shaka. Je, maoni haya yanapatana na ukweli wa kazi ya Mungu? Je, Mungu atampa mwanadamu ufunuo haswa wakati Atapata mwili? 

Jumanne, 8 Mei 2018

Gospel Movie clip "Siri ya Utauwa" (1) - Siri ya Kuja kwa Mwana wa Adamu


Akizungumza kuhusu kurudi kwa Bwana, Bwana Yesu alisema, “Kuweni tayari pia: kwani Mwana wa Adamu atakuja wakati ambapo hamfikiri” (Luka 12:40). "Kwani kama umeme, umulikao kutoka sehemu moja chini ya mbingu, huangaza hadi sehemu nyingine chini ya mbingu; vivyo hivyo ndivyo Mwana wa Adamu atakuwa katika siku yake. Lakini kwanza lazima apitie mambo mengi, na akataliwe na kizazi hiki” (Luka 17:24-25).

Jumatatu, 7 Mei 2018

" Gospel Movie Clip ""Kusubiri"" (7) - Mwenyezi Mungu Afichua Siri za Mpango Wake wa Usimamizi wa Miaka 6,000"



Bwana Yesu alifichua siri za ufalme wa mbinguni, na Mwenyezi Mungu alikuja kufunua siri zote za usimamizi wa wanadamu wa miaka 6,000! Je, unaweza kutambua kuwa Mwenyezi Mungu ni kurudi kwa mara ya pili kwa Bwana Yesu kwa kutazama siri ambazo Mwenyezi Mungu amezifunua? Tazama video hii fupi!

Jumapili, 6 Mei 2018

"Gospel Movie Clip ""Kusubiri"" (6) - Je, Tutatofautishaje Sauti ya Mungu? (2) "



"Yeye aliye na sikio, na alisikie neno ambalo Roho aliyaambia makanisa"(Ufunuo 2:29). Umemskia Roho Mtakatifu Akizungumzia makanisa? Je, maneno yaliyosemwa na Mwenyezi Mungu na Bwana Yesu yametamkwa na Roho mmoja, kutoka kwa chanzo kimoja? Video hii fupi itakuonyesha haya!

Jumamosi, 5 Mei 2018

"Gospel Movie Clip ""Kusubiri"" (4) - Mwisho ya Wale Ambao Wanapinga Kuja Mara ya Pili kwa Bwana "



"Yeye aliye na sikio, na alisikie neno ambalo Roho aliyaambia makanisa"(Ufunuo 2:29). Umemskia Roho Mtakatifu Akizungumzia makanisa? Je, maneno yaliyosemwa na Mwenyezi Mungu na Bwana Yesu yametamkwa na Roho mmoja, kutoka kwa chanzo kimoja? Video hii fupi itakuonyesha haya!

Ijumaa, 4 Mei 2018

Gospel Movie clip "Kusubiri" (4) - Mwisho ya Wale Ambao Wanapinga Kuja Mara ya Pili kwa Bwana



Je, anawezaje kumuona Bwana akionekana lakini bado anakataa kukubali kuja kwa mara ya pili kwa Bwana? Anawezaje kuwa daima anakesha na kungoja Bwana aje, lakini wakati wa kifo chake anaacha majuto ya maisha? Video hii fupi itakuambia majibu.

Alhamisi, 3 Mei 2018

Gospel Movie clip "Kusubiri" (2) - Bikira wenye Busara wanaweza kutofautisha Kristo wa kweli kati ya Kristo wa Uongo



Ukikabiliwa na kurudi kwa pili kwa Bwana, je, utakuwa na hofu ya Makristo wa uongo kiasi kwamba utafunga mlango ili kujilinda na kusubiri ufunuo wa Bwana, au utatenda kama bikira mwerevu, na uitikie sauti ya Mungu na usalimu kurudi kwa Bwana? Video hii fupi itakuambia jinsi ya kukaribisha kuja kwa pili kwa Bwana.

Jumatano, 2 Mei 2018

Gospel Movie clip "Kusubiri" (1) - Je, Tunapaswa Kukesha na Kungoja Vipi Kuja Mara ya Pili kwa Bwana?



Bwana atakapokuja tena, Atashuka na mawingu, au Atakuja kwa siri kama mwizi? Je, Utakukabili vipi kuja kwa mara ya pili kwa Bwana? Je, utakuwa na hofu kubwa ya kupotoshwa na Kristo wa uongo hivi kwamba utakataa kumtafuta, au utaiga sehemu ya bikira mwenye busara na kusikiliza kwa makini sauti ya Mungu? Tunapaswaje "kukesha na kungoja" ili tuweze kumkaribisha Bwana atakapokuja? Tazama video hii fupi!

Jumanne, 1 Mei 2018

Gospel Movie clip "Kusubiri" (3) - Wale Tu Ambao Wanafuata Mapenzi ya Mungu Ndio Wanaweza Kuingia katika Ufalme wa Mbinguni




Ni mtu wa aina gani atanyakuliwa katika ufalme wa mbinguni? “Si kila mtu aniitaye, Bwana, Bwana, ataingia katika ufalme wa mbinguni; lakini yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni” (Mathayo 7:21). Lakini watu wengine wanaamini kuwa kuyafuata mapenzi ya Baba wa mbinguni kunamaanisha tu kuwa mwaminifu kwa jina la Bwana, kumtumikia kwa bidii, na kuvumilia mateso ya kubeba msalaba, na kuwa tukifanya vitu hivi, tunapaswa tu kukesha na kungoja hivi kwa kurudi mara ya pili kwa Bwana ili kunyakuliwa katika ufalme wa mbinguni.

Christian Video Swahili "Bahati na Bahati Mbaya" | Mshukuru Mungu kwa Neema Yake ya Ajabu


Kwa sababu yeye alitoka katika familia iliyo masikini, tangu akiwa na umri mdogo Du Juan alikusudia kutengeneza pesa nyingi sana apate kuishi maisha mazuri. Ili kufikia lengo hili, aliacha shule mapema zaidi kwenda kufanya kazi ya mikono, chochote angeweza kufanya ili apate pesa. Yeye hakulalamika wakati kazi ilikuwa ngumu na ya kuchokesha. Hata hivyo, yeye hakupata matokeo aliyotaka.