Smiley face

Ijumaa, 26 Aprili 2019

Wimbo wa Kuabudu |Mungu Anapata Mwili ili tu Kumshinda Shetani na Kuwaokoa Binadamu



Wimbo wa Kuabudu |Mungu Anapata Mwili ili tu Kumshinda Shetani na Kuwaokoa Binadamu
      
 I
    Wakati wa kupata mwili kwa Mungu duniani,
Anafanya kazi Yake miongoni mwa wanadamu.
Kazi hii yote ina kusudi moja—kumshinda ibilisi Shetani.
Atamshinda Shetani kumshinda mwanadamu,
pia kupitia kukufanya mkamilifu.
Unapokuwa na ushuhuda mkubwa sana,
hii pia itakuwa ishara ya kushindwa kwa Shetani.
Mungu anapata mwili kumshinda Shetani
na kuwaokoa wanadamu wote.
Ili Shetani aweze kushindwa,
mwanadamu kwanza anashindwa, kisha anakamilishwa.

II
Lakini kiini, huku akimshinda Shetani,
Mungu anamwokoa mwanadamu toka mateso.
Haijalishi kama hii kazi inafanyika Uchina
au kote ulimwenguni,
yote ni kwa ajili ya kumshinda Shetani
na kumwokoa mwanadamu,
aweze kuingia katika mapumziko.
yote ni kwa ajili ya kumshinda Shetani
Mungu anapata mwili kumshinda Shetani
kuokoa wanadamu wote.
Kupata mwili kwa Mungu katika mwili wa kawaida
ni hasa kwa ajili ya kumshinda Shetani.
Kazi ya Mungu huyu wa mwili ni kuwaokoa
wanaompenda Mungu chini ya mbingu.
Ni kwa sababu ya kuwashinda binadamu wote,
na pia ni kwa sababu ya kumshinda Shetani.

III
Kiini cha kazi yote ya Mungu
ni kumshinda Shetani kwa ajili ya wokovu wa mwanadamu.
Mungu anapata mwili kumshinda Shetani
na kuwaokoa wanadamu wote.
Mungu anapata mwili kumshinda Shetani
na kuwaokoa wanadamu wote,
kuwaokoa wanadamu wote. Anawaokoa wanadamu wote.
kuwaokoa wanadamu wote. Anawaokoa wanadamu wote.

Kutoka katika Neno Laonekana katika Mwili

      Tufuate: Asili yaKanisa la Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni