Smiley face

Jumatano, 14 Novemba 2018

Umeme wa Mashariki | 2018 Gospel Music "Mungu Kuwatawala na Kuwakimu Wanadamu na Vitu Vyote" (Swahili Subtitles)


2018 Filamu za Injili "Mungu Kuwatawala na Kuwakimu Wanadamu na Vitu Vyote" (Swahili Subtitles)


Chini ya mbingu, milima, mito, na maziwa vyote vina mipaka yavyo, na viumbe vyote huishi na kuzaana wakati wa misimu yote minne kulingana na sheria za maisha….
Ungependa kujua ni nani huwatawala na kuwakimu wanadamu na vitu vyote? Tazama dondoo hii ya filamu ya Kikristo ili kujua zaidi kuhusu mamlaka ya pekee ya Mungu.

Tufuate: Kujua  Kanisa la Mwenyezi Mungu



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni