Smiley face

Alhamisi, 2 Mei 2019

Wimbo wa Kuabudu | Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu

Smiley face

Wimbo wa Kuabudu | Kusudi la Kazi ya Usimamizi ya Mungu ni Kumwokoa Binadamu



I
Ikiwa mwanadamu ahisi mapenzi Yake ya huruma au la,
Yeye hachoki kufuatilia kazi Anayohitaji kufanya.
Ikiwa mwanadamu aelewa usimamizi Wake au la,
kazi Yake huleta usaidizi na utoaji unaoweza kuhisiwa na wote.
Upendo na huruma za Mungu
hupenyeza kazi Yake
ya usimamizi kwa utondoti.

II
Pengine leo huhisi upendo na uzima
Mungu anaokupa,
mradi tu huondoki katika upande Wake,
wala kuachilia mapenzi yako ya kutafuta ukweli,
hakika siku moja utaiona tabasamu ya Mungu.
Sababu kusudi la Mungu katika kazi Yake ya usimamizi ni kumpokony mwanadamu
kutoka milki ya shetani na sio kuwaacha
waliopotoshwa na Shetani,
na kupinga mapenzi Yake.
Upendo na huruma za Mungu
hupenyeza kazi Yake
ya usimamizi kwa utondoti.

Kutoka katika Neno Laonekana katika Mwili

    Kujua zaidi:Asili ya Kanisa la Mwenyezi Mungu

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni