Smiley face

Ijumaa, 3 Mei 2019

Wimbo wa Kuabudu|Jinsi ya Kujua Kuonekana na Kazi ya Kristo wa Siku za Mwisho


  
Wimbo wa Kuabudu|Jinsi ya Kujua Kuonekana na Kazi ya Kristo wa Siku za Mwisho


    I
Mwili wa Mungu utajumlisha
kiini cha Mungu na maonyesho Yake.
Atakapofanywa mwili,
Ataleta matunda ya kazi Aliyopewa
ajidhihirishe na Alete Ukweli kwa wote,
awape uhai na awaonyeshe njia.
Mwili wowote usiokuwa na dutu
Yake sio Mwili wa Mungu.

II
Thibitisha mwili Wake na njia ya kweli tazamia tabia,
maneno na matendo Yake.
Angazia dutu Yake wala si sura Yake ya nje.
Ni upumbavu na ujinga kuangazia sura ya nje ya Mungu.
Ya nje haiamui ile ya ndani,
na kazi ya Mungu haiambatani na dhana za mwanadamu.

III
Je, si sura ya nje ya Yesu
ilitofautiana na matarajio ya watu?
Je, si mfano Wake na mavazi Yake
yalificha utambulisho Wake?
Si ndio sababu Mafarisayo walimpinga Yesu?
Walilenga sura Yake ya nje wakapuuza maneno Aliyoyasema.
Mungu hutarajia wanaotafuta uonekano Wake,
wasirudie historia.
Usifuate Mafarisayo usulubishe Mungu msalabani tena.
Tilia maanani utakavyokaribisha kurudi Kwake.
Waza wazi utakavyotii ukweli.
Ndio wajibu wa kila angojaye kurudi kwake Yesu.

kutoka katika Neno Laonekana katika Mwili

    Soma Zaidi: Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni