Smiley face
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wimbo-wa-kuabudu. Onyesha machapisho yote
Inaonyesha machapisho yaliyo na lebo Wimbo-wa-kuabudu. Onyesha machapisho yote

Jumanne, 30 Aprili 2019

Wimbo wa Kuabudu|Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu

Smiley face

Wimbo wa Kuabudu|Umuhimu wa Mungu Kumsimamia Binadamu

I
Usimamizi wa Mungu ni ili kuwapata binadamu
wanaomwabudu na kumtii Yeye.
Ingawa wamepotoshwa na Shetani,
hawamwiti baba tena.
Wanajua ubaya wa Shetani, hivyo wanamkataa.
Wanakuja mbele ya Mungu, wanakubali adabu na hukumu.
Wanajua kile kilicho kibaya,
na kile ambacho ni kitakatifu.
Na wanajua ukuu wa Mungu, na uovu wa Shetani.
Jamii kama hii ya binadamu haitamfanyia Shetani kazi
wala kumwabudu tena.

Jumanne, 23 Aprili 2019

Wimbo wa Kuabudu | Ni kwa Kufanya Kazi Katika Mwili Pekee Ndiyo Mungu Anaweza Kumpata Binadamu


Wimbo wa Kuabudu | Ni kwa Kufanya Kazi Katika Mwili Pekee Ndiyo Mungu Anaweza Kumpata Binadamu


I
Kupitia neno la Mungu la utendaji,
unyonge wa mwanadamu na uasi
yanahukumiwa na kufichuliwa.
Kisha wanadamu wanapokea wanachohitaji
Wanaona kuwa Mungu amekuja
katika ulimwengu huu wa binadamu.
Kazi ya Mungu wa utendaji ina nia ya kumwokoa kila mmoja
kutoka kwa ushawishi wa Shetani,
kuwaokoa kutoka kwa uchafu na kwa tabia yao
iliyopotoshwa na Shetani.

Jumapili, 21 Aprili 2019

Wimbo wa Kuabudu | Mungu Anashuka na Hukumu


Wimbo wa Kuabudu | Mungu Anashuka na Hukumu

I
Anapokuja chini katika taifa la joka kuu jekundu,
Mungu anageuka kuutazama ulimwengu
na unaanza kutingika.
Je, kuna mahali popote ambapo hapatapata hukumu Yake?
Ama kuishi katika janga Analotoa?
Kila mahali Aendapo anamwaga mbegu ya janga,
lakini kupitia kwayo Anatoa wokovu
na kuonyesha upendo Wake.

Ijumaa, 19 Aprili 2019

Viumbe Wote Lazima Waje Chini ya Utawala wa Mungu


Wimbo wa Maneno ya Mungu | Viumbe Wote Lazima Waje Chini ya Utawala wa Mungu

I
Mungu aliumba vitu vyote,
na hivyo Yeye hufanya viumbe vyote
kuja chini ya amri Yake, na kutii utawala Wake.
Anaamuru vitu vyote, akividhibiti katika mikono Yake.
Vitu hai, milima, mito na mwanadamu
lazima vyote vije chini ya amri Yake.
Vitu angani na duniani
lazima vyote vije chini ya utawala Wake.

Jumatano, 17 Aprili 2019

Wimbo wa Maneno ya Mungu | Toa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu

Kanisa la Mwenyezi Mungu,Umeme wa Mashariki,Nyimbo za Maneno ya Mungu

Wimbo wa Maneno ya MunguToa Akili na Mwili ili Kutimiza Agizo la Mungu

I
Kama washiriki wa jamii ya wanadamu,
Kama wafuasi wa Kristo wa dhati,
ni wajibu wetu, ni jukumu letu
kutoa akili zetu na miili yetu
kwa kutimiza agizo la Mungu.
Kwa maana asili yetu yote ilitoka kwa Mungu,
na twaishi, kwa ajili ya ukuu Wake.