Umeme wa Mashariki | Nyimbo za Maneno ya Mungu | Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote
- Jinsi Mungu Anavyotawala Vitu Vyote
- I
- Kutoka unapoingia katika dunia hii ukilia,
- unaanza kutenda wajibu wako.
- Katika mpango na utaratibu wa Mungu,
- unachukua nafasi yako,
- na unaanza safari ya maisha.
- Vyovyote vilivyo msingi wako
- ama safari iliyo mbele yako,
- hakuna anayeweza kuepuka utaratibu
- na mpango ambao Mbingu imeweka,
- na hakuna aliye na amri juu ya hatima yake,
- kwani ni Yule tu anayetawala juu ya vitu vyote
- ndiye ana uwezo wa kazi kama hii.
- II
- Tangu siku ambayo mwanadamu alikuja kuwepo
- Mungu amekuwa imara katika kazi Yake,
- Akisimamia ulimwengu huu na kuelekeza
- mabadiliko na kusonga kwa vitu vyote.
- Kama vitu vyote,
- mwanadamu kwa kimya na bila kujua anapokea
- uboreshaji wa utamu,
- mvua na umande kutoka kwa Mungu.
- Kama vitu vyote,
- mwanadamu bila kujua anaishi chini
- ya utaratibu wa mkono wa Mungu.
- III
- Moyo na roho ya mwanadamu
- viko mkononi mwa Mungu,
- na maisha yote ya mwanadamu yanatazamwa
- machoni mwa Mungu.
- Bila kujali kama unaamini katika hili ua la,
- chochote na vitu vyote,
- viishivyo au vilivyokufa,
- vitageuka, vibadilike, vifanywe upya, na kupotea
- kulingana na fikira za Mungu.
- Hivi ndivyo Mungu hutawala juu ya vitu vyote.
-
- kutoka kwa Neno Laonekana katika Mwili
-
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni