Smiley face
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kikristo. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Kikristo. Onyesha machapisho yote

Jumatano, 17 Aprili 2019

Wimbo wa Maneno ya Mungu | Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Nyimbo za Maneno ya Mungu

Wimbo wa Maneno ya Mungu | Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu

I
Kama washiriki wa jamii ya wanadamu,
Kama wafuasi wa Kristo wa dhati,
ni wajibu wetu, ni jukumu letu
kutoa akili zetu na miili yetu
kwa kutimiza agizo la Mungu.
Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu,
na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.

Jumapili, 9 Desemba 2018

Swahili Gospel Movie Segment "Mungu Anashikilia Ukuu Juu Ya Kila Kitu Katika Ulimweng"


Swahili Gospel Movie Segment "Mungu Anashikilia Ukuu Juu Ya Kila Kitu Katika Ulimweng"

Wanadamu wamekuwa wakitafuta majibu haya kwa miaka elfu kadhaa: Miili ya mbingu katika ulimwengu inawezaje kwendelea mbele kwa taratibu timilifu kama hiyo? Kwa nini vitu vyote vilivyo hai daima husogea kwa miviringo inayofuata kanuni zisizobadilika? Kwa nini watu huzaliwa, na halafu kwa nini sisi hufa? Ni nani kweli aliyeamua kanuni na sheria hizi zote? Ni nani kweli huutawala ulimwengu na vitu vyote? Sehemu hii ya ajabu kutoka kwa filamu ya Kikristo, "Yule Anayeshikilia Ukuu Juu Ya Kila Kitu", itakuongoza ufikie kiini cha maswali haya na kufunua mafumbo yote haya.

Jumatano, 14 Novemba 2018

Umeme wa Mashariki | 2018 Gospel Music "Mungu Kuwatawala na Kuwakimu Wanadamu na Vitu Vyote" (Swahili Subtitles)


2018 Filamu za Injili "Mungu Kuwatawala na Kuwakimu Wanadamu na Vitu Vyote" (Swahili Subtitles)


Chini ya mbingu, milima, mito, na maziwa vyote vina mipaka yavyo, na viumbe vyote huishi na kuzaana wakati wa misimu yote minne kulingana na sheria za maisha….

Jumanne, 30 Oktoba 2018

Jumamosi, 27 Oktoba 2018

Neno la Mungu | Kurejesha Maisha ya Kawaida ya Mwanadamu na Kumpeleka Kwenye Hatima ya Ajabu (Sehemu ya Pili)


Neno la Mungu | Kurejesha Maisha ya Kawaida ya Mwanadamu na Kumpeleka Kwenye Hatima ya Ajabu (Sehemu ya Pili)


Mwenyezi Mungu anasema, "Punde tu kazi ya ushindi imekwisha kamilika, mwanadamu ataletwa katika dunia nzuri. Haya maisha, bila shaka, bado yatakuwa duniani, lakini yatakuwa tofauti kabisa na jinsi maisha ya mwanadamu yalivyo leo.

Jumatano, 24 Oktoba 2018

Jumamosi, 20 Oktoba 2018

Kanisa la Mwenyezi Mungu | Swahili Gospel Video Clip "Ahadi ya Mungu kwa Waisraeli"


Swahili Gospel Video Clip "Ahadi ya Mungu kwa Waisraeli
Baada ya mamia ya miaka ya kuwekwa chini ya sheria, Waisraeli hatimaye walikabiliwa na hatari ya kuhukumiwa na kuuawa na sheria kwa sababu ya dhambi zao.Walimwita Mungu kwa haraka, ambaye aliwapa ahadi—ahadi ambayo ingezibadilisha kudura zao na kuweko.

Jumatano, 17 Oktoba 2018

Jumanne, 16 Oktoba 2018

Umeme wa Mashariki | Swahili Gospel Video Clip "Maangamizo ya Mungu ya Dunia kwa Mafuriko"



Swahili Gospel Video Clip "Maangamizo ya Mungu ya Dunia kwa Mafuriko"


Unapoitazama dondoo hii ya kustaajabisha ya filamu ya Kikristo Kuangamizwa kwa Dunia kwa Gharika na Mungu, utagundua tabia takatifu, ya haki ya Mungu na utunzaji Wake na huruma kwa wanadamu, na utapata njia ya wokovu wa Mungu katikati ya maafa.

Jumatatu, 15 Oktoba 2018