Smiley face

Alhamisi, 28 Juni 2018

"Njia ya Kwenda katika Ufalme wa Mbinguni ni Yenye Hatari" (6) - Mungu Humtumiaje Shetani Kufanya Huduma



Mungu anasema, "Katika Mpango Wangu, Shetani amewahi ondoka katika kisigino cha kila hatua, na, kama foili ya hekima Yangu amejaribu siku zote kutafuta njia na namna ya kuvuruga mpango Wangu wa awali. Lakini Ningeweza kukabiliwa na miradi yake ya udanganyifu? Vyote mbinguni na duniani vinanitumikia—njama za udanganyifu za shetani zingeweza kuwa tofauti? Huku ndiko hasa kukutana kwa hekima Yangu, ndiyo hasa yaliyo ya ajabu kuhusu matendo Yangu, na ni kanuni ambayo mpango Wangu mzima wa usimamizi mzima unafanywa" (Neno Laonekana katika Mwili). Kazi ya Mungu ya siku za mwisho inakitumiaje Chama cha Kikomunisti cha China na nguvu zinazompinga Kristo katika dunia ya kidini kufanya huduma ya kuwafanya watu kukamilika kuwa washindi? Kwa nini inasemwa kwamba hekima ya Mungu inatumika kulingana na njama za ujanja za Shetani? Matokeo ya mwisho ya Chama cha Kikomunisti cha China na nguvu za upinga Kristo katika dunia ya kidini ambazo bila kukoma zimeuchukia ukweli, na kumkataa Mungu kwa fujo yatakuwa yapi? Tunakualika utazame video hii fupi.
Mwenyezi Mungu, Kristo wa siku za mwisho, ni Bwana Yesu aliyerudi. Umeme wa Mashariki, Kanisa la Mwenyezi Mungu linajitokeza kwa sababu ya kuonekana kwa kazi ya Mungu na iliyojumuishwa na wale wote waliomkubali kazi ya Mwenyezi Mungu ya dhati ya siku za mwisho na walishindwa na kuokolewa na neno la Mungu. Kondoo za Mungu husikia sauti ya Mungu. Kwa sababu ya kuonekana kwa maneno ya Kristo wa siku za mwisho, watu zaidi na zaidi ambao wana kiu ya kutafuta ukweli wameshindwa na neno la Mungu na kurudi kwa Mwenyezi Mungu. Wamepata maji ya kunywa na kulishwa na neno la Mungu na kufurahia kazi na mwongozo wa Roho Mtakatifu, wakithibitisha kwa hakika kwamba Mwenyezi Mungu ndiye kurudi kwa Mkombozi ambaye tumemtarajia kwa miaka mingi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni